Ndio muone wazungu walivyo wabaguzi.....

sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake

Nadhani wewe ndio umelaaniwa Flintsky.Akili yako imetawaliwa Na makaburu inawezekana
Ukawa mtoto wao wandani Au" MAN united"
 
Duh hawa wazungu majuha kweli . ..haki ya MOLA
Nimeshafanya nayo uchafu wa kila aina haya mazungu yenu (sijivuni na nilishatubu na kusamehewa) na hayana lolote la kumzidi binti wa Kibantu. There is no comparison sema tu menyewe likikupenda basi limekupenda na utalifanya cho chote unachotaka halafu yanatoa siri zote bila nyodo, majungu wala umbea. Na usipokaa sawa litakulazimisha ulioe kwa kukupa mizawadi mikubwa mikubwa hasa kama ni litoto la tajiri. Lakini ni lazima utambue kuwa wewe mweusi utabakia kuwa mweusi tu hata kama ungekuwa tajiri au msomi wa aina gani. Natalia wa Maine aliweka mitego ya kila aina eti nimwoe aaaargh wapi nikachomoa. Mnyantuzu kabisa orijino jamani eti nikaoe lizungu? Biya nagalema gete!
 
Mi huwa nawachekaga tu watu kama hawa.

Hao makaburu wa South Africa bado hawajaacha ubaguzi wao . Hii dunia nyingine hii sio miaka 100 iliyopita. Yaani unaoa unaemtaka. Ni kumpata tu kwanza. -🙂
 
sijaona mzungu mzuri kunivutia, hawana hata chura , dada zangu wa kibantu wapo juu
 
Nimeshafanya nayo uchafu wa kila aina haya mazungu yenu (sijivuni na nilishatubu na kusamehewa) na hayana lolote la kumzidi binti wa Kibantu. There is no comparison sema tu menyewe likikupenda basi limekupenda na utalifanya cho chote unachotaka halafu yanatoa siri zote bila nyodo, majungu wala umbea. Na usipokaa sawa litakulazimisha ulioe kwa kukupa mizawadi mikubwa mikubwa hasa kama ni litoto la tajiri. Lakini ni lazima utambue kuwa wewe mweusi utabakia kuwa mweusi tu hata kama ungekuwa tajiri au msomi wa aina gani. Natalia wa Maine aliweka mitego ya kila aina eti nimwoe aaaargh wapi nikachomoa. Mnyantuzu kabisa orijino jamani eti nikaoe lizungu? Biya nagalema gete!
Alafu mapenzi yao nguvu ya soda . .hyakawii kukinai . ..nina mashemeji wangu wawili mmoja ameo na mwingine kaolewa Australia . .wote wameachika vibaya sana . ..alafu hawa watoto mashombe . .mhhhh naona kama wanakuwaga na culture shock!....
 
Divorce kwao ni jambo la kawaida. Yaani anaweza kuanza kumegwa na jirani na ukimuuliza anakwambia mapenzi kwako yameisha na sasa yamehamia kwa James au Dewayne wa hapo jirani; na anataka talaka. Usifikiri utani ndo hivyo imetoka hiyo. Ndoa kwishnei!

Kuhusu watoto ni lazima wawe exposed kwenye culture ya Kiafrika mapema vinginevyo watatimua kurudi kwao. Ni shida tupu!
 
15400457_1132513730199204_8561043262979859753_n.jpg

15380856_1132513773532533_4525198476698567827_n.jpg
15439728_1132513853532525_1013897768905625023_n.jpg
15492237_1132513886865855_4696134215520637669_n.jpg
15380280_1132513973532513_5180938745417114200_n.jpg
15390670_1132514056865838_8982917709264799026_n.jpg
15420763_1132514130199164_6204411158225892055_n.jpg
15401170_1132514166865827_2068110713715241313_n.jpg
15380410_1132514206865823_3985304114971083962_n.jpg
15442199_1132514266865817_3301380800470577308_n.jpg
15390644_1132514326865811_8411103434974788668_n.jpg
15439841_1132514380199139_6197349420133622514_n.jpg
15542094_1132514443532466_868301016559164880_n.jpg
15492293_1132514493532461_7817076796544685812_n.jpg
15542402_1132514553532455_3407873844185962188_n.jpg
1481773120191.jpg
 
sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
Hujastaarabika peke yako. Tayari umevishwa mentality za wazungu ndio bora.
 
Kama hatowekewa vikwazo na mabepari nchi haiwezi kufilisika?

Unavyodhani Zimbabwe ni yeye aliifilisi au vikwazo vya mabepari
kwani ni nan ktk ile nchi aliesababisha wawekewe vikwazo?
 
Mimi hili suala mnaloita ubaguzi hata halini shughlishi kama wengine linavyo washughlisha,wengi kati ya hao wabaguzi hata hawana sababu ya msingi ya kubagua muafrika au ngozi nyeusi. Hili jambo ni kama wanarithishana kutokana na aina ya malezi tu,hivyo mie sinaga chuki na hao watu maana nawaona ni sawa na mtu aliyekulia katika imani za ajabu ajabu tu.

Kama wewe unaamini weusi wako si ulemavu wala na hauna tatizo lolote kwanini likushughlishe hili jambo?
 
hao wazungu au nguruwe makaburu tu.mpe mzungu halisi heshima yake bana
 
Mimi hili suala mnaloita ubaguzi hata halini shughlishi kama wengine linavyo washughlisha,wengi kati ya hao wabaguzi hata hawana sababu ya msingi ya kubagua muafrika au ngozi nyeusi. Hili jambo ni kama wanarithishana kutokana na aina ya malezi tu,hivyo mie sinaga chuki na hao watu maana nawaona ni sawa na mtu aliyekulia katika imani za ajabu ajabu tu.

Kama wewe unaamini weusi wako si ulemavu wala na hauna tatizo lolote kwanini likushughlishe hili jambo?

Ni kwasababu ubaguzi wa rangi hauna direct effect kwako, nakuelewa ukisema hivyo. Lakini kumbuka Kuna watu wanaishi ambao wanaishi kwenye mazingira ya kibaguzi na ndio maisha Yao ya Kula siku.
 
Ndo maana huwa namwelewa Sana Julius Malema!
 
Ni kwasababu ubaguzi wa rangi hauna direct effect kwako, nakuelewa ukisema hivyo. Lakini kumbuka Kuna watu wanaishi ambao wanaishi kwenye mazingira ya kibaguzi na ndio maisha Yao ya Kula siku.
Sijakataa mkuu. Ila jinsi sie wengine tunavyolichukulia hili jambo ndiyo naona sio sawa.
 
Back
Top Bottom