mi alivyonambia pia nilimwambia km ulivyosema wewe akaniuliza
"ina maana niache shule kwa sababu yake?"
ningeweza ningeambtanisha msg moja alontumia
nikamjibu nooo usiache fanya atakavyo akanambia
"G noo umeniacha sana we mwenzangu unasema hvyi kwa kua uko serkalin na unamaliza nyingine mi lini"kwani mumeo si km wangu tuu
nkamwambia wako tofauti kimawazo ila mi sipendi waachane
Pumbavu sana huyo afu wanawake bana....huyo kiburi Kuku mchafu sana....
Uyo dada ajishushe tu, ni ngumu mwanaume kukubali kwamba iyo sms ni ya utani.Amuombe msamaha mme wake ili aendelee na chuo( sio open).
Ajifunze kutokana na makosa.Asiwe anakubali masms ya ajabu ajabu kutoka kwa wanaume atambue ye ni mke wa mtu.
Mfano mimi mtu( mwanaume) akinitumia sms hata kama ya utani lakini ni mbaya huwa namuambia asirudie tena mimi ni mke wa mtu sitaki sms za namna iyo.Uyo mtu haezi rudia tena
Haya yanaweza yakamkumba! !Pumbavu sana huyo afu wanawake bana....huyo kiburi Kuku mchafu sana....
Umechakachua point yangu....suala sio kuanza mambo ukubwani bali ni kuanza kukutana na vishawishi ukubwani
angalia ulivoanza kuninukuu then ujishangae!Asee mbona unawaka sana kijana?umeguswa na nini?hayo maneno ya kwenye kanga yanatoka wapi kwenda wapi?mbona unashindwa kusoma nyakati...
baba ako ana hekma sana
huyu bnt kwao wako wawl ye na kaka ake tu
wazazi nao busara hawana japo mi nimemsihi usijaribu kuondoka utapta laana ya mme
Msj hyo sidhani kama ilikua ya kawaida!
Mwanaume asingekomaa hivyo!
Pia yy ndo amekosea alitakiwa aombe msamaha
Angejishusha tu coz hajaonewa hapo!
Ss km anaona ndoa sio issue bora aondoke sio bure!
Wajawake wangapi sasa?? Wakati umepewa habari ya mwanamke mmoja!
Mawazo ya nn wakat mwenzio kiburi.
yuko IRINGA
hapa kuna tatizo zaid ya sms
kuna vitu vingiiií!
na ndo shida ya kukosa mawasiliano,cku yakifumuka kila mtu anawashangaa,ile like eh hiili tuu!
kumbe kuna mazagazaga kibao.
weweee kiburi gani alichonacho? ulitaka aache chuo?? yuko sahihi tu alivyoamua
Unapokuwa ba shida unajishusha ili ufanikiwe kupata kile unachotaka kama huwezi kujishusha basi maliza shuda zako mwnyw usitake msaada kwa mtu.
Beside huyu mtu hajasema hiyo msg ilikuwa inasema nn cz jamaa sio mjinga mpk afikie maamuzi hayo.
Hiyo msg sio ya kawaida asingetoa hizo options! Huyo mdada si bure ana kamchepuko!
Laana ya mume ndo inafananaje?
According to you....umesema sms za kawaida za salaam, sasa hizo ndo zimfanye mtu atoe masharti yote hayo au kuna lingine??
Dah wizi nao ukizidi sana sio issue!!
Hili nalo neno
angalia ulivoanza kuninukuu then ujishangae!
mxeeeew ,wasalimie uendako