Sasa kama kakutwa na message kiburi cha nini? Kwani kujishusha sh ngapi? Angeomba msamaha yaishe...hamna mkate mgumu mbele ya Chai huyo mume angeelewa tu...
Sasa wakitengana ada atalipa nani? Kapewa mkopo au ndo mpango kando?
Kamwambie kwa sura iliyokomaa na kushupaa, mnyooshee kidole katikati ya paji la uso wake useme "mtii mumeo manake hivyo ndivyo ikupasavyo kufanya"
kwani tazama huwezi kujutia hasara uipatayo kama huijui hiyo hasara, ole wake yakimpata mambo magumu mbeleni akishupaza shingo leo, atajibeba na elimu anayoitafuta.
samahani "mimi si nabii" na huyo rafiki yako asimshawishi MUNGU kuutia unabii kwangu kwa ajili yake.
Kwao hawana uwezo tumemaliz adv2007 wazaz wake walishndwa kumudu gharama akaenda dipHalafu kashindwa kuelewa mtu aliyeamua kumsomesha ndio wa muhimu katika maisha.
Ingekuwa rahisi yeye kusomeshwa basi wazazi wake wangemsomesha halafu awaketee kiburi hicho...mpuuzi huyu.
Kwao hawana uwezo tumemaliz adv2007 wazaz wake walishndwa kumudu gharama akaenda dip
Mkuu Ukwaju fimbo za wima kuzimudu labda awe mtoto wa mjini,hao waliotoka shamba wakikutana nazo ndo hapo wanapodata na kuvunja ndoa zao.raha ya Chuoni ni ya muda mfupi kwani atamaliza na kupata ajira
napo katika ajira atakuja kustaafu
Mapenzi ya Chuoni ni hatari sana kwani kule watu wanapiga fimbo za wima wanaita minazi
mwaka wa kwanza ukiingia unabebwana 2nd year au 3rd
lakini UKIMWI hawezi kuuona mpaka aukwae, maana huko ndio mke wa jamaa yangu mwenye watoto wa2 aliubebea
Aliharibu mwanzo alivyuoulizwa akajitia ujuajiSasa kama kakutwa na message kiburi cha nini? Kwani kujishusha sh ngapi? Angeomba msamaha yaishe...hamna mkate mgumu mbele ya Chai huyo mume angeelewa tu...
Sasa wakitengana ada atalipa nani? Kapewa mkopo au ndo mpango kando?
Kati ya simu na papuchi kipi ni sensitive?. Kama anakagua papuchi kila siku na gegedo simu ni nini hata isiguswe?. Wewe naye mchepuko tu.
Aliharibu mwanzo alivyuoulizwa akajitia ujuaji
Halafu kashindwa kuelewa mtu aliyeamua kumsomesha ndio wa muhimu katika maisha.
Ingekuwa rahisi yeye kusomeshwa basi wazazi wake wangemsomesha halafu awaketee kiburi hicho...mpuuzi huyu.
Huwa nawashangaa watu wa aina hii....simu zenu zina nini?
wao hawataki kusameheana ila ww mbio mbio JF kuomba ushauri kwa ajili yao ? ni kwamba huna mambo ya kufanya ? au wewe yakwako umemaliza ? hata tukikupa ushauri huo utaupeleka wapi kama hata uliompa mwanzo ameshindwa kukusikiliza ? jibu maswali yote kwa usahihi ndipo utake ushauri
Ni ya kwake alitolea mahari mwache atafunee hadi mifupaaaHuyo mwanaume hana lolote anataka tu papuchi ibaki karibu yake alikuwa anamtafutia sababu tu
Haya yanaweza yakamkumba! !
Nje ya mada kidogo....Kwao hawana uwezo tumemaliz adv2007 wazaz wake walishndwa kumudu gharama akaenda dip