Ndoa Inavunjika Hiyo!

Wilson Gamba

Wilson Gamba

Verified Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
543
Points
500
Wilson Gamba

Wilson Gamba

Verified Member
Joined Mar 1, 2013
543 500
Kitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Umeongea kitu cha maana ambacho wasomi wengi kinawapita kushoto,ndoa nyingi zilizo ICU ni za wasomi hawatofautishi elimu na maisha yake ya ndani ya nyumba.Duniani tunapita ila ukikosea kuona mwanaume mwema na mwenye kiasi utatabika hadi mwisho wako.cha msingi ni kuombea tu ndoa zetu kwani mwisho wa siku watoto ndo wanapata shida baada ya divorce
 
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
5,782
Points
2,000
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
5,782 2,000
Inamaana binti yako hatoolewa au hatosoma?
Kusoma ni haki ya msingi ya kila mtu, kusema kwamba mtoto asisome kwa sababu yoyote ile huo ni uvunjaji wa haki za binadamu.

Watoto wetu wa kike kusoma watasoma kadri watakavyo na tena tutawasapoti kadri ya uwezo wetu, kama na wao watashindwa kutumia vizuri hizo elimu zao kwenye kujenga mahusiano yaliyo bora shauri zao.
 
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
5,782
Points
2,000
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
5,782 2,000
Umeongea kitu cha maana ambacho wasomi wengi kinawapita kushoto,ndoa nyingi zilizo ICU ni za wasomi hawatofautishi elimu na maisha yake ya ndani ya nyumba.Duniani tunapita ila ukikosea kuona mwanaume mwema na mwenye kiasi utatabika hadi mwisho wako.cha msingi ni kuombea tu ndoa zetu kwani mwisho wa siku watoto ndo wanapata shida baada ya divorce
Wanawake wengi wasomi wanachanganya academic intelligence na marital life.
 
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
5,454
Points
2,000
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
5,454 2,000
Ndo maana sitaki mawasiliano na ma Exs shetani huanzia hapo ktk mawasiliano
 
Bazazi

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Messages
2,504
Points
2,000
Bazazi

Bazazi

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2008
2,504 2,000
Ndo maana sitaki mawasiliano na ma Exs shetani huanzia hapo ktk mawasiliano
Kwa mujibu wa mume, mke aliwahijutia kukutana na Mhadhiri hiyo Nov2018 kijijini walikokulia. Mhadhiri alikuwa na mkewe lakini alitoa namba ya simu. Namba ya simu ikarudisha mawasiliano na mambo yakawa bambam.

Bazazi!
 
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,546
Points
2,000
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,546 2,000
Kusoma ni haki ya msingi ya kila mtu, kusema kwamba mtoto asisome kwa sababu yoyote ile huo ni uvunjaji wa haki za binadamu.

Watoto wetu wa kike kusoma watasoma kadri watakavyo na tena tutawasapoti kadri ya uwezo wetu, kama na wao watashindwa kutumia vizuri hizo elimu zao kwenye kujenga mahusiano yaliyo bora shauri zao.
Umesoma alichokiandika lakini?
Kama binti zenu watasoma na watajenga mahusiano bora mnona mabinti wa wenzenu hawana haki ya kuolewa sababu wamesoma?
 
J

juma mpemba

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
1,579
Points
2,000
J

juma mpemba

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2017
1,579 2,000
haya na nyie mnaotarajia kuoa ma x wangu mjiandae kuchapiwa maana watarudi tu
 
Mkomavu

Mkomavu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
9,164
Points
2,000
Mkomavu

Mkomavu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
9,164 2,000
Mapenzi kitu cha kifala sana. Ina maana miaka yote hiyo 15 alikua anagegedana na childhood friend wake?
Kuna uwezekano hata baadhi ya watoto/mtoto sio wa mume wa ndoa ni wa mchepuko.
Miaka 15 ukavunje ndoa kisa mchepuko angekupenda kweli si angeomba yeye mvunje ndoa zenu muoane.

Alietuoroga kafa
Nusu ya watoto sio wake
 
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
2,550
Points
2,000
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
2,550 2,000
Wanawake wanachoka sana kwenye hizi ndoa. Hamjui tu!

They are helpless ndio maana wako desperate na watu wanaochepuka nao maana huko angalau wanafarijiwa.

Ukiwa na mkeo mpende tu na usichoke kumpa amani na faraja ya kweli. Akichepuka atajihukumu mwenyewe!

Binafsi nitampenda mke wangu kwa moyo wote. Akichepuka tutaachana. Ila sitaki kuwa sababu ya yeye kuchepuka.
 
Isinik

Isinik

Member
Joined
Dec 11, 2016
Messages
98
Points
125
Isinik

Isinik

Member
Joined Dec 11, 2016
98 125
Unaoa mwanamke asiye na bikra bado ujiite mwanaume mwenye akili.

Sijui vijana mtanielewa Lini.

Nimeongea mpaka basi lakini wapi.

Sitochoka kuwausieni
Umekosea sana kuwadharau wanaume wenzio walioa wanawake wasio na bikira,pia elewa kuwa kuoa mwanamke mwenye bikira si kipimo cha uaminifu ktk ndoa,kwanini nasema hivyo mm mwenyewe ni muhanga wa hilo,miaka 18 iliyo pita nilioa msichana bikira ni kazaa naye mtoto mmoja,baada ya miaka2 hivi mwanamke alibadilika tabia ghafla aka Anza kuchapwa na msela nnje baadae nikagundua kujaribu kumkanya hakusikia mwisho talaka.
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,732
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,732 2,000
Ukishapata wazo la kuchepuka tuu jua kuna shida mahali!! Una mume hizo hisia kwa mchepuko zinatoka wapi!
Kweli kabisa, ukishakuwa na destructive thought mwisho wake unakuwa sio mzuri, hivyo ni bora umueleze mwenzio mahali ambapo unaona apapo sawa na sio kutafuta self satisfaction nje ukiamini kuwa upo sahihi bila kumuangalia mwenzio kiasi gani cha maumivu utakachompatia, huo utakuwa ubinafsi uliopitiliza (extreme selfishness)
#nimekumisiwewe,mzimalakini.
 

Forum statistics

Threads 1,342,678
Members 514,746
Posts 32,759,650
Top