Burungutu la pesa
Senior Member
- Feb 21, 2015
- 117
- 32
Kuna siri kubwa sana sababu ya Muumba kuweka rangi tofauti tofauti, lakini MUNGU anasema palipo na UPENDO pana MUNGU.
Nasisitiza kwa mkazo zaidi sisi miafrica ndio tunaongoza kwa ubaguzi na roho za kutuLakini mkuu hapa tunaongelea ubaguzi wa rangi, wewe unasema Afrika tunaogoza kwa ubaguzi. Unamaanisha m-Kenya na m-Tanzania wanabaguana? Kisa rangi zao?
Au Mchaga na Msukuma?
Balotelli alirushiwa ndizi akiwa uwanjani Italia, Etoo alioneshwa ishara ya nyani akiwa Uingereza.
India kuna binti wa Kitanzania alivuliwa nguo na wahindi hadharani shambulio ambalo limetokana na ubaguzi wa rangi. Watanzania wanaoishi au kufanya kazi kwa wahindi watakua washasikia neno "Goro" ambalo hutumika kumuita Mtanzania, unajua maana yake?
Kuna mwafrika/ mtu yeyote aliyewahi kumrushia kitu mchezaji asiye na asili ya Afrika akiwa analenga ubaguzi wa rangi?
Mkuu nahisi haupo informed ipasavyo.
Roho za kutu sikupingi ila ubaguzi hapana.Nasisitiza kwa mkazo zaidi sisi miafrica ndio tunaongoza kwa ubaguzi na roho za kutu
Sisi ni wabaguzi wa kila kitu na roho za kutuUbaguzi upo wa aina nyingi na sie wenyewe tunafanya ubaguzi wa aina mbalimbali ila ikitokea tumebaguliwa watu weusi tunaona kama tumefanyiwa jambo baya lisilo na mfano vile.
Kwa nini unakataa Mkuu?Roho za kutu sikupingi ila ubaguzi hapana.
Mimi ni muafrica,black,ila sijalaaniwa,nimebarikiwa sana.....!!kama wewe umelaaniwa ni wazi unahitaji tukuombee.....sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
Vitendo wanavyofanyiwa waafrika nje, sisi hatuwafanyii wanaotoka mabara mengine wakiwa humu au hata tukiwa kwao.Kwa nini unakataa Mkuu?
Ohoo sasa nimekupata kawaida ya ngozi nyeusi ni kumsujudu mzungu na kumbagua na kumtesa mweusiVitendo wanavyofanyiwa waafrika nje, sisi hatuwafanyii wanaotoka mabara mengine wakiwa humu au hata tukiwa kwao.
Historia ya kwamba ngozi nyeupe waliwahi kuwa mabwana na ngozi nyeusi watwana ndiyo imeleta kusujudia.Ohoo sasa nimekupata kawaida ya ngozi nyeusi ni kumsujudu mzungu na kumbagua na kumtesa mweusi
Kustaarabika kivipi mkuu.sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
Kwanza mizungu yenyewe ya south Africa mibayaa...Mi huwa nawachekaga tu watu kama hawa.
Hao makaburu wa South Africa bado hawajaacha ubaguzi wao . Hii dunia nyingine hii sio miaka 100 iliyopita. Yaani unaoa unaemtaka. Ni kumpata tu kwanza. -🙂
ndio vema ili hawa nyumbu wakale walipopeleka mbogamugabe apewe south aifilisi wananchi waanze kulala njaa!!
Wadhungu wao wamekanyaga sana shangazi zetu wakati wa utumwa. Kwa nini leo sisi tuwaache? Yaani Unyamwezini natoa ng'ombe kibao kupata ngozi nyeupe na Mzungu hata senti tano silipi na ngozi nyeupe haswaaa.
Ukitaka kula Nguruwe.... Wanyamwezi changamkieni Vingozi vyeupe na sisi tuwe na akina Obama wetu.
Kwani Prof. Sarungi Mke wake kashamzika? Au yule M-Magyar ni Single mother? Hao Looser wanaogopa dada zao watapata Mipingo ya nguvu na wawakatae wao na vibamia vyao.
Remy Ongala kazikwa na mkewe.
They Love Black coffee Baby. No sugar no cream.
Mi thijaelewa hata moja ila naona mapichapicha tu.[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Haya tuelimishe wewe umelaaniwa nini na kwa kosa gani ulilofanya? Mimi binafsi na uzao wangu sijalaaniwa.sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
Ukiona hivyo ujue lugha ina ubaguzi,hivyo imekubagua ndiyo maana hujaelewa.Mi thijaelewa hata moja ila naona mapichapicha tu.[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Bora hata wangeandika kimatumbi.[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]