Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Yaan inaonekana ww ni mpole sana ila mm nakushauri mwite huyo mke wako muulize ataacha kununa lini ?! Kama anaendelea mwambie unamwacha kwan kuwa mtumish sio kwamba ndo ticket ya ww kuish kwa mateso,mrudishe kwao akae miez 3 atapata adabu
 
yaan AKIZILA ww una NUNA na aki NUNA ww una SUSA na aki NUNA ww una ZILA.fanya hivo uone mziki wake km hajajirekebisha ujue huyo ni msukule auJINI.
 
Pole sana mtumishi wa Bwana,
Suala lako siyo geni sana kwangu katika maisha ya kila siku, kwa vile umeshavumilia sana yeye hataki kubadilika bali anakuongezea maumivu.

Ningepenga kukushauri yafuatayo.

1. Jiulize yeye hitaji la mwili wake analimaliza kama miezi 9 ujawai kufanya nae mapenzi na hapo bado hajashtuka kua anayokufanyia hayakupendizi ili ajirekebishe. Huyo hatajirekebisha ukiwa nae, jaribu kuomba likizo ukapumzike hata mwizi mmoja mbali na yeye ili ukirudi unaweza kua na maamuzi mengine na yaliyo sahihi.

2. Usipende kumlaumu Muumba, shukuru yanakutokea ukiwa na nguvu na umri mdogo. Nakushauri umpe mkeo likizo ya mwezi mmoja akapumzike kwa nduguye au kwao kabisa ili akirudi atakua na mawzo mapya na wewe utakua na akili nje ya yeye kwani kwa tatizo lake hauwezi kufanya maamuzi mazuri wakati unamwona yeye na mwanenu.

Ni hayo tu mtumishi
 
Kamanda wa Yesu pole sana. 1)Kwa nini umechagua kujiita majaribu2013 - majina huumba kaka. 2) hukuwa na nafasi ya kmfahamu vizuri mkeo, ulikimbilia kudandia farasi bila kujua kasi yake, sasa kasi yake inakushinda. Kwa kifupi umeshajuta vya kutosha,,, na jinsi kichupa kilivyo jaa (genye), akili lazima iwe up side down.
Nimekuwa nikipost sana hapa... ndoa ni ya watu wawili tuuu,, wanandoa ndio wanaweza kuamua cha kufanya kwa mustakabali wao.....kwa mshenga, paroko na nani sijui ni mbwembwe tuuu... wawili nyie ndo wajijua. Na ninaamini furaha unaitengeneza wewe mwenyewe, Mungu alituumba tuufurahie uumbaji wake, maisha mazuri unayatengeneza mwenyewe, ndoa tamu unaitengeneza mwenyewe.....mtihani kama huo ni mgumu sana kupata jibu la kuhitimisha amani na furaha iliyopotea ktk maisha uliyonayo kwa ss. Kufikiria kujiua huo nio upuuzi mkubwa uliofiiria,,,...
Nnacho kushauri - ni wewe mwenyewe ujiamulie unataka kuwa wapi,,, KUMTUMIKIA MUNGU UKIWA NA JAZBA MOYONI HAIFAI, ni bora ukamuomba kiongozi wako wa kiimani ukae pembeni kwa muda, una masuala ya kifamilia unatakiwa kuyaweka sawa, usimwambie kama hujawa tayari. Hiyo ni vita ya MAJARIBU2013...pigana na uamue,,, ni kweli unataka FURAHA au uishi hivyo mpaka ukutane na mauti?...pigana mangi!!!!
 
Nastahili pumziko la milele! Ee Mungu nisaidie!

kwanza pole sana kwa matatizo ulionayo, story yako inanifanya na mm niogope kuoa kabisa. Hapa niko underpressure, wazazi wanataka nioe na mm bado sipo tayari kuoa ...back to the topic, Omba sana Mungu kwa Tatizo lako ili uweze kupata Amani ya Moyo, Kukata tamaa ni dhambi na as christians tumefundishwa kuwa wavumilivu katika majaribu mbalimbali, Yesu alivumilia mateso akaubeba msalaba mzito akayachukua magumu yote, he payed that sacrifice ili tukombolewe. Rudi nyuma na uamin kwamba Jesus can give you peace just trust him , at least this is what i can share with you.
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Vunja ndoa uje kwangu nikuliwaze utaishi kwa amani mtumishi
 
Einstein si alisema ni bora kuoa kwa sababu ukimpata aliyebora maisha yako yatakua mazuri, ukimpata kama huyo wa kwako inabidi uwe philosopher. Ni wakati Mzuri wa kujua ili uwe philosopher ufanyaje. Either way you win.
 
Kwa wale wanaomshinda shetani na vita yake dhidi ya uzinz kabla ya ndoa hupatiwa mateso makali kwaajil ya kubeba msalaba wa kristo, maana YESU alisema anaetaka kunifuata na ajikane mwenyewe abebe msalaba amfuate chukulia ni majarb tu na yatapta!

Pili we umewah kwenda kuombewa ama kujiombea? Usipende tabia ya kumuhc haraka mtu kwa mapepo na kumuombea huku nafsi yako inatakiwa kuombewa sana, maana weng huwa wakiwa wakubwa sana kanisan huwa wanajionaga km wao ndio MUNGU na wanamaono kwa binadam yeyote kumbe cvyo.

Tatu katka maisha hakuna kila binadamu alie timiza ndoto yake mengine hubaki km historia tu

hayo ni yangu tu ila ID yako na wewe vnanpa mashaka.
 
wewe nilivyo kusoma husomi biblia na kama unaisoma kuna mistari ujasoma. we unafikiri maandiko yanaposema muishi nao kwa akili ilimaanisha nini, sasa wewe mwenzako kabadilika wewe ujabadilika uko vilevile ili uweze Ku handle ndoa yako unapaswa kubadilika make samaki mkunje angali mbichi.
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Nashukuru wewe ni mtumishi wa Mungu, utaelewa nitapokuelezea.
Kwa wanyakyusa kuna mashetani katika roho kuna mizimu ya nyoka(sina uhakika ni nini ila yanaathiri ndoa hata watu wanaharibikiwa mimba ) na simba( ukali, hasira, utawala yani huwezi ukamuweka mnyakyusa hata mwanamke chini yako ndo maana anakuwa mbishi hataki kuambiwa kitu maana ndani yake kuna utawala).
Mvumilie sio yeye, pia kuna mume wa kiroho anayesumbua na kuvuruga ndoa, waume wa kiroho wana wivu sana hatataka mwanamke atulie na ampende mwanaume na kumpa amani. Hawa nao huwa tunawapata kutokana na ukoo tulikozaliwa... Ule utani wa binti kuwa mke wa babu yake saa nyingine babu anawakilisha mwanaume mwingine katika ulimwengu wa roho hivyo binti anakuwa kama ameolewa kweli.
Kwa wanyakyusa ni rahisi kwa watu kuvunja ndoa au kuwa na wake wengine kwasababu ya haya mapepo yanayovuruga mustakabali wa watu kupitia kuharibu ndoa.
Suluhisho: mpeleke kwa mtumishi mwingine amuombee ili aweze kueleza wazi mfano iwapo anaota viumbe tajwa hapo juu, au anaota anafanya mapenzi, iwapo anakasirika haraka na anawazaje.
Kingine ni kwamba unayapa shida hayo mapepo hivyo yanataka kukunyima amani kwa kumtumia huyo mwanamke. Na huyo mwanamke hana amani pia wala hana furaha kwa sababu yanamkumbusha maumivu na kumpa mawazo mabaya kwamba na wewe ni sawa na mwanaume aliyemtesa ili kuwavuruga.
Kama uko Dar, hivi karibuni nimemfahamu mchungaji mmoja wa Lutheran ameokoka ana nguvu za Mungu na ana timu ya waombaji, nenda usharika wa kimara anaitwa mchungaji Mastai. Atafunguliwa mkeo na familia yako itakuwa ya furaha, upendo na amani.
 
mke wako na tatizo la kichwa.
Waone wataalam
hospitali ya muhimbili.
Utaanza kupona wewe kabla yake.
 
MIMI JAMAN SIO KWAMBA NAKUKATISHA TAMAA ILA KAMA MTU KILASIKU ANA AMANI NA WEWE NAWE KUWA BIZE FANYA MAMBO YAKO HAINA HAJA YA KULIA UTALIA HADI LINI? YAKIZIDI MWAMBIE AENDE KWAO MAANA HATA BIBILIA INASEMA MWAMKE MPUMBAVU HUVUNJA NYUMBAYAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE...... LABDA HAJAZOEA MAISHA YA KIMAOMBI SO ANAHIS KAMA VILE YUKO GEREZANI usitake kufa kisa mwanamke hivi unakubuka historia ya delila???????? be care mimi pia mwanamke nayajua haya mambo kama kweli yeye ndo mbaya usiogope mungu atakutetea
 
Wakati mwingine kujieleza mwenyewe upande mmoja bila upande mwingine kuwepo huwa kama kuna mambo yanafichwa na upande unaojeleza. Nimejitahidi sana niandike bila hasira yoyote.Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa mtu mwenye hisia kali sana zàkutengeneza picha ya familia yangu kuanzia mke mpaka watoto.

Kikubwa kilichokuwa kikijirudia ni picha ya familia yenye furaha sana. Hali hii ilijengea moyo wa upole na upendo sana ambao nimekua nao mpaka sasa.Mwaka 2013 nilifanikiwa kuoa mwanamke wa kinyakyusa aliekulia Dar, mmi nikiwa Mnyamwezi wa Ziba, Nzega Tabora. Wakati namuoa mke wangu alikuwa na mtoto mmoja.

Kwa maelezo yake ni mtoto aliezaa alipokuwa ameolewa huko Dar, ila ndoa ilivunjika baada ya mume kuoà ke mwingne na kumnyanyasa sana mke wangu huyu.Tulifahamiana Dar katia mishemishe ya maisha akiwa mwajiriwa wa shirika fulani. Kwakweli kwa uzuri wa binti huyu na vileàlivyoonekana mpole sikujishauri sana kuingia naye kwenye mahusiano hatimaye tukafunga ndoa.

Maisha yakaendelea na hali ilianza kubadilika àlionekàna kama mtu mwenyejupe na jeusi. Namaanisha anaweza kuamka amenuna bila sababu. Lakini pamoja na haya yote upendo wake kwangu ulionekana waziwazi mpaka kwa wazazi wake. Mwazoni mwa mwaka 2014 aliifungua mtoto wakike.

Tuliendelea na maisha ya ndoakwa hali hiyo hiyo.Ulifika wakati nikajaribu kuzungumza naye juu ya hali hiyo nakutaka kujua kulikoni anakuwa hivyo alisema kwa mateso alopata kwa mume wa kwanza yalimfanya kuwà na moyo katili. Nilimuanzishia huduma ya maombezi na kumpeleka kwa wachungaji walimwombea na hatimaye mapepo yalitoka. Kwa kiasi fulani alibadilika na kuwa mtu mzuri.

Pamoja na hali hiyo ya mabadiliko hali ya kununa iliendelea kuwepo na mbaya zaidi ukiuliza tatizo ninini anakuàmbia kawaida tu. Au mimi nina makosa? Anakuambia hamna.Wadau, nimejitahidi sana kumsaidia kwa kila jambo abadilke lakini hakuna mafanikio mpaka mudà naandika amekuwa na tabia za ajabu sana.

1. Hawezi kutii sauti ya mume kwa jambo lolote jema au baya. Unaweza kutoka naye out ukajidai kumçare wala hawezikusuuport hata. Unawezakmshauri asifanye jambo fulani vile linahatarish maisha yake wala hatakuelewa.

2. Kununa ni jambola kawaida kwake, hata siku3 amenuna tu bila sababu.

3. Hana muda wa kuchochea amani na upendo wenye ndoa, muda wote ni kutafuta namna ya kuingusha ndoa tu.

Kwakweli najisikia vibaya sana katika maisha yangu. Nilitamani sana kutimiza zile hisia za familiayangu yenye furaha na amani lakini imekuwa kinyume.Najisikia sina nafasi yoyote kwenye fàmilia kwa vile hawezi kunisikiliza na kukubaliana hoja zangu. Yàani kila jema unàlomfanyia yeye àtatakaufanya kinyume tu ilimradi mkorofishane.

Umefika wakati sasa hata hamu ya tendo landoa imekwisha kabisa, siwezi kusisimka kufanya naye chochote japo ni mzuri sana tu. Mfano mpaka sasa nina miezi 9 tangu nishiriki naye. Mimi ni mtumishi mkubwa tu kanisani kwetu nameshimu sana Mungu. Kwa muda wote huu sifanyi ngono, unafikawakati mwili unawaka tamaa mno lakini Mungu hunijalia uimara tena.

Nimemuombea sana huyu mwanamke lakinihakuna matund yoyote sasa. Nahisi hii hali ya kukosa hamu ya kushiriki nayehuenda ikaniathiri zaidkwani hata kwa wanawake wengi saasa naiona hàli hii.Wadau nimevumilia sana, nimepata vyote vizuri kwenye ndoa yangu lakinihiki kimoja amani na furaha nimevikosa. Naona bora nisingevipata vyote hivi ila nikakipata hicho kimoja.

Bora ningeoa maskni ambaye ningefurahinaye. Siwezi kutoka nje ya ndoa wala kuwa namçhepuko kwa vile imani yangu kwa Mungu ni imara. Lakini pia nahisi nawachukia sana wanawake sasa.Naona kama wote wànaweza kunifanyia hivihivi.Inaniuma sana bora Mungu aitwae roho yangu nikapumzike.

Maana mateso haya nimakali mno. Naandika nikiwa nabubujikwa na machozi mengi sana, je Mungu alinijalia upole na upendo ili niteseke namna hii? Naumia sana. Sijajua msaada mzuri zaidini upi, nimeamua kueleza jaambo langu hili la sirini kwenu huenda akapatikana hata mmoja akanipa ushauri.Mara nyingi nimekuwanikipost humu mambo ya utani lakiini leo nakuja kwenuna uchungu sana neno lako kwangu ni faraja tosha maishani mwangu.

Asante kwa ushauri wako

Wanyakyusa we mtafutie biashara za kusafiri safiri tu!
 
Changamoto za kuoa mwanamke aliyeachika ni nyingi sana. kwanza ulitakiwa ujiulize na ufanye utafiti wa kutosha kwanini huyo mume wake alimuacha? Na je kama kijana unahitaji kuoa mke aliyeachika? na ktk kutafuta majibu hukutakiwa kumuuliza yeye maana hangekupa majibu ya ukweli kwa nini aliachika. Tukiachilia mbali mgogoro wenu wa ndoa, hapo ulipo naona umeoa na unaishi na mke wa mtu. Hili nalo ni tatizo

Hata hivyo sio wewe pekee mwenye matatizo ya ndoa. Kuna watu wana matatizo makubwa zaidi yako lakini bado wanadunda na maisha yanasonga mbele. Usijisikie vibaya kuangukia mikononi mwa huyo mnyang'anyi anayekuvuruga malengo na amani yako. bado una thamani sana duniani na Kamwe usifikirie kujitoa roho/uhai kwa ajili ya timbwili za huyo mwanamke. Firikia mambo yaliyo chanya na sio hasi. Pole sana na Mungu akusaidie ushinde hilo jaribu. yangu ni hayo tu
 
Asante kwa ushauri wako

Nakushauri kwa sababu hali kama hii nimewahi kukutana nayo.

Kuna mtu tulianza mahusiano vizuri sana. She was really in love hadi namuonea huruma. I loved her so much kwa sababu she was decent, very honest yani na ni msichana anayejiheshimu. We were so happy.

Ghafla akawa ni wa kununa, hana ushirikiano wa kimapenzi, ni mlazimisha mambo na wa kulaumu hata kwa kitu alichofanya mwenyewe analaumu ni kwanini sikumzuia (Hapo ukimwambia usifanye anakuambia unaleta mfumo dume kwenye mahusiano) . Nilikonda kwa sababu I really loved her and hata nikimpigia simu hatuelewani(It was so frustrating). Hataki tuonane. Nikajifunza kitu kimoja; nikawa naignore. Nikajifunza kuishi bila yeye na kumuaccomodate akirudi. It worked kwa sababu tunachuniana baada ya muda anakuja anaomba msamaha and we go on happy kisha inajirudia tena. That was our life. Nikajitahidi kumpan kila alichotaka kusuluhisha anaonesha ushirikiano kidogo kisha we are back to square one.

Nikaja kuwaza nikagundua SHE WAS NOT GETTING WHAT SHE WANTS! yani mapenzi hayakuwa vile anavyotegemea yangekuwa, na ndio alikuwa anarealize mapenzi hayako vile alivyokuwa anafikiria. Akakiri pia I was the best she could ever find lakini sasa its not what she wants!

Tafuta kumjua zaidi mkeo, tafuta anataka maisha yaweje. Just be crazy and date her all over again. Pay attention sana na ikibidi uandike ujue ANATAKA NINI OUT OF LIFE (NOT just out of u!) . Msaidie kupata maisha ayatakayo. Ndoto zake ni nini? Help her live her dreams. UJue fika kama ndoto zake hazifikii hata wewe maisha yako yanaathirika (Unfortunately that is one of the drawbacks of married life). Akiishi maisha yake happily you will have your marriage back and not before. Kama alitaka asome awe mtu fulani help her get there. Mfuatilie tu kwa sababu if we dont get what we have always dreamed about life is just working, eating and sleeping (Meaningless since we are not machines).

I always tell people, ndio unataka mke akupikie, atunze nyumba yako na watoto, akuhudumie na akupe company (Honestly this is what a man wants!). BUT If that's not all she has always dreamed about then NDOA YENU NI SHIDA!!
If you don't help her, is it worthy it to stay with a miserable wife??????

Ukiona mtu anasubbotage mahusiano makusudi hasa when you think you are happy. The hard truth is; They are not getting what they want!!!
 
kama mungu alikupa huyo mke basi anamakusudi yake kutak kufa sio solution cha kufanya ni kusubiri wakat ukifik amani na vyote unavyoviomba vtakuja tu usiache kumuomba mungu maan yeye hachelewi wala hawahi just be patient all da best
 
Salute.
 
Katika maisha yako wewe mleta mada, amani na furaha ukivilinganisha na huyo mke wako kipi ni bora? Kama mke ni bora, endelea kuwa na mke, kama amani na furaha ni bora, basi piga chini mke. Kwa maelezo yako umejaribu njia zote kupata amani na furaha katika ndoa yako, mpaka unatamani kufa, kwa nini utamani kufa kwa mtu ambaye hata historia yake na familia yake ya nyuma huijui, isitoshe mmekuta jijini mkiwa watu wazima. Changanya na zako.
 
Back
Top Bottom