Ndoa Inavunjika Hiyo!

brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,546
Points
2,000
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,546 2,000
Kitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Lakini sasa sisi tukichepuka tumemaanisha tunaenda kwa feelings haswa
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,633
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,633 2,000
Pumbavu sana utarudi kwenu shenz taypu wewe 🤣🤣🤣 kupooza mashine ni kazi ya baba tu. We kaa ndani utulie!
Ingekua kazi ya baba tu huu uzi ungekuwepo?.
Km uchi mnao nyie tu sawaa😂😂😅
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,732
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,732 2,000
Kwa hiyo wewe wanao wa kike hutawapeleka shule?
Wameshindwa kuelewa kuwa tatizo sio shule, bali ni hulka, tabia, aina ya mahusiano mtu aliyoyaingia, back ground na mazingira yamechangia pakubwa wafike, walipofika. Upo ushahidi dhahiri wa PhD holders wameoana na ndoa yao ipo hadi leo, vile vile wapo makapuku la saba au la kwanza C ambao ndoa zao zimevunjika na zingine zipo ICU. Hiyo ni kasumba tu iliyojengeka kwenye jamii zetu za kiafrika hasa Tz.
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,732
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,732 2,000
Upo ndan ya ndoa yao?

Kuna mengi ambayo huwa hayasemwi ambayo ndiyo haswa chanzo cha tatizo

Unafikiri kuna mwanandoa atakusimulia kwamba "mme wangu hanifanyi vizuri!"

Yale root cause huwa yanafichwa sana yanajadiliwa ya juu juu tu
Na shida ndio ipo hapo, when I was young, kuna ndoa ya mother mdogo ilikuwa haipiti mwezi inakuja kusuruhishwa kwa Babu ambapo nilikuwa naishi, nikawa najiuliza maswali mengi kweli yasiyo kuwa na idadi kwanini kila siku wao,nini tatizo,wameshindwa kukaa wakaongea yakaisha maisha yaendelee, wakati naendelea kukua nikaja gundua kuwa ndoa ina siri nyingi kweli ambazo zinaweza sababisha migogoro kwa wana ndoa ila haziongelewi hadharani, zinazoongelewa ni minor cases na ndio zinazosuruhishwa ila major case haziongelewi na ndo hizo zinafanya problems kuendelea ku exist na kufikia mahari pabaya.
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,732
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,732 2,000
STory ya mke ...kwanini anachepuka na childhood friend..natamani tungepata sababu

Smtime tusikasirike kwanza
Tuulize WHY are u doing this?
Mpe mda atoe majibu
Well said mkuu, we have to control our emotions first and to reason logically, labda huyo ndiye aliye muonesha ulimwengu wa mapenzi au huyo ndiye anayemfikisha mawinguni karibu na baba muumba na kwa mumewe yupo kwa maslai hivyo kaona haina haja ya kuwa love slave.
Hivyo kama black let it to be black and if white let it to be white full stop.
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,732
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,732 2,000
Mwache atakula alipopeleka mboga, sometimes kuni zetu huwa zinawadatisha vibaya sana warembo. Utakuta jamaa ni charismatic sana ndio maana mtoto ametepeta, kupenda kubaya jamani...sishangai ila sometimes better use your brains, ukipenda kuifurahisha nafsi na mwili wako muda wote kwa gharama ya kupuuza akili yako matokeo yake hayatakuacha salama.

Hii tabia imelostisha wengi sana, tumepata wagonjwa wa HIV, Ndoa kuvunjika, Shule kuwashinda watu, Uteja, Ajali na vifo n.k
Mkuu umenikumbusha scenario iliyotokea mtaani kwetu miaka ya nyuma, jamaa alipoenda kumgonga mshikaji aliyesadikiwa anatoka na mkewe kisha na yeye kwenda kujitosa kwenye tunnel za maji machafu na gari ya kuazima kwa swahiba wake na kupoteza maisha kisa mapenzi. It was so sad.
 
sinyora

sinyora

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
634
Points
1,000
sinyora

sinyora

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
634 1,000
TAARIFA
Mabaharia wote tutakua na kikao jumatatu asubuhi pale makao makuu ya chama kujadili kuhusu muswada mpya unaolenga kuzuia mabaharia wote kuoa wanawake waliofika degree na kuendelea. Lengo la muswada huu ni kupunguza na kuondoa kabisa mateso kwa mabaharia wanayopata kutoka kwa wanawake wasomi.

Imetolewa na
Katibu wa Mabaharia Taifa
Msisahau kujadili kutuongezea kiwango Cha kutuhonga jmn na plz agenda ya single monther kuolewa muipe kipaumbela
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
4,260
Points
2,000
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
4,260 2,000
Msisahau kujadili kutuongezea kiwango Cha kutuhonga jmn na plz agenda ya single monther kuolewa muipe kipaumbela
Kiwango ni 7800.

Ikiwa ni dharura inaweza kuwa 15600.

Single mothers kuolewa ni suala zito halina muafaka bado.
 
Bazazi

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Messages
2,504
Points
2,000
Bazazi

Bazazi

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2008
2,504 2,000
Mume aliuliza swali hilo "Kama uliniambia aliyekubikiri, kwanini huyu hukumsema; kimya kikuu kilifuata." Mume hakuona umuhimu wa kulazimisha majibu.

Mume kuna uzembe alifanya mwanzoni, hakutafuta taarifa zote zinazohusu masuala ya mapenzi ya mchumbaye. Labda angesaidia maana nahisi aliolewa akiwa bado ni mpenzi wa Mhadhiri JAMES!

Bazazi
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
27,698
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
27,698 2,000
Kuna maisha baada ya usaliti
 

Forum statistics

Threads 1,342,645
Members 514,741
Posts 32,758,629
Top