Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Umeonaa ndiyo ilivyo fuatilia hata vyuoni wale wasoma masomo magumu kwenye uzinzi ni wachache sana, kama wanawake hata muda wa kutengeneza nywele hukosa kabisaYes mkuu kwa sababu zinaa inaanzia kwenye ubongo huko alafu mwili ni kama anatumwa na ubongo.
Ikitokea ubongo umejaa mawazo ya ngono basi bwana mwili anapewa amri sasa ya kufanya akili inataka,ndo mana tunasema kuzini sio bahati mbaya kwa kuwa ni jambo linaanzia kwenye ubongo.
Sasa ikitokea mtu akili yake haifanyi kazi ya kufikiria basi ngono ina nafasi yake katika ubongo lakini ukiuchosha ubongo huwezi kuwaza ngono hata siku moja itakupitia tuu paaap alafu unawaza mambo mengineee.
Babu yangu aliwahi kuniambia kwamba "safuha ogopa sana nafasi"
Ukiwa na nafasi ya kukaa tu bila jambo unakatibosha shetani
Sent using Jamii Forums mobile app