Ndoa Inavunjika Hiyo!

Mwache atakula alipopeleka mboga, sometimes kuni zetu huwa zinawadatisha vibaya sana warembo. Utakuta jamaa ni charismatic sana ndio maana mtoto ametepeta, kupenda kubaya jamani...sishangai ila sometimes better use your brains, ukipenda kuifurahisha nafsi na mwili wako muda wote kwa gharama ya kupuuza akili yako matokeo yake hayatakuacha salama.

Hii tabia imelostisha wengi sana, tumepata wagonjwa wa HIV, Ndoa kuvunjika, Shule kuwashinda watu, Uteja, Ajali na vifo n.k
Mweee. Kumbe jana tu ndo anawaza na kuvunja ndoa.
Mwambie huyo mama ASIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO
 
Bado naamini wanawake mwalimu wao ni kipofu!!

Kwa kusoma hiyo msg attached hapo bado inaonekana na huyo hawara hamtaki huyo mwanamke!

Huo sasa ndiyo upofu! Anaharibu ndoa kamili kwa kung'ang'aniza mahusiano, haoni njia huyo!!
Na ukute huyo hawara mwenyewe ana mke na watoto
 
Ulichoongea nikweli.wengi watamlaumu huyo mwanamke bila kujua nyuma ya pazia huyo bi mkubwa amevumilia mangapi
Sasa kama havivumiliki si utoke tu kiroho safi ya nini kuchepuka? Kuchepuka ndio suluhisho la hayo aliyoshindwa kuyavumilia? Alafu miaka 15 na watoto juu umewezaje kuishi nae na kumvumilia uje ushindwe sasa hv?
 
Equation x
Hapa unamaanisha nini? Kama unadhani walikutana UD unakosea. Soma tena bandiko. Ni mpenzie wa ujanani. Ndio wakati wa teen na early 20s'. Mpenzi wa pili baada ya bikra kutolewa! Walikutana kijijini miaka ile ya tisini!

Bazazi
Sasa wewe unaenda kuoa reject ya miss tz unategemea nini;kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Equation x
Hapa unamaanisha nini? Kama unadhani walikutana UD unakosea. Soma tena bandiko. Ni mpenzie wa ujanani. Ndio wakati wa teen na early 20s'. Mpenzi wa pili baada ya bikra kutolewa! Walikutana kijijini miaka ile ya tisini!

Bazazi
Nakuelewa mkuu,nadhani kwa sisi tunaojifunza kupitia wao..kama tuna wake mapepe inabidi kuwazalisha watoto wasiopungua 5 ili huko mbeleni mambo yakiwa tofauti,uweze kujifariji.
 
Mwanamke mpumbavu 15 years of marriage anakimbilia mchepuko usiowezs muoa had papuchi inasugu, shauri yake aachike aone jinsi usingle ni mgumu na ujue kuna wanaokesha makanisani wapate waume
Hebu fanya kunitaftia mmoja anaetafuta mume tafadhali,seriously.
 
Back
Top Bottom