Kweli, ndoa ni tamu!

Kweli, ndoa ni tamu!

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,987
Reaction score
63,894
Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.

Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.

Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.

Kweli, ndoa ni tamu.​
 
Kataa ndoa wengi ukiwatoa akina Hamonizer wengi maisha yamewaoiga Sana, ni chapombe hata hawana nuru
 
Back
Top Bottom