Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Kosa namba moja. Ulisikiliza upande mmoja wa hadithi na inawezekana ulimuamini tungo zake juu ya ndoa yake ya kwanza - ulitakiwa umchunguze sana maana kitu ndoa ukiona mwenzio katema ujue kuna jambo.

Pili, ulimuonyesha mapenzi zaidi na inawezekana ulionyesha uko desperate. Huo ni udhaifu mkubwa sana kisaikolojia na nyie mnaohificha madhabauni ni wahanga wakubwa wa haya mambo.

Tatu, watu wa madhabauni mnaamini kila tatizo ni pepo, kuna mengine ni ya kisaikolojia hivyo kabla ya kukimbilia maombi ulitakiwa ufanye uchambuzi uwe na ufahamu hasa.

Nne, mwananke kyishi naye kwa mafanikio siyo upole, ni hekima. Tumia muda mwingi kumsoma mwanamke saikolojia utaweza kila kitu. Unaweza kukuta umemkosea lkn kwa kuwa unaelewa master CD ya saikolojia ya mkeo unashangaa anakupigia magoti anakuomba msamaa kwa kosa lako. Upole haimaanishi uwe duwanzi.

Tano. Hakuna popote kwenye Biblia ilupokatazwa kwamba usioe wake wengi isipokuwa tu ukiwa shemasi au askofu sasa kama wewe ni kati ya hao sawa.

Huyo mwanamke ameshajua udhaifu wako na uhusiano wako na hofu yako juu ya kuchafua jina lako mbele ya jamii.

Mwisho. Ukitaka heshima irudi, japo hupendi chukua mwingine na ufanye makeke ajue kama umenunua benzi. Kaa huko kwa wiki mbili mfululizo ila uwe unakuja kubadilisha nguo alafu unachomoka. Mkeo atanyooka mwenyewe. Hiyo nayo ni hekima. Kumbuka kuna wakati Ibrahimu alikubali mke wake Sara kumeng'enywa wakati walipokwenda Misri kutafuta chakula hivyo Mungu anatumia njia nyingi kurekebisha.

Usijiue nitakuona boya kweli. Wanawake wapo wengi wenye sifa za kuishi na wanaume sema wewe ulijifanya Roho amekuonyesha so hukutaka kuangalia mara mbili.

Ndo hayo
We jamaa uko vizuri upstairs....na huu ndo uhalisia wa ndoa yake
 
Mkuu umeowa mtu ambae hakuwa tayari kuolewa na kwake alikubali mahusiano ili apate relief (rebound relationship) moyoni ,then wewe ukakimbilia ndoa. But now ndo karudi kwenye hali ya kawaida na sahv atakuwa anajuta kuingia kwenye ndoa akiwa hayupo sawa kiakili ndio maana haoni hta raha wala amani na umuhimu wa ndoa yake.
Huu ni ukweli mtupu...sijui mleta uzi aliona hapa?
 
Yalinikuta hayo mamy, kadri unavyojitahidi kumtimizia majuku yake, ndio kiburi kinaongezeka. Ni kweli hata kwa rafiki zake alikuwa akinijisifia kuwa ameniweka kwenye kiganja. Well nilimuacha bila taarifa, alidhan utani lakin baada ya mwez kupita akaanza kurud na misamaha mingi.
Ulimrudia?
 
Kosa namba moja. Ulisikiliza upande mmoja wa hadithi na inawezekana ulimuamini tungo zake juu ya ndoa yake ya kwanza - ulitakiwa umchunguze sana maana kitu ndoa ukiona mwenzio katema ujue kuna jambo.

Pili, ulimuonyesha mapenzi zaidi na inawezekana ulionyesha uko desperate. Huo ni udhaifu mkubwa sana kisaikolojia na nyie mnaohificha madhabauni ni wahanga wakubwa wa haya mambo.

Tatu, watu wa madhabauni mnaamini kila tatizo ni pepo, kuna mengine ni ya kisaikolojia hivyo kabla ya kukimbilia maombi ulitakiwa ufanye uchambuzi uwe na ufahamu hasa.

Nne, mwananke kyishi naye kwa mafanikio siyo upole, ni hekima. Tumia muda mwingi kumsoma mwanamke saikolojia utaweza kila kitu. Unaweza kukuta umemkosea lkn kwa kuwa unaelewa master CD ya saikolojia ya mkeo unashangaa anakupigia magoti anakuomba msamaa kwa kosa lako. Upole haimaanishi uwe duwanzi.

Tano. Hakuna popote kwenye Biblia ilupokatazwa kwamba usioe wake wengi isipokuwa tu ukiwa shemasi au askofu sasa kama wewe ni kati ya hao sawa.

Huyo mwanamke ameshajua udhaifu wako na uhusiano wako na hofu yako juu ya kuchafua jina lako mbele ya jamii.

Mwisho. Ukitaka heshima irudi, japo hupendi chukua mwingine na ufanye makeke ajue kama umenunua benzi. Kaa huko kwa wiki mbili mfululizo ila uwe unakuja kubadilisha nguo alafu unachomoka. Mkeo atanyooka mwenyewe. Hiyo nayo ni hekima. Kumbuka kuna wakati Ibrahimu alikubali mke wake Sara kumeng'enywa wakati walipokwenda Misri kutafuta chakula hivyo Mungu anatumia njia nyingi kurekebisha.

Usijiue nitakuona boya kweli. Wanawake wapo wengi wenye sifa za kuishi na wanaume sema wewe ulijifanya Roho amekuonyesha so hukutaka kuangalia mara mbili.

Ndo hayo

Ubarikiwe mkuu comment nzuri asipokuelewa hatoelewa tena.
 
Kumbukumbu la torati 29:29 Mambo ya siri ni ya Bwana Mungu wetu, lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tufanye maneno yote ya sheria hii.
Bwana Yesu akutie nguvu, usitaman kufa. Kama mambo ya sirin ni ya Mungu basi usitake kuyajua maana hutoyajua. Lakin kama unaona jaribu/shida/adui yako basi jua hilo liko ndani ya uwezo wako.

Warumi12:3 kila mmoja amepewa kiasi chake. Yaani kila mmoja amepewa kiasi katika imani. Nikutie moyo ya kwamba hapo sio mwisho na hautakufa bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya Bwana. Usisahau pia Mungu haruhusu ujaribiwe ipitavyo(kuzidi imani yako) jaribu lolote liko ndani ya uwezo.

Maombi yangu kwa Bwana sasa akuongezee imani hata wanafunzi wa Yesu walikosa Imani ndio maana walishindwa kumtoa pepo. [HASHTAG]#2018[/HASHTAG] usikimbie ndoa/majaribu/maadui bali utakabiliana nao kwa Jina la Yesu. Kumbu la torati 28:7 huu mstari ukuinue tena ulipokwama.
 
Amani basi wanyakyusa wana matatizo maana ht Mimi nimeona mnyakyusa lkn najuta najuta najuta mwanamke ana kisirani mchoyo hana msamaha uongo katili. Tunaweza kana miezi 3 bila sex ukweli ni Shida wanyakyusa. Maana hat mjombangu aliona mnyakyusa alipata Shida Sana. Jamani hawa wanyaki vpi
 
Moja umeoa kabila ambalo wanawake wengi wao ni wakorofi kupitiliza, nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa na tukazaa mtoto mmoja, baadae alianza kubadilika, yani hizo tabia unazosema ndo zile zile alizokuwa anafanya, mi nkashindwa.
Pili inaonekana hata huyo bwanake wa mwanzo waliachana sababu ya tabia zake.
Trust me yaweza kuwa sio kosa lako kabisa, kuna wanawake wana matatizo, inabidi umuache kama alivyo tu.
 
Kwa wale wanaomshinda shetani na vita yake dhidi ya uzinz kabla ya ndoa hupatiwa mateso makali kwaajil ya kubeba msalaba wa kristo, maana YESU alisema anaetaka kunifuata na ajikane mwenyewe abebe msalaba amfuate chukulia ni majarb tu na yatapta!

Pili we umewah kwenda kuombewa ama kujiombea? Usipende tabia ya kumuhc haraka mtu kwa mapepo na kumuombea huku nafsi yako inatakiwa kuombewa sana, maana weng huwa wakiwa wakubwa sana kanisan huwa wanajionaga km wao ndio MUNGU na wanamaono kwa binadam yeyote kumbe cvyo.

Tatu katka maisha hakuna kila binadamu alie timiza ndoto yake mengine hubaki km historia tu

hayo ni yangu tu ila ID yako na wewe vnanpa mashaka.
..exacty watu wanaosali sana ni too judgemental,..wenyewe wanajiona wako sahihi always...
 
Nakushauri kwa sababu hali kama hii nimewahi kukutana nayo.

Kuna mtu tulianza mahusiano vizuri sana. She was really in love hadi namuonea huruma. I loved her so much kwa sababu she was decent, very honest yani na ni msichana anayejiheshimu. We were so happy.

Ghafla akawa ni wa kununa, hana ushirikiano wa kimapenzi, ni mlazimisha mambo na wa kulaumu hata kwa kitu alichofanya mwenyewe analaumu ni kwanini sikumzuia (Hapo ukimwambia usifanye anakuambia unaleta mfumo dume kwenye mahusiano) . Nilikonda kwa sababu I really loved her and hata nikimpigia simu hatuelewani(It was so frustrating). Hataki tuonane. Nikajifunza kitu kimoja; nikawa naignore. Nikajifunza kuishi bila yeye na kumuaccomodate akirudi. It worked kwa sababu tunachuniana baada ya muda anakuja anaomba msamaha and we go on happy kisha inajirudia tena. That was our life. Nikajitahidi kumpan kila alichotaka kusuluhisha anaonesha ushirikiano kidogo kisha we are back to square one.

Nikaja kuwaza nikagundua SHE WAS NOT GETTING WHAT SHE WANTS! yani mapenzi hayakuwa vile anavyotegemea yangekuwa, na ndio alikuwa anarealize mapenzi hayako vile alivyokuwa anafikiria. Akakiri pia I was the best she could ever find lakini sasa its not what she wants!

Tafuta kumjua zaidi mkeo, tafuta anataka maisha yaweje. Just be crazy and date her all over again. Pay attention sana na ikibidi uandike ujue ANATAKA NINI OUT OF LIFE (NOT just out of u!) . Msaidie kupata maisha ayatakayo. Ndoto zake ni nini? Help her live her dreams. UJue fika kama ndoto zake hazifikii hata wewe maisha yako yanaathirika (Unfortunately that is one of the drawbacks of married life). Akiishi maisha yake happily you will have your marriage back and not before. Kama alitaka asome awe mtu fulani help her get there. Mfuatilie tu kwa sababu if we dont get what we have always dreamed about life is just working, eating and sleeping (Meaningless since we are not machines).

I always tell people, ndio unataka mke akupikie, atunze nyumba yako na watoto, akuhudumie na akupe company (Honestly this is what a man wants!). BUT If that's not all she has always dreamed about then NDOA YENU NI SHIDA!!
If you don't help her, is it worthy it to stay with a miserable wife??????

Ukiona mtu anasubbotage mahusiano makusudi hasa when you think you are happy. The hard truth is; They are not getting what they want!!!
..mbona huyo mtu wako anafanana tabia na wakwangu?..
 
..vp ulimuoa?
 
pole sana kaka
Kuna tatizo kubwa sana wanawake na wanaume walioachika/kuvunja ndoa wanapitia bila kupata msaada jinsi ya ku move on bila mume/mke. Hali hiyo huchangia msongo wa mawazo ambao badae hupelekea depression au magonjwa mengine ya akili. Angalia kama mkeo alipata msaada wowote baada ya kuvunja ndoa ya pili, hata kuongea na mchungaji atoe nyongo yote na aweze kupatiwa hata program ya kumsaidia
Pili wamama wengi tuliozaa huwa tunapitia postnatal depression au nervous brake down, anawezekana alipata ugonjwa huu alipojifungua mtoto wa kwanza au mtoto wenu wa pili na kwa Tanzania au chi zetu za kiafrica sijui kama madoctor wanatilia mkazo ugonjwa huu.
kwahio unapoendelea katika mchakato wa maombi pia nendeni hospital kwa vipimo zaidi...msaada na ushauri.
 
kuna kitu kimoja umekosea, ni kutojua vita. wewe unaonekana ni mtu wa kiroho, na unatakiwa kupigana vita vya kiroho. nitakusaiia kitu kimoja ambacho ukikifuata, utapata furaha ya milele.

kwanza kabisa, kila kabila lina pepo lake, na pepo mojawapo la wanawake wa kinyakyusa ni kiburi na kutosikiliza waume zao na uzinzi. naona hilo la uzinzi mkeo kapona lakini la kiburi lipo. nina experience na wanyakyusa, na nimeolea huko pia. usishindane nao, sio wao ni roho iliyoko ndani yao. ni kama roho ya wahehe tu kuwa na hasira, au ya wamachame kupenda hela kupita chochote. its a spirit ambayo unatakiwa kudeal nayo kiroho na si kimwili.

kuna kipindi ndoa yangu ilishawahi kuwa hivyo, kiburi sana na kununiana sana hivyohivyo, na ilitokea hivyo kwasababu alijua mimi ni mlokole siwezi kufanya chochote. ilitupelekea hata matumizi ya kutumia nguvu kidogo jambo lililonifanya nijute sana. ila nikapata suluhisho kwenye bible.

zipo roho zilizowekwa kabisa na shetani kazi yake ni kuvuruga ndoa, kukosesha ndoa amani na kuwagonganisha vichwa mtaumizana mioyo wee na shetani yupo pembeni anawacheka tu. dawa yake, unatakiwa kushambulia mashetani hayo kwa maombi, usifunge tu, tumia neno la Mungu kushambulia kuchinjachinja kwa Jina la Yesu na Damu ya Yesu, fanya hivyo kwa kutumia mistari ya kwenye Bible, mfano: imeandikwa tumepewa mamlaka kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule adui shetani wala hakuna kitakachotudhuru,....wewe sasa tamka kwa Jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu ninakanyaga nguvu zote za giza, roho za kuvuruga ndoa kati yangu na mke wangu, roho ya kiburi kwa mke wangu etc...chinjachinja kwa mwezi mmoja hivi, hali hiyo itapotea na mkeo utafikiri amefufuka hutamwona tena na hali ile na yeye atajisikia mwepesi. ilinitokea hivyo, na kila ikitaka kurudia hata akinijibu vibaya huwa najua ni shetani tu anatafuta mimi nami nireact ili apate nafasi ya kuingilia, na akiingia huwa anavuruga kwa maangamizi makuba utakapokuja kuomba atakimbia lakini ameshasababisha madhara makuuubwa. hii ndio siri pekee ya vita vya rohoni.

zaidi ya yote, wamwabuduo Mungu imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli. lazima Roho mtakatifu ahusike katika maisha yako, katika kuabudu kwako, katika kuomba kwako everything you do, Roho Mtakatifu atakuwepo kwako kama utashuka mbele za Mungu, kutubu kwa kumaanisha kuacha dhambi, na mwombe Mungu akujaze Roho wake, utabubujina na ukipata neema hiyo, chochote utakachoongea, utakachotamka, utakachofanya huwa kina upako wa nguvu za Mungu na kinatendeka. Roho mtakatifu ni moto ulao ambao mapepo ndani yako au kwa mkeo/ubavu wako yatayeyuka yenyewe. Yesu anabatiza kwa Roho mtakatifu hata leo hii, Yohana aliwaambia ,mimi nabatiza kwa maji lakini ajaye atawabatiza kwa Roho mtakatifu na kwa moto. Roho Mtakatifu ambaye ndiye Mungu mwenyewe ni moto ulao. ukivumilia, ukashuka mbele za Mungu, ukamtafuta Mungu kwa moyo wako wote ukawa na kiu ya maji yake ya uzima/Roho, utapata neema na vita vyako vyote vitakuwa vizuri sana na ndoa yako itakuwa bora.

Roho mtakatifu ni wa muhimu sana katika maombi, kwasababu yeye analia 'aba" na anaomba kwa kuugua kusikoweza kutamkwa ndani yetu ndio maana uombapo kwa Roho moyo wako huwa unapondeka to the maximum. Mungu akusaidie.
Comment safi.
 
Mwanamke wa namna hiyo anajua udhaifu uliopo kwako na kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu na kwamba huwezi kumfanya chochote na anajua wazi kabisa kuwa hata kumuacha huwezi kwa sababu anajua kuwa utaogopa kwamba jamii itakuonaje mtumishi wa Bwana!!!
Ulishamwonesha hilo kuwa hauwezi kumuacha kwa sababu hiyo ya imani.
Mwanamke anahitaji akili na sio imani.
Uzoefu wangu!!!
Mimi nina nafasi kama yako kanisani na ni mtumishi wa Bwana. Niliwahi kukumbana na hali kama yako na nadhani ni zaidi ya yako kwa sababu mkeo hajakusaliti waziwazi na kukutukana na kukwambia waziwazi kuwa ametembea na huyo mchepuko. Kiufupi no zaidi yako!!
Nilifanya maamuzi magumu ya kumuondoa na kutengana naye na wachungaji wote wakaruhusu kuwa kwa hali iliyopo kama nataka talaka zaidi ruksa. Tulikaa miezi 6 nikiendelea na taratibu za kimya za talaka!! Nilibadilika kabisa nilionesha sura nyingine ambayo hakuwahi kuiona kwa mtumishi mimi, nilikuwa mnyama haswaaa!!
Tunamshukuru Mungu baadae kuna mambo yalitokea na nikamsamehe(kufupisha stori tu) na sasa ana adabu balaa na ndio yuko kwa Mungu zaidi yangu na anaendelea na huduma vzr kabisa.
Sasa ndugu yangu mtumishi, nakushauri vaa sura tofauti kabisa, muoneshe kuwa anachowaza sicho. Muoneshe kuwa unaweza kumuacha. Kiufupi mfanyie surprise ya tabia ambayo hajawahi kuwazia tangu siku ya kwanza anakutanulia miguu. Onesha nje ya boksi kuwa sio mchungaji wala askofu anayeweza kuja kukushauri iwapo ukiamua kumuacha. Ukifanikiwa hili kaka utakuwa umemaliza!!
Baadhi ya wanawake walioolewa na watumishi wa Bwana wamekuwa na hii tabia sana wakidhani hawawezi kuachwa. Sasa tuwaoneshe sura nyingine ili akili ikae sawa.
 
duh !kweli kwenye miti jaman hakuna wajenzi

ngoja niishie hapa!pole saana
 
Back
Top Bottom