Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Sasa ww unaenda kinyume na maelezo ya Mungu? zipo zote kweli?
Mwanamke anaongozwa!
Kama unabisha cheki wanawake wanaokwenda kwa vichwa vyao kama wameolewa au ndoa zao zipo imara! mtizame joyce kiria n.k hutakuta familia imetulia kamwe... simply tu wanakwenda against na nature!
Mwanamke anapaswa kumnyenyekea mwanaume then mwanaume ana control mkewe na family kwa ujumla. Ikiwa tofauti na hapo basi hakuna ndoa hapo. Hakuna mwanaume atakaekubali kuendeshwa na mwanamke...

Huyo atakua kaolewa na atadharaulika sana.
We are soldiers! we was born to lead... we must be superior...

Ndio maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili! Mwenyewe aliewaumba katoa na warning!
Sasa ww unatakaje tuwe sawa?

Nakusoma mzee!

Hii self glorification ndio tatizo!

Maelezo ya Mungu?Mungu who?Tuweke mambo ya mungu pembeni,ni very debatable kwanza existence yake.Let talk like reasonable human beings using reason,logic and common sense.

Ukisoma kamstari kamoja kutoka kwenye some book written by some crazy human beings with all the humanistic flaws and take it literally as the word of God,ni hatari sana.

U will only lead someone who allows it,asietaka huwezi!Hapo ndio tatizo.

Yanini power struggle ya watawala na watawaliwa?

This struggle will never bring anyone anywhere mkuu.
 
Pole mkuu una tatizo, kwanza kama binadamu lazima ujue kuna nguvu ipo juu yako utake au usitake hiyo nguvu ni ya aliekuleta duniani. Ok kwa kua huamini basi nisikukwaze.

Mm nakwambia mwanamke anaongozwa na mumewe.

Huyu ndugu kaoa sura pia kaoa mke wa mtu.
Ndoa huvunjwa kwa kifo au uzinzi wa mwanamke vinginevyo unazini na mke wa mtu.
Sasa huyu mchungaji anazini na mke wa mtu au kaoa mke alieachwa kwa uzinzi!

So mwenzie yamemshinda yeye anamechukua hapo ndo utajua ujinga wa binadamu.
 
Jaribu kumuwaza bashite utapata uchungu mpaka usahau hilo jambo dgo, pole lakini
 
Pole mkuu una tatizo, kwanza kama binadamu lazima ujue kuna nguvu ipo juu yako utake au usitake hiyo nguvu ni ya aliekuleta duniani. Ok kwa kua huamini basi nisikukwaze.

Mm nakwambia mwanamke anaongozwa na mumewe.

Huyu ndugu kaoa sura pia kaoa mke wa mtu.
Ndoa huvunjwa kwa kifo au uzinzi wa mwanamke vinginevyo unazini na mke wa mtu.
Sasa huyu mchungaji anazini na mke wa mtu au kaoa mke alieachwa kwa uzinzi!

So mwenzie yamemshinda yeye anamechukua hapo ndo utajua ujinga wa binadamu.

Nakusoma sana mkuu.

Wewe ni mkristo na upo wired that way.

Sitaki nikuboe kabisa mkuu!

Niseme tu,ume-subscribe in those sets of living tenets na unazikubali ipasavyo mkuu!Hizo rules ndizo zinakueleza what to think and do for yourself.Hamna uwezo wa kufikiri na kujiamulia kama individual huru mwenye ubongo wake bila restrictions

Mimi nakubali mambo mengine kabisa!Mimi na wengine wa type yangu tunaamini kwenye kufikiri na kujiamulia kwa kutumia bongo zetu wenyewe ilmradi tusimuumize mwanadamu au kiumbe kingine,mali,etc.Hatufati set of rules zilizowekwa na watu wa zamani zinazoamua sisi tuwaze vipi au kuamua vipi.Hatutaki kusikia DOGMA kabisa!

Ila mkuu,uko sawa kabisa kwa mtizamo wako wewe kwa pande yenu.
 
Mkeo kununa unataka ufe ukapumzike (sijui nani alisema ukifa unapumzika )

Ila nikushaur ..me cjaoa am 24 years ila inawezkana tatzo alilonalo Mkeo nimeliona kwa wanawake na hili huwakumba sana .......

Kuna asilimia kubwa mkeo ana mashetan coz hizo n dalil za mashaytan ...iwe n jin mahabba au yeyote ...mtu mwenye tatzo hili hununa bila sabb hta yeye hujishangaa ...huwa na hasira wakat mwngne .....na anaweza kukuchukia ukiwa karbu na ukiwa mbali anakumiss ......s kwamba hakupend ila kuna vitu ndan yke humsumbua ambavyo n mashetan ambayo hupenda sana kushika wanawake ..ameolewa au laa ......so kuwa na subra ...na hebu jarbu kumpima ikiwa n kweli amesibiwa na hivyo vitu ...chukua misk nyekundu ainuse au any we kidg ktk maji ....akijiskia ovyoovyo bas ana mdudu ..........kuwa makini na mpole kwake ..muulize usku anaota ndoto gan ..na vitu vingne ......ila kwa maelezo yko jpo s asilimia mia inawezkana ni jinn kamshka na hatak aolewe ...
 
Hii post ina mda sasa, huenda ameshatatua tatizo.

Majaribu2013 , nnatumaini ni mzima popote ulipo. Kama inawezekana ungetupa mrejesho kama mambo yameshanyooka.
 
Huyo mwanamke aliingia kwenye ndoa na wewe kwa sababu fulani tu alizozijua yeye lakini sio upendo wa kweli, na wala hakupendi, (pole kwakusema hayo) ila ndio ukweli

Lingine ambalo kwa asilimia kubwa linaweza kuwa na ukweli ni kwamba pengine sababu alizokwambia mwanzoni kwamba alinyanyaswa na mumewe ndio wakaachana sio za kweli, pengine yeye alifumaniwa na mumewe ndio sababu ya kuachwa,

Pia inawezekana kabisa kwamba uoendo wake upo kwa mumewe wa mwanzo na sasa ameanza mahusiano naye tena,

Pia inawezekana kwamba amepata mwanaume mwingine anamgonga ndio maana anakuletea dharau dharau na kutaka kuvunja familia

Pole sana mkuu
 
Nakusoma sana mkuu.

Wewe ni mkristo na upo wired that way.

Sitaki nikuboe kabisa mkuu!

Niseme tu,ume-subscribe in those sets of living tenets na unazikubali ipasavyo mkuu!Hizo rules ndizo zinakueleza what to think and do for yourself.Hamna uwezo wa kufikiri na kujiamulia kama individual huru mwenye ubongo wake bila restrictions

Mimi nakubali mambo mengine kabisa!Mimi na wengine wa type yangu tunaamini kwenye kufikiri na kujiamulia kwa kutumia bongo zetu wenyewe ilmradi tusimuumize mwanadamu au kiumbe kingine,mali,etc.Hatufati set of rules zilizowekwa na watu wa zamani zinazoamua sisi tuwaze vipi au kuamua vipi.Hatutaki kusikia DOGMA kabisa!

Ila mkuu,uko sawa kabisa kwa mtizamo wako wewe kwa pande yenu.
Pamoja sana mkuu uhuru ni kitu muhimu sana.
Yes katika safari yetu ya maisha hapa dunia ni lazima kutumia vichwa vyetu kufanya maamuzi! so pamoja na hayo upande wa kile tunacho kiamini huwa tunakitanguliza kwanza.

So enjoy mkuu furaha ya maisha ni vile ulivyojiwekea misingi yako pasipo kuingiliwa.
 
Nakushauri kwa sababu hali kama hii nimewahi kukutana nayo.

Kuna mtu tulianza mahusiano vizuri sana. She was really in love hadi namuonea huruma. I loved her so much kwa sababu she was decent, very honest yani na ni msichana anayejiheshimu. We were so happy.

Ghafla akawa ni wa kununa, hana ushirikiano wa kimapenzi, ni mlazimisha mambo na wa kulaumu hata kwa kitu alichofanya mwenyewe analaumu ni kwanini sikumzuia (Hapo ukimwambia usifanye anakuambia unaleta mfumo dume kwenye mahusiano) . Nilikonda kwa sababu I really loved her and hata nikimpigia simu hatuelewani(It was so frustrating). Hataki tuonane. Nikajifunza kitu kimoja; nikawa naignore. Nikajifunza kuishi bila yeye na kumuaccomodate akirudi. It worked kwa sababu tunachuniana baada ya muda anakuja anaomba msamaha and we go on happy kisha inajirudia tena. That was our life. Nikajitahidi kumpan kila alichotaka kusuluhisha anaonesha ushirikiano kidogo kisha we are back to square one.

Nikaja kuwaza nikagundua SHE WAS NOT GETTING WHAT SHE WANTS! yani mapenzi hayakuwa vile anavyotegemea yangekuwa, na ndio alikuwa anarealize mapenzi hayako vile alivyokuwa anafikiria. Akakiri pia I was the best she could ever find lakini sasa its not what she wants!

Tafuta kumjua zaidi mkeo, tafuta anataka maisha yaweje. Just be crazy and date her all over again. Pay attention sana na ikibidi uandike ujue ANATAKA NINI OUT OF LIFE (NOT just out of u!) . Msaidie kupata maisha ayatakayo. Ndoto zake ni nini? Help her live her dreams. UJue fika kama ndoto zake hazifikii hata wewe maisha yako yanaathirika (Unfortunately that is one of the drawbacks of married life). Akiishi maisha yake happily you will have your marriage back and not before. Kama alitaka asome awe mtu fulani help her get there. Mfuatilie tu kwa sababu if we dont get what we have always dreamed about life is just working, eating and sleeping (Meaningless since we are not machines).

I always tell people, ndio unataka mke akupikie, atunze nyumba yako na watoto, akuhudumie na akupe company (Honestly this is what a man wants!). BUT If that's not all she has always dreamed about then NDOA YENU NI SHIDA!!
If you don't help her, is it worthy it to stay with a miserable wife??????

Ukiona mtu anasubbotage mahusiano makusudi hasa when you think you are happy. The hard truth is; They are not getting what they want!!!
Umenena vema
 
Mtafutie mchepuko halafu ajue kama unamchepuko,atajiuliza yeye shida yake ipo wapi?
 
Wanasema ukiona unafanya jambo lile lile na unapata matokeo yale yale
basi jaribu kufanya kinyume chake

Kuna aina ya watu 'ukiwadekeza tu umewaharibu'
watazidi kukuletea utoto hadi ushangae

dawa yake ni wewe ku sit back and do nothing..

akinuna usimuulize kitu...shika remote control and ignore her...
kabisa yaan
 
.mi pia ningekaa kimya nione me mwisho wake eti unalia ndo Atazidisha manjonjo na vurugu_ tena wengine anajisifia kwa mashostito kuwa anakukomesha
Onesa ujasiri eti mzuri kwan unamla nyama?
Huenda keshajua unamuona mzur ndo maana anakuletea ukichaaa...
Amani na upendo no jambo jema hata kama yupo na sura kama gar LA majitaka
Yalinikuta hayo mamy, kadri unavyojitahidi kumtimizia majuku yake, ndio kiburi kinaongezeka. Ni kweli hata kwa rafiki zake alikuwa akinijisifia kuwa ameniweka kwenye kiganja. Well nilimuacha bila taarifa, alidhan utani lakin baada ya mwez kupita akaanza kurud na misamaha mingi.
 
Tujifunze kujitune...kuishi kadiri mazingira yanavuokuja...to live outside our expectations....
Mm binafsi kutaka furaha yangu ipatikane kupitia mtu niliekutana nae ukubwani hapana kwa kweli...niliushakataa milele...
Naheshima, napenda lkn sipendi kihisiahisia tu....INFATUATIONS.....
Furaha naipata kwenye kutimiza malengo yangu......kutimiza wajibu wangu kama baba kwa familia yangu na mke wangu...Nikijitahidi kusambaza furaha na upendo na mke asijali..its none of my business....and im cool kabisa yani..always happy..
Kuna vitu nimegundua ktk maisha..kuna baadhi ya mambo mtu awaye yote hawezi kukupa hata kama ni mke.....wewe unabaki wewe tu.....
We jamaa embu mind your own business....fanyakazi, timiza wajibu wako kula maisha...acha kulialia
 
Sipendi wanawake drama. Ananuna ukimuuliza shida nini anasema hakuna shida. Kero tupu!!
Huwa wanakera mbaya mno. Alaf ukiondoka wanadai huwajali, ukiwaambia kuwa hawaweki wazi matatizo yao.. hawaelewi
 
Hizi pingu za maisha nazo ni sheeeda,ungekua muislamu ningekuambia acha kutamani kufa huyo mwache hivyohivyo vuta jiko lingine jifaidie maisha.
 
Back
Top Bottom