Cool downGreat Thinkers,
Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu.
Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito ninayoyapitia kwenye hii ndoa. I tried so hard to humble myself na kuwa kiongozi wa familia kwa kutotumia misuli ya mwili dhidi ya matumizi ya akili kwenye hii ndoa.
Kwanza kabisa, naomba ku-declare my position kwamba, matendo au matukio ya mwanamke mmoja au mwanaume mmoja siyo justification ya tabia za jumla kwa wanawake ama wanaume wote.
Kikubwa ni kwamba nawaasa vijana wanaotaka kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, wajitahidi kutafuta wenza wanaoendana nao. Usisite kuachana na toxic relationship. Ni bora usieleweke na jamii lakini ukaelewa kile unachokifanya kwa manufaa ya nafsi yako. Bahati mbaya sana tumezitosa mila na tamaduni zetu tumezipiga chini kwa ujumla wake. Badala ya kuchagua desturi nzuri na kuachana nazo zile mbovu.
Ndoa yangu haipo katika good shape. Mitikisiko ninayokumbana nayo imenipatia stress na sasa ninaishi kwa Neema za Mungu baada ya kupigwa stroke (kiharusi). Bado ni mwanaume kamili lakini nimejirudi ktk abstaining lane kwa sababu kwa sasa nailinda sana nafsi yangu over tamaa za mwili. Mwaka wa nne sasa nimemuweka mbali shemeji na wifi yenu. Sijaachana naye lakini nina amani yupo mbali kwa sasa.
Niliamua kuwa mkimya kwa muda mrefu sana, Namshukuru binafsi rafiki yangu Dr. Mariposa kunichomoa mafichoni.
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Msanii wa JF
Kupenda sana Kunakufanya uwe mtumwa kwa asiyena mapenzi ya kweli nawePole sana mkuu, huenda tatizo halikuwa ndoa tatizo lilikuwa kumpenda binadamu kwa kiwango kusichostahili.
Kumpenda binadamu mwingine kupindukia ni tatizo la akili linalohitaji tiba ya kitabibu kabla halijaleta madhara ni vile tu Africa huwa tunapuuza ila inatakiwa kuwe na hosp maalum ambazo kuna kevel mtu akipenda akimbizwe hospitali.
Pole sana kakaGreat Thinkers,
Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu.
Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito ninayoyapitia kwenye hii ndoa. I tried so hard to humble myself na kuwa kiongozi wa familia kwa kutotumia misuli ya mwili dhidi ya matumizi ya akili kwenye hii ndoa.
Kwanza kabisa, naomba ku-declare my position kwamba, matendo au matukio ya mwanamke mmoja au mwanaume mmoja siyo justification ya tabia za jumla kwa wanawake ama wanaume wote.
Kikubwa ni kwamba nawaasa vijana wanaotaka kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, wajitahidi kutafuta wenza wanaoendana nao. Usisite kuachana na toxic relationship. Ni bora usieleweke na jamii lakini ukaelewa kile unachokifanya kwa manufaa ya nafsi yako. Bahati mbaya sana tumezitosa mila na tamaduni zetu tumezipiga chini kwa ujumla wake. Badala ya kuchagua desturi nzuri na kuachana nazo zile mbovu.
Ndoa yangu haipo katika good shape. Mitikisiko ninayokumbana nayo imenipatia stress na sasa ninaishi kwa Neema za Mungu baada ya kupigwa stroke (kiharusi). Bado ni mwanaume kamili lakini nimejirudi ktk abstaining lane kwa sababu kwa sasa nailinda sana nafsi yangu over tamaa za mwili. Mwaka wa nne sasa nimemuweka mbali shemeji na wifi yenu. Sijaachana naye lakini nina amani yupo mbali kwa sasa.
Niliamua kuwa mkimya kwa muda mrefu sana, Namshukuru binafsi rafiki yangu Dr. Mariposa kunichomoa mafichoni.
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Msanii wa JF
Mkuu, wala hili si tatizo iwapo mwanaume hajapenda kupitiliza, nadhani mapenzi kupitiliza ndo tatizo kuu.Vijana wa sasa ,wote ,wakike na kiume hawajaandaliwa kwa ajili ya maisha ya ndoa ..Huu ni ukweli mchungu ,sehemu za mafundisho ya dini zinaandaa hizi mada ila hawapati mtu.
Kiukweli ,elimu yetu sio nzuri katika kufikia malengo ya ndoa ..Zile elimu za zamani zinaonekana kama mila potofu ....Vijana wakakutana hapo Dar chuo ,baadaye wanaanza harakati za ndoa hapo washafanya mapenzi mpaka mimba au mtoto.
Kabisa.Ndoa nyingi zinanmisukosuko lately ila niluambie mimi yangu hiyo misukosuko nilishaikataa tangu mwanzo niliamini katika kumcha Mungu ukipata mwenza mcha Mungu mwenye hofu na Mungu umepata chombo chema na hakika mtabarikiwa especially mkianzia chini kabisa pamoja.
Ndoa yangu ni kama ya Peter Msechu, yani ukiangalia hile ndoa ni kama yangu huwa mimi huwa siruhusu misukosuko ikae na kudumu mimi huwa natatua jambo kabla jua halijazama,ndoa ukitaka iwe nzuri ikabidhi kwa Mungu utaokoa hasara nyingi sana
Hili si tatizo iwapo mwanaume hajapenda kupitiliza, nadhani mapenzi kupitiliza ndo tatizo kuu.Vijana wa sasa ,wote ,wakike na kiume hawajaandaliwa kwa ajili ya maisha ya ndoa ..Huu ni ukweli mchungu ,sehemu za mafundisho ya dini zinaandaa hizi mada ila hawapati mtu.
Kiukweli ,elimu yetu sio nzuri katika kufikia malengo ya ndoa ..Zile elimu za zamani zinaonekana kama mila potofu ....Vijana wakakutana hapo Dar chuo ,baadaye wanaanza harakati za ndoa hapo washafanya mapenzi mpaka mimba au mtoto.
Na ukiumwa,unaweza kosa wa kukutawaza.Kua single ni raha, shida inakuja mtu ukizeeka.
Safi sanaKumfukuza mtu asiye na nidhamu kwenye taasisi yoyote ni uamuzi wenye Tija siku zote.
Kama Mungu alitufukuza Edeni Kwa upuuzi tulioufanya Nini kinamzuia Mwanaume kumfukuza Mwanamke asiye na adabu? Watoto sio kizuizi.
Ndoa ni taasisi kama taasisi zingine inakamuni na taratibu zake.
Huko Kanisani Kwenye kuna mapadri wanafukuzwa wakikosa Maadili, huko serikali Kila siku tunaona. Kwenye vyama vya siasa halikadhali.
Kumfukuza mtu asiyemeet mahitaji ya taasisi sio udhaifu wa mtawala Bali ni majukumu ya mtawala.
Na ndio maana unaambiwa Mwanaume ni mtawala. Hilo neno mtawala ukianzisha hata Kampuni au ukiwa na uongozi mkubwa katika serikali utalielewa linamaana Gani.
Mkuu hata akiwa na mapenzi nawe hupaswi kupenda kupitiliza, ni tatizo. Ukiona unapenda kupitiliza chukulia kama dalili za ugonjwa hatari hatari wa akili.Kupenda sana Kunakufanya uwe mtumwa kwa asiyena mapenzi ya kweli nawe
Ni sahihi, nimepitia haya mkuu.... kidogo tu unakuwa mtu wa kulialiaMkuu hata akiwa na mapenzi nawe hupaswi kupenda kupitiliza, ni tatizo. Ukiona unapenda kupitiliza chukulia kama dalili za ugonjwa hatari hatari wa akili.
Ukishaanza kufanya maamuzi out of mapenzi badala ya uhalisia ndo umeshachanganyikiwa hivyo ni vile dunia imefumbia macho huu ugonjwa wa akili.
Ndoa ndoanoGreat Thinkers,
Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu.
Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito ninayoyapitia kwenye hii ndoa. I tried so hard to humble myself na kuwa kiongozi wa familia kwa kutotumia misuli ya mwili dhidi ya matumizi ya akili kwenye hii ndoa.
Kwanza kabisa, naomba ku-declare my position kwamba, matendo au matukio ya mwanamke mmoja au mwanaume mmoja siyo justification ya tabia za jumla kwa wanawake ama wanaume wote.
Kikubwa ni kwamba nawaasa vijana wanaotaka kuingia kwenye mahusiano ya ndoa, wajitahidi kutafuta wenza wanaoendana nao. Usisite kuachana na toxic relationship. Ni bora usieleweke na jamii lakini ukaelewa kile unachokifanya kwa manufaa ya nafsi yako. Bahati mbaya sana tumezitosa mila na tamaduni zetu tumezipiga chini kwa ujumla wake. Badala ya kuchagua desturi nzuri na kuachana nazo zile mbovu.
Ndoa yangu haipo katika good shape. Mitikisiko ninayokumbana nayo imenipatia stress na sasa ninaishi kwa Neema za Mungu baada ya kupigwa stroke (kiharusi). Bado ni mwanaume kamili lakini nimejirudi ktk abstaining lane kwa sababu kwa sasa nailinda sana nafsi yangu over tamaa za mwili. Mwaka wa nne sasa nimemuweka mbali shemeji na wifi yenu. Sijaachana naye lakini nina amani yupo mbali kwa sasa.
Niliamua kuwa mkimya kwa muda mrefu sana, Namshukuru binafsi rafiki yangu Dr. Mariposa kunichomoa mafichoni.
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Msanii wa JF
Anzisha utaratibu wa kutulea sisi wazeeKua single ni raha, shida inakuja mtu ukizeeka.
Pole sana bro wa Mwananyamala jirani na mahakamaGreat Thinkers,

Sure broUnakuta mtu anahofia kumuacha Mke kwa kuogopa watoto kuwa watapata shida,lakini hawazi kuwa anaweza kufa muda wowote na akawaacha hao watoto.
Principle ni moja ukiona mtu anakupa stress ni ku cut off,awe ni Mke,mzazi,mtoto ,ndugu au rafiki.
At the end nothing last forever,maisha yataendelea.
Aisee,Mkuu pole sana,umenishtua Kwa habari hiiGreat Thinkers,