Ndio, wewe ni ombaomba

Wana trick nyingi sana,Mara nyingi huwa wanaona aibu kuomba directly utasikia " Dah,yan hapa njaa inauma hatar,mama hayupo na hajaniachia hela ya chakula" [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23] nimecheka sana. Huyo ningekuwa karibu ningemtandika na kofi kabisa. Yaaan anakuelezea kuwa umepoteza 20,000 ili ufanyaje?
 
Siombagi pesa kutoka kwa mwanaume, kama nimemzoea nitamueleza issues ninazopitia katika maisha. Anaweza kunipa ushauri hilo si haba wengine wanatoa pesa hili pia si dogo.
Unafaa kuwa mpz wangu kama maneno yako ya kweli
 
Bujibuji katika ubora wako, hahahahaaaa
sasa mkuu wewe hizo za mwanzo ulikuwa unatuma za nini?
anyways, kwa kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke nyuma yake!!!!

MWANAMKE HUSIKA ANAYEHUSISHWA NA HUO MSEMO NI MAMA MZAZI. NA SIO HAO AMBAO MMEKUWA MKIDHANIA KUWA NDIO WAHUSIKA
 
ha Ha Ha Ha hata Mie Siku Hizi Kumpa Hela Mwanamke Huwa Najickia Vibaya Sana Kutokana Na Kwamba Huwa Hawana Fadhila Hata Uwape Bahari Bado Atakuona Mwehu
dadeq """wew unatoa kama kumsaidia mwenzio anahesabu kuwa ana kuchuna...hatari sana Hawa Dada zetu
 
IlaTunajitahidi Kuomba!Yaani tunafanya kuombwa namba tu ,basi nawe utaomba mpaka ATM!Ndio maana wanaume Anakuona leo anaomba Mzigo leo!wanadai wanatoa droo
kweli kabisa mkuu...kuna baadhi ya wanawake wasiojitambua ..wana sbabishà wanaume waone kuw wanawke niviumbe visivyo faa kutikana na mwenendo wa Tabia zao mbaya"" wakati kuna wanawke wapo wazuri tu watabia "" wanajipnda na kujiheshimu
 
We ndio hujui kaka,ogopa sana videmu vya uswazi,wanaomba hao! Unakuta demu hafanyi kazi kazi ni kuomba buku 2 buku3. Ikifika jioni kajaa
hakuna hata Mwenye nafuu hapo ...siwakwenye hoja uliyoijibu au Hawa uliowataja ...wote nishidaaaa
 
Tatizo ukimpa Mara moja tu, basi ndo anahamishia majeshi jumla inakuwa frequently wiki haijaisha ashakutandika mizinga hata minne
unasema week ..?? week mbali asieeee
 
hahaaaa aiseee """
 
Unakutana nae leo jioni anakuomba pesa kweli ombaomba
 
Wewe njaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,mm kila nikimpigia simu anasema amefulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…