Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Hahahaha Mkuu Tusipooa Ataoa Nani Walimbwende HawaBado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Hahahaha Mkuu Tusipooa Ataoa Nani Walimbwende HawaBado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Ni tamaa tuu dear na kukosa hofu ya Mungu!Ameolewa kwa nini achepukeeeeee? Hapa ndipo ninapowaza mimi
Mapenzi kitu cha kifala sana. Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Miaka 15 ukavunje ndoa kisa mchepuko angekupenda kweli si angeomba yeye mvunje ndoa zenu muoane.
Alietuoroga kafa
Hili ni swali muhimu sana mkuu, maana waoaji halisi tulishaacha hizo habari, na tunaelekea kuanzisha kampeni ya kutooa Wanawake watumishi.Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Barikiwa Sakayo.Kitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Ulichoongea nikweli.wengi watamlaumu huyo mwanamke bila kujua nyuma ya pazia huyo bi mkubwa amevumilia mangapiNimesoma post hii Kwa umakini mkubwa sana ...
Ila niwaambie tu kuwa msibase sana na miaka 15 ya ndoa.. Hamuwez jua mwanamke amevumilia nn Kwa miaka yote hyo.. Hakuna mjinga wa kuvunja ndoa ya miaka 15 kwaajili ya Hawara..huyo Jamaa mmeona alichoandika?
@KAENI..CHINI..MYAMALIZE
Nna uhakika kuna ugomvi mkubwa sana tena wa muda mrefu na huyo mwanamke amekuwa akitulizwa munkali na huyo Hawara yake for long time pindi akikumbana na mumewe..
Cha kufanya.. Wewe rafiki wa huyo mume Waite uwasikilize wote kisha utakuja kutupa mrejesho hapa.. There's a big problem.
Tubarikiwe sote mkuuBarikiwa Sakayo.
Basi, mtalaka/hawara hatongozwi.No ila nilichomaanisha ni kwamba 'mahawara hawaachani uwa wanapumzika tu then kuna wakati utatokea wakupasha viporo![]()


acha nikatafute wa zamani nijaribu kumpiga ngwara nione kama hatapiga kelele za kuomba msaadaNachukia mnoNi tamaa tuu dear na kukosa hofu ya Mungu!
So true...Kitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Mkuu client3Bazaaaaziiii, pole mapenzi hayana mjanja!!
Unanishangaza kwa wewe kujifanya kushangaa kuwa mwanasheria hajui juu ya sheria ya ugoni, anajua saaanaaa ila mapenzi yana nguvu bwana,
Naona unataka kushift blame kwa mshikaji kweli usaliti haujawahi acha mtu salama.
Kukushauri take your time kudigest issue, kinachomsumbua bibie si mapenzi ni fantasy za kukumbushia mapenzi ya ujana ila hata yeye hajui hili, akimpata jamaa ( mwanasheria) awe wake kabisa atamzoea, atamchoka, atamwona wa kawaida ( kwa maana it is always greener on the other side of the garden) na process ya cycle ya fantasy za mapenzi itaanza upya kwa wakati huo unaweza kuwa anapata tamaa ya kuwa na wewe( bazazi)
Hizi fantasy hutokea ila inategemea sana maturity na willing power ya mtu kushinda hili jaribu
Kwani wewe huwa hutamani kurudia mambo uliyofanya ujanani huko??
MSAMEHE.
Mimi huwa natamani niwaambie wake zaoNachukia mno
@Mzigua90Mapenzi kitu cha kifala sana. Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Miaka 15 ukavunje ndoa kisa mchepuko angekupenda kweli si angeomba yeye mvunje ndoa zenu muoane.
Alietuoroga kafa