Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Wanasema ukiona unafanya jambo lile lile na unapata matokeo yale yale
basi jaribu kufanya kinyume chake

Kuna aina ya watu 'ukiwadekeza tu umewaharibu'
watazidi kukuletea utoto hadi ushangae

dawa yake ni wewe ku sit back and do nothing..

akinuna usimuulize kitu...shika remote control and ignore her...
Ukubwa dawa nyinyi ndiyo hazina ya humu jf nimeifanyia kazi kauli yako na imeleta matokeo chanya
 
Pole sana ndugu, usikate tamaa endelea kumuweka kwenye maombi, mshukuru Mungu kwa kila jambo, badilisha hilo jina lako la Majaribu.
 
Kama kweli wewe ni imani thabiti kwanza toa jina LA avatar hiyo yaani majaribu 2013

Kwa kuwa kile ukilicho ndicho kikupatacho ndo maana tunashauriwa tujitabilie mema na si mabaya

Ibilisi yuko kazini uck na mchana kuhakikisha anakupoteza au kukuua

Shauri zangu huwa ni ngumu kwa ujumla

Nakuomba uanze maigizo kwanza uwe na uwezo Wa kuigiza wanaume tumepewa wanawake tuwatawale kupitia akili na ktk maombi yako uombapo mwombe Mungu akujalie akili ya kumhendo huyo mkeo

Akili yako inasukwasukwa na mkeo moyo wake unasukwasukwa na yy anamaumivu na akimsimulia MTU lzm akutazame ww kama mbaya kama ss ulivotupa picha ili tuone mke ni mbaya

Jipe moyo simama kiume usilie itrain akili yako
 
Hakuna tatixo kubwa hapo ndugu tatizo you expect too much mwansmke ni binadamu pia huna haja ya kumkomand sana hilo LA kukaa muda mrefu bila kushiriki tendo no tatizo unaweza kurekebisha mambo zingatia yafuatayo
Usibembeleze sana usiamrishe sana na isitegemee makubwa sana pia usiseme kama yeye Ndio tatizo wewe Ndio tatizo kama hakukatalii huwezi kukaa muda mrefu hivyo bila kumpa haki yake be serious brother
 
WEWE ULIOA KAZ YAKE NA SYO TABIA YAKE, UNGEKUWA UNAMPENDA UCNGEKUWA NA PAPARA YA KUOA, UNGEMSOMA HATA MIAKA MIWILI HV NDO UNGEJUA LA KUFANYA.
 
Kuna siku nilikuwa pamoja na Mwakyembe aliniambia kauli moja mpaka leo inaishi kichwani mwangu aliniambia kuwa USIOE MWANAMKE WA KINYAKYUSA.Ilinipa tafakari nzito mno cha kushangaza yeye mwenyewe mnyakyusa iweje aseme vile?
 
Huyu majaribu 2013 bado yupo hai kweli kwa jinsi alivyojikatia tamaa
 
Kuna siku nilikuwa pamoja na Mwakyembe aliniambia kauli moja mpaka leo inaishi kichwani mwangu aliniambia kuwa USIOE MWANAMKE WA KINYAKYUSA.Ilinipa tafakari nzito mno cha kushangaza yeye mwenyewe mnyakyusa iweje aseme vile?
Alikudanganya
 
Huenda ikawa ni trauma ya past events au ni kiburi sababu huenda we ulimpenda ye hakukupenda kiivyo
My advice jiulize jamaa alimuacha vipi sababu kila mtu huwa anajitetea kaonewa katika mapenzi huenda ye ndo alikua na matatizo mpaka mzazi mwenzie kamuacha

Huku mtaani tunasema "kama mzazi mwenzie kamshindwa we unamuweza vipi" japo si kweli mda wote
 
Kuna siku nilikuwa pamoja na Mwakyembe aliniambia kauli moja mpaka leo inaishi kichwani mwangu aliniambia kuwa USIOE MWANAMKE WA KINYAKYUSA.Ilinipa tafakari nzito mno cha kushangaza yeye mwenyewe mnyakyusa iweje aseme vile?
Nakuahidi sitafanya hilo kosa
 
Hapo ndipo ninapo mkubari sir god aisee. Mkiambiwa mungu hataniwi mnabisha, hayo ndo madhara yake sasa pata joto ya jiwe. Eti mchungaji, mchugaji gani unashindwa kuvumilia kajaribu kama hako? je ungepewa majaribu kama ya AYUBU ingekuwaje? nabado utajuta kuzaliwa.
 
Mwenzio alaimuacha ww unashindwa nn,

Jifanye yesu uone kama hilo jiwe litageuka kuwa mkate.
 
Kama kweli wewe ni imani thabiti kwanza toa jina LA avatar hiyo yaani majaribu 2013

Kwa kuwa kile ukilicho ndicho kikupatacho ndo maana tunashauriwa tujitabilie mema na si mabaya

Ibilisi yuko kazini uck na mchana kuhakikisha anakupoteza au kukuua

Shauri zangu huwa ni ngumu kwa ujumla

Nakuomba uanze maigizo kwanza uwe na uwezo Wa kuigiza wanaume tumepewa wanawake tuwatawale kupitia akili na ktk maombi yako uombapo mwombe Mungu akujalie akili ya kumhendo huyo mkeo

Akili yako inasukwasukwa na mkeo moyo wake unasukwasukwa na yy anamaumivu na akimsimulia MTU lzm akutazame ww kama mbaya kama ss ulivotupa picha ili tuone mke ni mbaya

Jipe moyo simama kiume usilie itrain akili yako

Mkuu,hii mentality yako ndio naisikia hapa.

Kwamba sisi wanaume tumewekwa tutawale wanawake?

Ndio mnakuja kujiua au kuona this world doesnt work!

How come mwanadamu unamiliki mwanadamu mwingine?Mungu mwenyewe kuwatawala wanadam kashindwa,wewe utawawezea wapi?

Mwanamke sio property au somekind of a poccession,ni mtu huru mwenye utashi!

Huwezi mtawala unavyofikiria...nadhani tukiishi nao with mutual respect na ku-abide by the rules ni sawa kabisa!

Concept ya utawala ni negative connotation...utaishia kila siku kupoteza nguvu kumkumbusha "nakutawala ujue"...Obedience inakuja,inakua earned!

Hi mentality ya kumiliki mwanadamu mwenzio utishia kua disappointed sana!
 
Sasa ww unaenda kinyume na maelezo ya Mungu? zipo zote kweli?
Mwanamke anaongozwa!
Kama unabisha cheki wanawake wanaokwenda kwa vichwa vyao kama wameolewa au ndoa zao zipo imara! mtizame joyce kiria n.k hutakuta familia imetulia kamwe... simply tu wanakwenda against na nature!
Mwanamke anapaswa kumnyenyekea mwanaume then mwanaume ana control mkewe na family kwa ujumla. Ikiwa tofauti na hapo basi hakuna ndoa hapo. Hakuna mwanaume atakaekubali kuendeshwa na mwanamke...

Huyo atakua kaolewa na atadharaulika sana.
We are soldiers! we was born to lead... we must be superior...

Ndio maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili! Mwenyewe aliewaumba katoa na warning!
Sasa ww unatakaje tuwe sawa?
 
Wanasema ukiona unafanya jambo lile lile na unapata matokeo yale yale
basi jaribu kufanya kinyume chake

Kuna aina ya watu 'ukiwadekeza tu umewaharibu'
watazidi kukuletea utoto hadi ushangae

dawa yake ni wewe ku sit back and do nothing..

akinuna usimuulize kitu...shika remote control and ignore her...
Ushauri mzuri
 
Ulipoanza tu nimeoa mnyakyusa nikajua tu hili ni tatizo, mjomba umefuga jini siku yoyote laweza kumeza chukua hatua
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako
Huwq mnawacheka sana watu mnaoukta wameshaoa mpaka mara tatu au tano. Mlikuwa hamjui sababi? Ndio kama hizi....
Wanasumbua sana wanawake....sasa unakuta mtu anaoa mwingine na mwingine kwa mategemeo atamoata mwenye nafuu. Kumbe wote wako hivyo.
Wanawake ni changamoto mkuu.
Pole sana kaka mkubwa...
 
Back
Top Bottom