Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Nastahili pumziko la milele! Ee Mungu nisaidie!


Baba Mchungaji NEVER GIVE UPPP......naona hata imani yako inaanza kuingia shaka...unaonekan ni mcha mungu, hiyo ni sehemu ya majaribu upasayo kupitia

Je wamkubali kwa wakato wote wa raha na shidaaa ?

Nendeni "vacation" mkaongee
 
mkuu unaabudu wapi? kuna uwezekano ndani yako ukawa na kusudi la mungu kubwa sana, sasa ili usifikie iyo destiny huyo ndo anatumiwa na mtandao wa giza. izo ni roho za kiburi,na huwa zinapelekea hata kutofanikiwa. ujue tu kwanza uyo ni mke wako, tafuta wachungaji wenye neema zaidi atafunguliwa na kila ki2 kitakuwa vzr. kama upo dar nenda kanisa moja lipo tabata kinyerez anaitwa innocent kapenda na huduma yake inaitwa betheli deliverance. au ni pm.
by pastor E
 
Naomba nikuulize

1. Hivi miezi yote 9 ambayo ujalala na mkeo, yeye anapata hiyo huduma wapi?

2. Hivi unajua historia yake ya nyuma vizuri. Nina maana mume wake wa kwanza alikuwa mtu ya aina gani mchungaji kama wewe? Msela? Au mpole?

3. Ushawahi kumuonesha kuwa unaweza kuishi nila yeye wakati wowote.

Mi nanachoona we umezidi kuwa laini laini wakati mkeo anataka njia mbadala. Jaribu kupiga kazi vizuri kitandani style zote, (sio za kilokole) then utaona matunda siku chache.

Inaonekana umpe furaha ya ndoa na ndio maana ameweza kukaa muda mrefu na ajaomba hata penzi kwako.

Jamani tuache kuwa walokole kwenye mapenzi

Mkuu kuna jamaa mmoja ameeleza vizuri huko juu, aliish na mkenya wa tabia hii. Tatizo si mapenzi kitandani, kwa muda wote huu wa mchunguza mke wangu ingekuwa nihivyo ningejua.

Kuhusu sababuza kuachana na mmewe nimeziandika kule juu.
 
Kwa mawazo yangu nadhani mke wako sasa anaanza kutumiwa na shetani ili kuivuruga ndoa yenu kumbuka wewe ni mtumishi unadhani shetani anapenda unavyo mtumikia Mungu? La asha! Mkeo uenda karudia penzi la zamani fanya uchunguzi utafahamu. Onyo control hasira zako busara zitawale kichwani mwako nahekima huku ukimwambia Mungu akuoneshe tatizo liko wapi. Pole
 
Pole kwa matatzo yaliyokupata muhm n kumkabidh Mungu maana hashndw ukiamin ktk roho mtakatf,, cha mcng acha mawazo ya kujiua maana n dhambi kuliko unavyokosa furah sa iv
Naikumbuka speech moja ya Adolf hittler kuwa ktk maisha yke alkuw anaogopa vitu viwili MTIHANI na MWANAMKE
 
mkuu unaabudu wapi? kuna uwezekano ndani yako ukawa na kusudi la mungu kubwa sana, sasa ili usifikie iyo destiny huyo ndo anatumiwa na mtandao wa giza. izo ni roho za kiburi,na huwa zinapelekea hata kutofanikiwa. ujue tu kwanza uyo ni mke wako, tafuta wachungaji wenye neema zaidi atafunguliwa na kila ki2 kitakuwa vzr. kama upo dar nenda kanisa moja lipo tabata kinyerez anaitwa innocent kapenda na huduma yake inaitwa betheli deliverance. au ni pm.
by pastor E

Mkuu hapa ndiyo umegusa pointi. Ningekuwa namke mwema tangutuoane nadhani huenda kazi ya Mungu kupitia utumishi wangu. Niko wild sana kwenye huduma nikiwa gifted sana na huduma nyingi, preaching, neno la maarifa, neno lahekma, intersession, healing n.k lakini ndo hvyo nimepambana mno na hili lakini naona halifikii hali niitakayo. Nasali madhehebu ya kiroho (Penteçostal)
 
Baba mchungaji pole, nadhani nature ya mkeo alipaswa kuolewa na mtu mkorofi sio mpole kama ww, kamwe hamuwezi kwenda sambamba unless ubadirike uwe mkali kidogo.
 
Majaribu2013

Wanawake wa bongo ukijishusha ukawa mpole vita huwa wanaianzisha wao ila ukiwa mkorofi wao wanakuwa wapole so ulitakiwa kumlea kwa hali zote mbili AMANI na VITA.
 
Last edited by a moderator:
Nastahili pumziko la milele! Ee Mungu nisaidie!

No haustahil kukata tamaa na mungu unayem2mikia hataruhusu ufe KIZEMBE,,,,Mi pia nna mchumba mwenye tabia kama za mke wako but namwoomba mungu abadilike..,,endelea kumwamin mungu na uamin kuwa atatenda hata kama sio leo..HUTAKUFA BAL UTAISH UYATANGAZF MATENDO MAKUU YA MUNGU.
 
Wanawake wa bongo ukijishusha ukawa mpole vita huwa wanaianzisha wao ila ukiwa mkorofi wao wanakuwa wapole so ulitakiwa kumlea kwa hali zote mbili AMANI na VITA.

AMAN NA VITA,,,mkuu unahc hv v2 vinamchanganyiko?
 
kikubwa acha kumbembekeza fanya yako ikiwezekana naww kuw kauzu napengine hata ukirudi chakula chake usile ubalala tuu yaan jarib kumfanyia vituko.maan.ukimdekeza atakuumiza wanawake wengine hawajui kudekezwa.
 
Pole sana. Ni vema kufunga na kuomba.
Endelea kufanya maombi makali zaidi yakiambatana na kufunga na muda ukifika Mungu atatenda mpaka utafurahi mwenyewe. Uvumilivu ni muhimu kwani hali inaweza isibadilike kwa kipindi fulani au hata ikawa mbaya zaidi, ila wewe silaha yako ni kusimama katika maombi kama baba wa familia na muda mwafaka ukifika Mungu atakurudishia mara mbili au zaidi.
chukua biblia yako, soma, tafakari mwombe Mungu, funga, ombea familia yako.
Biblia takupa faraja unayoihotaji, jikumbushe ahadi za Mungu kwa wale wamtumainiao, hizo ndizo zitakuwa faraja yako wakati ukisubiri Bwana kutenda. Utakuja kuniambia humu humu

naomba nishukuru badala yake ASANTE SANA MKUU.,,,mungu ni mwaminifu kwa ahad zake so hatakiw kukata tamaa kabsa maana mungu ameshamsikia na atatenda in any means
 
Kuomba Mungu akutwae si sahihi, nakuomba utubu tu na usiwaze hayo mambo ya kufa.

Jaribu linapomjia mtu huwa halina sura, taarifa wala specific approach. Kuna wenzio wengi ambao Mungu anajivunia walokuwa na jaribu kama lako lakini walipasua. Think twice maana wewe peke yako ndio utaenda kutoa hesabu, na pia mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.

Mungu ni mtetezi wetu na ni msaada wetu pale tunapohisi hatuna nguvu tena za kuendelea mbele yeye huja na kututia nguvu. Kama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu, naomba ujipange na umuombe Mungu akupe soln ya hili tatizo lako.

Kutafta utetezi au msaada kwa wanadamu haitakusaidia. Yesu pekee ndio analojibu lako. Nakusihi mtafte bila kuchoka. Yesu akasema namna hii haiwezekani, isipokuwa kwa kufunga na kuomba.

Pole sana, Yesu akutie nguvu.

upo xawa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom