Ndoa Inavunjika Hiyo!

Siwezi kuchepuka, mchepuko atanipenda nikiwa kwako! Siku ukiniacha hawezi nisaidia lolote zaidi ataenda kwa mkewe ama mpenziwe!
Hizi ni aina za wanawake wenye akili timamu japo mpo wachache. Wengi wana akili fupi kama urefu wa mkojo wao wakichutama.
 
Umekosea sana kuwadharau wanaume wenzio walioa wanawake wasio na bikira,pia elewa kuwa kuoa mwanamke mwenye bikira si kipimo cha uaminifu ktk ndoa,kwanini nasema hivyo mm mwenyewe ni muhanga wa hilo,miaka 18 iliyo pita nilioa msichana bikira ni kazaa naye mtoto mmoja,baada ya miaka2 hivi mwanamke alibadilika tabia ghafla aka Anza kuchapwa na msela nnje baadae nikagundua kujaribu kumkanya hakusikia mwisho talaka.
Huyu jamaa anajiona kamanda sana wakati kimsingi ni mweupe sana katika tasnia..Wahuni tunamcheki tu siku akija kugundua kwamba umalaya hauhusiani na bikra tutaelewana freshi.
 
Wanawake wanachoka sana kwenye hizi ndoa. Hamjui tu!

They are helpless ndio maana wako desperate na watu wanaochepuka nao maana huko angalau wanafarijiwa.

Ukiwa na mkeo mpende tu na usichoke kumpa amani na faraja ya kweli. Akichepuka atajihukumu mwenyewe!

Binafsi nitampenda mke wangu kwa moyo wote. Akichepuka tutaachana. Ila sitaki kuwa sababu ya yeye kuchepuka.
Hahahahah wakati unapambana kuhakikisha yupo happy yeye ndio anakuona kituko tu 😂😂😂 bro you can't these creatures! Hakosi kasoro ya kumfanya atoke nje ya ndoa with all the good you do tena bora uwe kaxi tu it will save you alota dramaz!

Hakawilii kusema you are too nice its boring her!
 
Ndo maana sitaki mawasiliano na ma Exs shetani huanzia hapo ktk mawasiliano
Sio exes tu bali hata wanaume wengine tu! Kuna watu wanapenda flirting around girls tu.

Ukimpa attention yako utajikuta umesaliti mwenzi wako pasi na kuelewa how are you able to do that. Kikikolea ndio unakuwa mchezo mpaka unafumaniwa.
 
Sio exes tu bali hata wanaume wengine tu! Kuna watu wanapenda flirting around girls tu.

Ukimpa attention yako utajikuta umesaliti mwenzi wako pasi na kuelewa how are you able to do that. Kikikolea ndio unakuwa mchezo mpaka unafumaniwa.
Nyege haijawai mwacha mtu salamaa!!
 
Kuna baadhi watu humu wamezungumzia kuhusu kuoa msichana ambaye ni bikra, sikatai ni ushauri mzuri tu.

Ila niseme tu hawa wasichana wa siku hizi wamekua watu wa tamaa na watu wa kujaribu jaribu

Hivo kama kuna kitu atakikosa kwako bhasi atakitafuta kwa mwenzako tu
 
Waungwana, Bazazi kasimuliwa na mdau wake jinsi ndoa yake inavyoyumba. Kafumania simu ya mke ikiwa na sms za wasap na za kawaida. Anawasiliana na mpenzi wake wa pili baada ya kiwambo kuondolewa. Ni sms za mahaba hasa tena mazito. Mume kambana mkewe, mke hafunguki. Ana ahidi atavunja mawasiliano lakini havunji (mgogoro umeanza Augost '19)

Hasira za mume zimejaa na kufurika baada ya kuona wasap sms ya mchepuko inayoonesha mke anataka kuvunja ndoa. Mke anabembeleza warudishe majeshi ili wawe pamoja lakini mwanaume hataki (anakwepa majukumu labda wakati alikuwa anamega kisela). Anamshawishi ugomvi na mumewe waumalize kwani wao walikuwa childhood friends tu na kwasasa hawawezi geuza lolote na itakuwa ngumu wao kuwa pamoja. Mwanaume ni Mhadhiri Mwandamizi wa Shule ya Sheria ya UD. Mume ana Uzamili ilhali mke ana Shahada.

Hizi ndoa ni changamoto kuu ktk maisha. Ndoa ya miaka zaidi ya 15 yenye watoto leo inatembea ktk uzi mwembamba uliooza. Nimeamini kuoa mwanamke aliyebikiriwa ni KUOA MKE WA MTU.

NB: Kinachomshangaza Bazazi ni kuwa msomi wa sheria hajui kuwa ni kweli Ugoni ni kesi ya MADAI kwa sheria za nchi lakini ni JINAI kwa sheria za Kitaa? Kweli Plato alisema sawa "Love is a serious mental disorder problem"

Bazazi
kumbe haya mambo yapo ad kwa watu wazma
 
Upo ndan ya ndoa yao?

Kuna mengi ambayo huwa hayasemwi ambayo ndiyo haswa chanzo cha tatizo

Unafikiri kuna mwanandoa atakusimulia kwamba "mme wangu hanifanyi vizuri!"

Yale root cause huwa yanafichwa sana yanajadiliwa ya juu juu tu
Amejuaje kuwa "mume wake hamfanyi vizuri" kama si uzoefu wa umalaya alioufanya/anaoufanya nje ya ndoa?
 
Back
Top Bottom