Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Na sikuhizi ni heri ujue mumeo anachepuka na mwanamke mwenzako ina uafadhali siku hizi mwanaume anaweza kuwa mke mwenzako kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiih hapa cna mbavu lol
 
Teh teh africa bana! Hapa angekuwa mwanaume ndiyo anapitia hayo ungesikia chepuka tu au piga chini oa mwingine ila kwa vile ni mwanamke anaambiwa amvumilie tu mume wake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulimwengu hauishii maajabu , ambao hawajaoa wanapata "hilo tendo murua" hadi wanalikimbia walioolewa/ wanakosa ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnavoishi humo ndani dudu yake huwa unaichungulia hata kwa kuizoom tu?? Vipi mkilala humgusi gusi dudu ???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]vipi hata kwa mbali umeshaiona imesimama??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mawili labda kalogwa dushe isisimame au alikuwa na basha alivyosikia anaowa akamvunja mboo isisimame tena embu fatilia nyendo zake vizuri ikiwezekana hack simu yake upate ukweli wewe bado mdogo usijifie Kwa stress za mtu mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni hatareee sana.
 
Jaribu kumtega vaa vinguo vinavyokuchora jipitish mbele yake kila wakat pia anza kumchezea ukiw karibu naye kifua sana sana akikuacha ujue umeolewa na shoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…