Ndoa ngumu jamani

Hako kadume kaliko mtumia meseji hajui kamemtumia Kwa vile mke wa mtu akiachika atakiona cha moto katamkimbia ada na matumizi atatoa wapi wanawake wengi ni shidaaaaaaah.
 
Kwao hawana uwezo tumemaliz adv2007 wazaz wake walishndwa kumudu gharama akaenda dip

Ss hao wazazi leo wanajishaua nn?

Yaani leo ndo wanamshauri ujinga wanaona huyo mume hana.maana?

Mwambie aondoke
Halafu mwaume avute mke mwingine mpumbavu hana shukrani
 
Hii Thread in mafunzo mengi sana.

Watu wengi siku hizi kila siku wanalalamika ndoa ngumu, ukweli ni kwamba, kwenye mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume kuna wakati kutakuwa na kukinzana kwenye maamuzi, mwanaume anataka A, mwanamke anataka B.... Hapo ndipo "weak" link ya mahusiano. Ni namna gani mnahandle hizo situations will determine kama mtadumu au mtapotea.

Something has to give!

Mmoja wenu lazima aseme, niko tayari kupoteza hili kwa sababu kuna jambo kubwa zaidi la kuokoa. Na huku Africa, kunapotokea hizo moments, MEN WILL DEMAND THAT THEIR WILL IS DONE. Sasa wewe kama ni mwanamke na upo kwenye mahusiano ya KIAFRIKA, jiandae kwa hilo. Ni mara chache sana ukakuta mwanamme aka-back down kwenye mambo kama haya hasa linapokuja swala la kuhisi unaibiwa au utaibiwa. No men will want to risk their marriage in this way.

Mimi mwenyewe mke wangu mtarajiwa, ingawa bado hata sijamuoa lakini when it comes to critical matters, when I say no I mean no and it will be a no. Atalalamika lakini hatafanya, mwisho wa siku tutaenda out na atasahau. Mwanamke bila utii, mahusiano yako yatayumba tu, utabaki kusema sina bahati, sina bahati kumbe tatizo ni jeuri zako.
 
tumshauri ili iweje firauni uyo! limechepuka likanogewa linasahau fadhila za mumewe, ndoa na watoto.. jitu lenyewe papuchi used liache liende kuliwa tigo

ndo mwenye mke nn mkuu
 
mmh!! sasa hapo anadhani anamkomoa nani? hapo inahitajika busara ya hali ya juu ifikie hatua mwanamke atambue nafasi yake kama mke asijifanye na yeye kichwa, tena anamletea kiburi mume ambae anamsomesha!! whts the heck!
kwani angekuwa mpole na kumuelewesha mumewe juu ya hiyo msg angebabuka!!
kiburi hadi kwa mume!! au kishapata mtu huko chuo anamzuzua? kweli wanawake mwalimu wetu kipofu, alidhani ndoa lelemama? yahitaji uvumilivu,busara,hekima,kujishusha......nk
 
Hili la imani zao sio la kupuuza,kuna imani zenye ndoa za msimu.na unaweza kuoa leo ukaacha kesho.keshokutwa ukaoa tena siku inafuata unaongeza mwingine.
Wako kundi hili waambie, walipaswa kuachana wiki mbili baada ya ndoa yao!
 

90% ya wake za watu wanaosoma vyuo vikuu wanatarasuliwa na vijana hapo chuo... mume anapoteza hela zake na mwanamke jeuri....I FEEL SORRY FOR THE GUY HANA MKE HAPO.
 
Jamaa yuko sahihi. Waloolewa vyuoni ni shida tupu, na hivi hana mkopo!!
 
Mwanaume hawezi kukasirika bure. Hiyo message lazima ilikuwa nzito tena ya kimapenzi. Eti utani. Bullcrap! Na hicho kiburi ni dhahiri huyo rafiki yako anagongwa huko chuoni. Mwanamke tena mke wa mtu mwenye hekima hawezi entertain ujinga kutoka kwa wanaume wengine. She is pro'ly cheating on her husband. Akiendelea na kiburi ajue atayeshindwa ni yeye. Hao wanafunzi wenzake wanaomgonga wanamuona mzuri kwa kuwa mwanaume mwenzi wao anatunza. Ngoja aachike aone. Vile vile mueleze rafiki yako, wanawake ni wengi sana na warahisi sana siku hizi. Aache kiburi na abadilike.
 
Mwambie aombe msamaha tena na tena,ingawa itakuwa ngumu maana ameshatoa majibu ambayo ni hayo masharti 3,na amuombe Mungu wake sana sababu hiyo ni sms tu masharti kibao,akimfumania hakika atamtoa roho
 
Siku zote mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Tuambie msg ilikuwa inasemaje, mbona unakwepa. ukitaka ushauri weka mambo wazi, yawezekana jamaa kakuta msg ambayo inamsifu mama kwa mautundu yake aliyomfanyia mwanachuo mwenzake!!!
Chardams,...avatar yako ni kama inaujumbe fulan vile!
 
Wewe mdada unaakiri sana nakuombea Mungu uendelee hivyo hivyo,..always sitoacha kukuambia ukweli,..your husband deserve to be with U!
 
Hako kadume kaliko mtumia meseji hajui kamemtumia Kwa vile mke wa mtu akiachika atakiona cha moto katamkimbia ada na matumizi atatoa wapi wanawake wengi ni shidaaaaaaah.
Wapi TIQO!...........
 
Kama Mumewe Mbongo well hata kama utani aombe msamaha, kibongobongo hakunaga utani kati ya Mke wa Mtu na mwanaume mwingine yeyote , so amemkosea Mumewe aache Ubishi! hata kama anahisi hana kosa yeye aombe msamaha tu , yaani awe zezeta ajishushe tu, aombe msamaha yaani na kusisitiza ni kiasi gani anampenda!
 
Kwao hawana uwezo tumemaliz adv2007 wazaz wake walishndwa kumudu gharama akaenda dip

Mwambie atulie na mumewe miti haina mwisho hii ya kuchapana kwa ajili ya paper au mitihani inaishiaga hapohapo Chuoni kwani hakuna mapenzi kabisa ni michosho
ni Chuo gani hicho tutajie tunaweza jua mazingira yake (MuccoBs - Moshi au ni hizi TTC?) mbona mnamaliza Advance Dip halafu mnaanza tena Diploma?
 
Naomba umwambie huyo dada asiache chuo huyo mwanaume ana makubwa anayofanya lkn mkewe hajawai ona tu sasa akitaka kuwa house girl aache chuo ,simama mwanamke imara usitetemeshwe na maisha ya leo jua ya kesho .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…