Ndoa Inavunjika Hiyo!

Ndoa Inavunjika Hiyo!

Ungesoma maelezo yangu usingehoji hayo. Mume amerufa baada ya kuona sms iliyoambatanishwa. Kungine hakukuwa na shida sana maana ni kama walikubaliana kufungua ukurasa mpya. Mume kukubali ni kuwa haya yeye sio mkamilifu sana. Amekereka kuona mke anataka kwenda kwa mchepuko wake

Bazazi
STory ya mke ...kwanini anachepuka na childhood friend..natamani tungepata sababu

Smtime tusikasirike kwanza
Tuulize WHY are u doing this?
Mpe mda atoe majibu
 
STory ya mke ...kwanini anachepuka na childhood friend..natamani tungepata sababu

Smtime tusikasirike kwanza
Tuulize WHY are u doing this?
Mpe mda atoe majibu
Mume sio "romantic" hata akiandika sms anajibu kirahisi.
Mume sio lovely hata hajui kumperemba mke
Mume anajali sana, hakuna anachotaka akakosa
Mke kamchoka mume maana hajawahi piga simu
Akipiga ujue kuna matatizo yanayotaka nafasi ya mume
LadyRed wanawake wengi (68%) wameolewa na wanaume wasiowapenda. Huyo ameolewa akiwa na 29. Nahisi alichangamkia FURSA tu. Kwanini hakuolewa na MHADHIRI, sijui.

Nachokiona; Hampendi mshikaji nadhani

Bazazi

.
 
Nimesoma post hii Kwa umakini mkubwa sana ...
Ila niwaambie tu kuwa msibase sana na miaka 15 ya ndoa.. Hamuwez jua mwanamke amevumilia nn Kwa miaka yote hyo.. Hakuna mjinga wa kuvunja ndoa ya miaka 15 kwaajili ya Hawara..huyo Jamaa mmeona alichoandika?
@KAENI..CHINI..MYAMALIZE
Nna uhakika kuna ugomvi mkubwa sana tena wa muda mrefu na huyo mwanamke amekuwa akitulizwa munkali na huyo Hawara yake for long time pindi akikumbana na mumewe..
Cha kufanya.. Wewe rafiki wa huyo mume Waite uwasikilize wote kisha utakuja kutupa mrejesho hapa.. There's a big problem.

Nakazia hapa

Cc Kingsmann
 
Waungwana, Bazazi kasimuliwa na mdau wake jinsi ndoa yake inavyoyumba. Kafumania simu ya mke ikiwa na sms za wasap na za kawaida. Anawasiliana na mpenzi wake wa pili baada ya kiwambo kuondolewa. Ni sms za mahaba hasa tena mazito. Mume kambana mkewe, mke hafunguki. Ana ahidi atavunja mawasiliano lakini havunji (mgogoro umeanza Augost '19)

Hasira za mume zimejaa na kufurika baada ya kuona wasap sms ya mchepuko inayoonesha mke anataka kuvunja ndoa. Mke anabembeleza warudishe majeshi ili wawe pamoja lakini mwanaume hataki (anakwepa majukumu labda wakati alikuwa anamega kisela). Anamshawishi ugomvi na mumewe waumalize kwani wao walikuwa childhood friends tu na kwasasa hawawezi geuza lolote na itakuwa ngumu wao kuwa pamoja. Mwanaume ni Mhadhiri Mwandamizi wa Shule ya Sheria ya UD. Mume ana Uzamili ilhali mke ana Shahada.

Hizi ndoa ni changamoto kuu ktk maisha. Ndoa ya miaka zaidi ya 15 yenye watoto leo inatembea ktk uzi mwembamba uliooza. Nimeamini kuoa mwanamke aliyebikiriwa ni KUOA MKE WA MTU.

NB: Kinachomshangaza Bazazi ni kuwa msomi wa sheria hajui kuwa ni kweli Ugoni ni kesi ya MADAI kwa sheria za nchi lakini ni JINAI kwa sheria za Kitaa? Kweli Plato alisema sawa "Love is a serious mental disorder problem"

Bazazi
Mi kuishi na mwanamke aina hii siwezi atanitafutia matatizo ya kununua gunia mbili za mkaa mgomba
 
Mkuu nimekuelewa sana kuna kitu nimekigundua kupitia komenti yako, itakuwa kuna shida hapo inawezekana baba alifanya kosa kwa mkewe sasa mama akaona usiwe tabu ngoja nitafute jamaa yangu wa ujana hili nitulize moyo mwisho wa siku jamaa kagundua text mambo yakawa wazi
Nimesoma post hii Kwa umakini mkubwa sana ...
Ila niwaambie tu kuwa msibase sana na miaka 15 ya ndoa.. Hamuwez jua mwanamke amevumilia nn Kwa miaka yote hyo.. Hakuna mjinga wa kuvunja ndoa ya miaka 15 kwaajili ya Hawara..huyo Jamaa mmeona alichoandika?
@KAENI..CHINI..MYAMALIZE
Nna uhakika kuna ugomvi mkubwa sana tena wa muda mrefu na huyo mwanamke amekuwa akitulizwa munkali na huyo Hawara yake for long time pindi akikumbana na mumewe..
Cha kufanya.. Wewe rafiki wa huyo mume Waite uwasikilize wote kisha utakuja kutupa mrejesho hapa.. There's a big problem.
 
Unaoa mwanamke asiye na bikra bado ujiite mwanaume mwenye akili.

Sijui vijana mtanielewa Lini.

Nimeongea mpaka basi lakini wapi.

Sitochoka kuwausieni
Kuna vijana wanaoa masingle maza sembuse asiye na bikra

Someni mwongozo wa kanuni na sheria
IMG-20190907-WA0004.jpeg
 
Mume sio "romantic" hata akiandika sms anajibu kirahisi.
Mume sio lovely hata hajui kumperemba mke
Mume anajali sana, hakuna anachotaka akakosa
Mke kamchoka mume maana hajawahi piga simu
Akipiga ujue kuna matatizo yanayotaka nafasi ya mume
LadyRed wanawake wengi (68%) wameolewa na wanaume wasiowapenda. Huyo ameolewa akiwa na 29. Nahisi alichangamkia FURSA tu. Kwanini hakuolewa na MHADHIRI, sijui.

Nachokiona; Hampendi mshikaji nadhani

Bazazi

.
Ndo madhara ya mwanaume kukomaa kuoa anaempenda ...nadhani ni bora kupendana

Ila miaka 15 ni mingi wayajadili ...upendo hauwezi kuwa 50/50 mda wote
Kuna 80/20 ama 60/40 mda mwingine...tuvumiliane
 
Wanaume kuchepuka halali
Ila mke kupoza injini kidogo kesi
Ikishajulikana umeharibu kila kitu. LadyRed, chepuka isijulikane. Ikijulikana unalo na lako hilo lazima uhangaike nalo. Ktk kisa hiki, mahusiano yalianza upya July, 2018, mume kajua Agost, 2019. Kabla ya kukumburukiwa, nini kilikuwa shida?

Fikiri kwa hekima ili usiongozwe na mihemko

Bazazi!
 
From my point of view Jamaa yaani mchepuko ni mtu mstaarabu, shortly genius.. Kama mtu mwenye akili huwezi kutaka kuvunja ndoa ya watu iliyodumu kiasi hiko.
Somo lingine hapa dada zangu mjifunze.. wanaume zenu wa huko nje huwa wanataka uchi tu.. hawapo tayari kuchukua majukumu..kuchepuka kusikufanye umshushie thamani mumeo!

Kwa upande wa mwanaume aendeleze gambe..asivunje ndoa..hakuna mwanamke atakuwa wa peke yake, avumilie safari waifikishe salama!

Khan!
 
Mke ajitahidi amuombe msamaha wayajenge
 
Word
 
Back
Top Bottom