Ndoa Inavunjika Hiyo!

Nimesoma post hii Kwa umakini mkubwa sana ...
Ila niwaambie tu kuwa msibase sana na miaka 15 ya ndoa.. Hamuwez jua mwanamke amevumilia nn Kwa miaka yote hyo.. Hakuna mjinga wa kuvunja ndoa ya miaka 15 kwaajili ya Hawara..huyo Jamaa mmeona alichoandika?
@KAENI..CHINI..MYAMALIZE
Nna uhakika kuna ugomvi mkubwa sana tena wa muda mrefu na huyo mwanamke amekuwa akitulizwa munkali na huyo Hawara yake for long time pindi akikumbana na mumewe..
Cha kufanya.. Wewe rafiki wa huyo mume Waite uwasikilize wote kisha utakuja kutupa mrejesho hapa.. There's a big problem.
@jangala

Kuna kitu hukukiona. Mgogoro ni wa Agosti 19 baada ya sms kuonekana. Mhadhiri anatuma sms Sept 3. Hauoni anaomba msamaha kwa yaliyotokea? Yaani alitegemea mume hatajua uhusiano. Hakukuwa na mgogoro kabla.

Bazazi
 
Mweee. Kumbe jana tu ndo anawaza na kuvunja ndoa.
Mwambie huyo mama ASIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO
@Mzigua90

Hapana. Kiporo kimekumbukwa July, 18 walipokutana kijijini. Mhadhiri alikuwa na mkewe. Walibadilishana namba na mambo ndo yakawa Mambo

Bazazi
 
Unaoa mwanamke asiye na bikra bado ujiite mwanaume mwenye akili.

Sijui vijana mtanielewa Lini.

Nimeongea mpaka basi lakini wapi.

Sitochoka kuwausieni
Waonyeshe wanakopatikana wenye bikra, hivi kwa nini umeweka hiyo avatar? Najua hainihusu ila siipendiii though najua hujali nimetaka tu kufikisha hisia zangu
 
Mapenzi kitu cha kifala sana. Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Miaka 15 ukavunje ndoa kisa mchepuko angekupenda kweli si angeomba yeye mvunje ndoa zenu muoane.

Alietuoroga kafa
Mzigua, Are You On Market or Off Market?
 
@jangala

Kuna kitu hukukiona. Mgogoro ni wa Agosti 19 baada ya sms kuonekana. Mhadhiri anatuma sms Sept 3. Hauoni anaomba msamaha kwa yaliyotokea? Yaani alitegemea mume hatajua uhusiano. Hakukuwa na mgogoro kabla.

Bazazi

Upo ndan ya ndoa yao?

Kuna mengi ambayo huwa hayasemwi ambayo ndiyo haswa chanzo cha tatizo

Unafikiri kuna mwanandoa atakusimulia kwamba "mme wangu hanifanyi vizuri!"

Yale root cause huwa yanafichwa sana yanajadiliwa ya juu juu tu
 
Waonyeshe wanakopatikana wenye bikra, hivi kwa nini umeweka hiyo avatar? Najua hainihusu ila siipendiii though najua hujali nimetaka tu kufikisha hisia zangu

Pale na Koroma ndipo palipo na nazi nzima.

Mkuu umejuaje kuwa sijali ukinambia?

Nimezisikia hisia zako mrembo wangu Khantwe. Sawa Chautundu wangu.
 
Pale na Koroma ndipo palipo na nazi nzima.

Mkuu umejuaje kuwa sijali ukinambia?

Nimezisikia hisia zako mrembo wangu Khantwe. Sawa Chautundu wangu.
Hulka yako tu, unaonekana huwa unafurahi sana mtu asipokuwa comfortable. Haya badili basi kama unajali kweli
 
Ungesoma maelezo yangu usingehoji hayo. Mume amerufa baada ya kuona sms iliyoambatanishwa. Kungine hakukuwa na shida sana maana ni kama walikubaliana kufungua ukurasa mpya. Mume kukubali ni kuwa haya yeye sio mkamilifu sana. Amekereka kuona mke anataka kwenda kwa mchepuko wake

Bazazi
Natamani tungesikia upande wa mke....natamani sana..


15 yrs is no joke...

Na mume amekua muaminifu miaka yote?..tabia ya mume ikoje?..
 
Back
Top Bottom