Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Mbona mimi na wewe tumejaribu kuachana.mahawara hawaachanagi
Mbona mimi na wewe tumejaribu kuachana.mahawara hawaachanagi
Hawastahili kuolewa ?Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Tena sio kesi ndogoWanaume kuchepuka halali
Ila mke kupoza injini kidogo kesi
Lazima kuna kitu nyuma ya paziaMkuu nimekuelewa sana kuna kitu nimekigundua kupitia komenti yako, itakuwa kuna shida hapo inawezekana baba alifanya kosa kwa mkewe sasa mama akaona usiwe tabu ngoja nitafute jamaa yangu wa ujana hili nitulize moyo mwisho wa siku jamaa kagundua text mambo yakawa wazi
From my point of view Jamaa yaani mchepuko ni mtu mstaarabu, shortly genius.. Kama mtu mwenye akili huwezi kutaka kuvunja ndoa ya watu iliyodumu kiasi hiko.
Somo lingine hapa dada zangu mjifunze.. wanaume zenu wa huko nje huwa wanataka uchi tu.. hawapo tayari kuchukua majukumu..kuchepuka kusikufanye umshushie thamani mumeo!
Kwa upande wa mwanaume aendeleze gambe..asivunje ndoa..hakuna mwanamke atakuwa wa peke yake, avumilie safari waifikishe salama!
Khan!
Huo ndio ukweli, mwanaume kuna majukumu yameanza kumshinda ndani ya nyumba ndio maana mke kanogewa nje.
Bado kuna mazumbukuku yanaoa na tena elimu ndio kigezo chao kikuu.Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
"Uyo jamaa pumbav kabisa kuku wa taa uyo unakula mpaka mifupa Naanzaje kukataa nyapu ya free in charge iyo. " alisikika kichaa mmoja asiejua uchungu wa mke.Waungwana, Bazazi kasimuliwa na mdau wake jinsi ndoa yake inavyoyumba. Kafumania simu ya mke ikiwa na sms za wasap na za kawaida. Anawasiliana na mpenzi wake wa pili baada ya kiwambo kuondolewa. Ni sms za mahaba hasa tena mazito. Mume kambana mkewe, mke hafunguki. Ana ahidi atavunja mawasiliano lakini havunji (mgogoro umeanza Augost '19)
Hasira za mume zimejaa na kufurika baada ya kuona wasap sms ya mchepuko inayoonesha mke anataka kuvunja ndoa. Mke anabembeleza warudishe majeshi ili wawe pamoja lakini mwanaume hataki (anakwepa majukumu labda wakati alikuwa anamega kisela). Anamshawishi ugomvi na mumewe waumalize kwani wao walikuwa childhood friends tu na kwasasa hawawezi geuza lolote na itakuwa ngumu wao kuwa pamoja. Mwanaume ni Mhadhiri Mwandamizi wa Shule ya Sheria ya UD. Mume ana Uzamili ilhali mke ana Shahada.
Hizi ndoa ni changamoto kuu ktk maisha. Ndoa ya miaka zaidi ya 15 yenye watoto leo inatembea ktk uzi mwembamba uliooza. Nimeamini kuoa mwanamke aliyebikiriwa ni KUOA MKE WA MTU.
NB: Kinachomshangaza Bazazi ni kuwa msomi wa sheria hajui kuwa ni kweli Ugoni ni kesi ya MADAI kwa sheria za nchi lakini ni JINAI kwa sheria za Kitaa? Kweli Plato alisema sawa "Love is a serious mental disorder problem"
Bazazi
Sio tu kuolewa bali hata kuwa nao kama mahawara hawafaiHawastahili kuolewa ?
"Unakula mpaka mifupa" maanaye ni kumbikiri Mkundun. Yaani wake za watu wanafirwa sana na michepuko!"Uyo jamaa pumbav kabisa kuku wa taa uyo unakula mpaka mifupa Naanzaje kukataa nyapu ya free in charge iyo. " alisikika kichaa mmoja asiejua uchungu wa mke.
Anything Can Happen
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Mapenzi kitu cha kifala sana.
Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
🤣🤣🤣🤣🤣 huu usenge sio kabisa
Hahahahahah aliuawa na mjerumani maeneo ya Iringa 🤣🤣🤣Mapenzi kitu cha kifala sana. Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Miaka 15 ukavunje ndoa kisa mchepuko angekupenda kweli si angeomba yeye mvunje ndoa zenu muoane.
Alietuoroga kafa