Ndio muone wazungu walivyo wabaguzi.....

Lakini sishangai sana sababu ni makaburu wa sauzi hao...
Ile roho yao ya baguzi bado ipo sana tu...
Mimi siwezi walaumu hao weupe wakati sisi wenyewe hatupendani,nadhani sisi ndio tuaongoza kwa ubaguzi
 
Ubaguzi upo wa aina nyingi na sie wenyewe tunafanya ubaguzi wa aina mbalimbali ila ikitokea tumebaguliwa watu weusi tunaona kama tumefanyiwa jambo baya lisilo na mfano vile.
 
sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
laana yako mwenyewe usitujumuishe wote
 
Ubaguzi upo wa aina nyingi na sie wenyewe tunafanya ubaguzi wa aina mbalimbali ila ikitokea tumebaguliwa watu weusi tunaona kama tumefanyiwa jambo baya lisilo na mfano vile.
Ndio tatizo letu tutapiga mayowe weeee mpaka dunia itusikie wakati wenyewe kwa wenyewe hatupendani
 
Teaching of His Majesty!

15400335_10210049856296621_8938377335437151088_n.jpg
Aisee hizi ni lyrics za wimbo wa Bob Marley unaitwa Wars. Usitugee chai bwana.
 
Mimi siwezi walaumu hao weupe wakati sisi wenyewe hatupendani,nadhani sisi ndio tuaongoza kwa ubaguzi
Lakini mkuu hapa tunaongelea ubaguzi wa rangi, wewe unasema Afrika tunaogoza kwa ubaguzi. Unamaanisha m-Kenya na m-Tanzania wanabaguana? Kisa rangi zao?
Au Mchaga na Msukuma?

Balotelli alirushiwa ndizi akiwa uwanjani Italia, Etoo alioneshwa ishara ya nyani akiwa Uingereza.
India kuna binti wa Kitanzania alivuliwa nguo na wahindi hadharani shambulio ambalo limetokana na ubaguzi wa rangi. Watanzania wanaoishi au kufanya kazi kwa wahindi watakua washasikia neno "Goro" ambalo hutumika kumuita Mtanzania, unajua maana yake?

Kuna mwafrika/ mtu yeyote aliyewahi kumrushia kitu mchezaji asiye na asili ya Afrika akiwa analenga ubaguzi wa rangi?

Mkuu nahisi haupo informed ipasavyo.
 
ha hahaha nadhani ni muda hao kaladi wakarudi huko kwao wandeleze genes zao ... mugabe ana akili sana
 
Wako sawa tu sasa kama mnamijitu kama Mugabe kwa nini wasiseme!!?
 
Lakini mkuu hapa tunaongelea ubaguzi wa rangi, wewe unasema Afrika tunaogoza kwa ubaguzi. Unamaanisha m-Kenya na m-Tanzania wanabaguana? Kisa rangi zao?
Au Mchaga na Msukuma?

Balotelli alirushiwa ndizi akiwa uwanjani Italia, Etoo alioneshwa ishara ya nyani akiwa Uingereza.
India kuna binti wa Kitanzania alivuliwa nguo na wahindi hadharani shambulio ambalo limetokana na ubaguzi wa rangi. Watanzania wanaoishi au kufanya kazi kwa wahindi watakua washasikia neno "Goro" ambalo hutumika kumuita Mtanzania, unajua maana yake?

Kuna mwafrika/ mtu yeyote aliyewahi kumrushia kitu mchezaji asiye na asili ya Afrika akiwa analenga ubaguzi wa rangi?

Mkuu nahisi haupo informed ipasavyo.
Kila ubaguzi una athari zake mkuu,ina maana we ulitaka vitendo vya ubaguzi viwe sawa?
 
sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
Umelaniwa peke yako mkuu, ndio maana hata ulichoandika kinaonyesha ni jinsi gani ulivyolaniwa, akili finyu hizi
 
Endapo interbreeding isingewezekana, tusingeweza kuongea lugha yao na wao lugha yetu nadhani treatment ambayo tungeipata kutoka kwao ingekuwa harsh sana.
 
Kila ubaguzi una athari zake mkuu,ina maana we ulitaka vitendo vya ubaguzi viwe sawa?
Haviwezi kuwa sawa, post yangu imemquote mdau anayesema Africa tunaongoza kwa ubaguzi, nimeonesha jinsi gani mwenye asili ya Afrika anabaguliwa huko kusiko Afrika.
Kama kuna aliyebaguliwa akiwa Afrika na ni Mwafrika naomba mfano.
 
Mkuu mbona hueleweki! Kwani we umemuelewa vp huyo mdau?
 
Ila Dillon Shane Jackson ndio ame mind kabisa yaan, Dillon akikuona mweusi unatoka na mwanae ana kuua nakwambia
ahahaa jamaa kanichekesha eti kila ndoa yenye mbongo lazima iishe na case no nimemkumbuka mange kimambi
 
Back
Top Bottom