Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,489
- 18,255
Wawaze kipi huku wameridhika na hali yaoHaaa haaa akili yao inawaza huko tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawaze kipi huku wameridhika na hali yaoHaaa haaa akili yao inawaza huko tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hata nikichepuka hakipungui kitu kwa mama watotoNani kamwambia, kuna vitu vina pungua wewe mchepukaji huwezi jitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] Jamani mimi baba askofu.
Unataka kuninyima nini?[emoji16][emoji16][emoji16] Jamani mimi baba askofu.
Hivi naanzaje labda ?Unataka kuninyima nini?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hivi naanzaje labda ?
Walia nini weye ?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Duh....Usiseme nikioa ntaachana vimada,kamwee unajidanganya.kama una madem watano na bado unawatamani wengine hivi ukiwa na mwanamke mmoja atakutosha kweli?
Hapo unajidanganya sana kaka mkubwa kama hawakukutosha vimada wale wa nje ambao ulikuwa nae zaidi ya mmoja basi jua huwezi kuridhika na huyo mke mmoja.
Zinaa ama kuchepuka kunaanza kukemewa ndani ya moyo alafu tunakuja nje ya mwili,lakini ubongo ukiutune kwamba hilo jambo hutaki jua kwamba na mwili utafuata ubongo tu,jiulize tu kwa nini mtu anapaka pilipili mikononi kwa ajili ya kuacha punyeto alafu baadae anaenda kutafuta sabuni ananawa kuondoa pilipili na anapiga punyeto,why?
Ni kwa sababu hajakemea ubongo kwanza,amekimbilia nje wakati ndani kibovu.
Lakini sasa uzuri wake ikiwa mtu amekomaa sana kibachela bila demu alafu akija kuoa atashindwaje kuvumilia siku za hedhi za mkewe na wakati wa kujifungua n.k wakati aliweza kukaa bila mke vipi ashindwe sasa?
Sasa kijana chinga sana kijana usiseme nikioa nitaacha,sema sijaoa naacha.
Ukiacha uzinzi kabla ya ndoa basi unauhakika mkubwa wa kujimudu hata baada ya ndoa.
Ukiacha kula chakula ambacho kinapatikana wakati unanjaa basi utaweza kuacha chakula ambacho kinapatikana wakati umeshiba.
Lakini ukiacha chakula ambacho kinapatikana wakati wa shibe tu basi jua hutoweza kuacha chakula ambacho kinapatikana wakati wa njaa,anza leo kukemea ubongo wako kwanza kalba ya mwili wako
Unajifanya hujui kinachoniliza eeh!!Walia nini weye ?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sikia tu kwa watu ila usiombe yakukute kuacha Kuchepuka kunahitaji kujikana kwelikweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinifanyie hivyo sasa....Unajifanya hujui kinachoniliza eeh!!
[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Usinifanyie hivyo sasa....
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
We haya tu.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mimi na wewe dam dam......!We haya tu.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mimi na wewe dam dam......!
Acha ukorofi wa mawazo wewe...
Nyie watu sijui ni wa nchi
Kuchepuka ni uamuzi wa mtu nikama tabia tu nyingine, kwahiyo unatuaminisha hakuna wachungaji wasio wazinzi? Wachungaji ni hao uliowataja?
Sent using Jamii Forums mobile app