Ndio muone wazungu walivyo wabaguzi.....

Ndio muone wazungu walivyo wabaguzi.....

Ndio mkome mbona dada zetu weusi wazuri tuu, hivi hao wazungu wana uzuri gani!!
Sina mpango wa kuoa mzungu (of coz nnako ishi hakuna wazungu pia)
Ha ha ha haaa, unajua maoni yako hunifurahisha, kuna wakati maoni yako hupinga fikra zangu na kuna wakati hukubaliana na fikra zangu. Ila uliponifurahisha ni hapo uliposema "of coz nnako ishi hakuna wazungu pia".
 
ila wakati mwingine nahisi sisi waafrika ni wapumbavu wa mwisho,hivi mnaangalia kweli vituko vya watawala wetu///
 
Kabla ya kujadili haya ya Wazungu, mmeshamaliza yale yetu ya kupigania haki ya kutoa maoni ili tusiendelee kunyanyaswa na watu tuliowaweka madarakani then wanatugeuka? Waacheni hao ngozi nyeupe na mambo yao, wako mbali sana nasi hivyo they have the mandate to say anything they want against us! Nimeona michango yetu kule kwenye kutetea haki ya wananchi ya kikatiba ktk kutoa maoni hasa wakati huu ambao walio madarakani hawataki kukosolewa, mmeshamfikiria Melo na hatima ya JF? kabla ya kuanza kuwakosoa Wazungu juu ya ubaguzi wao kwetu? They are damn right, shame on us!

Unajua huwa wakati mwingine nasoma haya mambo nacheka mwenyewe. Sasa kama mtu mnayetofautiana naye maoni humu au wa itikadi tofauti na wewe unakalia kumwita nyumbu na kumtukana na kumdhalilisha kila siku hata kama ni ndugu yako, halafu wanaobagua waafrika unawaita racists, hivi kuna utofauti gani wa racists hao na wewe unaemdhalilisha mwenzako kumwita mnyama?

Waafrika tujiangalie wenyewe na tujitambue vinginevyo tunachekesha kwakweli. Huko Sudan Kusini watu wanapigana eti kisa huyu kabila hili na huyu kabila lile. Kwingine mtu hapewi nafasi ya kuongoza eti sbb yeye wazazi wake ni wa kutoka sehemu fulani kwahiyo hata akishinda uchaguzi hawezi kupewa kuongoza dola. Ubaguzi tunabaguana wenyewe kila siku lakini wazungu wakisema kidogo ndiyo tunakimbilia kuwaona wabaya. Huyo aliyesema tumelaaniwa unaweza kumwelewa kidogo anachomaanisha.
 
Dah! Naona ni jinsi gani hawa watu walivyo wabaguzi wa rangi. Lakini wao wakija kwetu kuchukua dada zetu huwa tunafurahi na kuona ni oppotunity nzuri.
 
sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
Sina uhakika kama unajua Mungu alikuumba
 
Ha ha ha haaa, unajua maoni yako hunifurahisha, kuna wakati maoni yako hupinga fikra zangu na kuna wakati hukubaliana na fikra zangu. Ila uliponifurahisha ni hapo uliposema "of coz nnako ishi hakuna wazungu pia".

Hahahaha
Basi mwenzio huwa najua kila siku tunaenda sawa.
Sasa siku tukipishana mawazo uwe una nistua tutoke na fikra ya pamoja.
 
ahahaa jamaa kanichekesha eti kila ndoa yenye mbongo lazima iishe na case no nimemkumbuka mange kimambi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ujue watu kama mange ndio wana wa represent vibaya wenzao weusi.
Au jamaa atakuwa ana mjua mange huyu
 
Si mnawaabudu hao, kulikoni?

Towa "Z" katika mzungu, inabaki nini?
 
sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu
hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
Kama ni laana unayo wewe tu usinijumuishe na wewe na ukoo wako
 
Aisee hizi ni lyrics za wimbo wa Bob Marley unaitwa Wars. Usitugee chai bwana.

Bro inaelekea hujui, ngoja nikufahamishe. Bob Marley quoted H.I.M Haile Selassie I speech to the United Nations (New York, NY, October 4, 1963. Jongeze mwenyewe mkuu, kijana wa kiafrica lazima utambue hivi vitu ili usiwe kichwa maji baadae Uje uwape dawa wajuukuu.
 
Hahahaha
Basi mwenzio huwa najua kila siku tunaenda sawa.
Sasa siku tukipishana mawazo uwe una nistua tutoke na fikra ya pamoja.
Sawa sawa nitakuwa nakuambia tukipishana. Nakupishana ni jambo zuri sana maana linaonesha upanuzi wa fikra.
 
Bro inaelekea hujui, ngoja nikufahamishe. Bob Marley quoted H.I.M Haile Selassie I speech to the United Nations (New York, NY, October 4, 1963. Jongeze mwenyewe mkuu, kijana wa kiafrica lazima utambue hivi vitu ili usiwe kichwa maji baadae Uje uwape dawa wajuukuu.
Akhaaa pale kaoneshwa Haile ndiyo kaongea, hizo ni lyrics kutoka wimbo wa Wars wa Marley wewe unasema Marley alimquote Haile kwenye speech 1963. Hivi unakiona unachokiandika?
 
Akhaaa pale kaoneshwa Haile ndiyo kaongea, hizo ni lyrics kutoka wimbo wa Wars wa Marley wewe unasema Marley alimquote Haile kwenye speech 1963. Hivi unakiona unachokiandika?

Bob Marley kwenye wimbo wa "WAR" quoted (yaani kaimba maneno ya) the H.I.M Haile Selassie I speech aliyoitoa United Nations, tarehe 4, mwezi wa 10 mwaka 1963.

Labda hujui jinsi rastafarian wanavyomtukuza King Selassie. Usiwe kilaza, you have the internet lakini hujui kuitumia. There's everything there, try to google it. Acha kuleta ubishi wa kishwaini.
 
Ushaanza matusi tuishie hapa mkuu.
 
Ushaanza matusi tuishie hapa mkuu.

Hatuishii hapa. Usitake kuzuga, kaa ujifunze ili siku nyingine uache ubishi wa kitoto.

War (Bob Marley song)
From Wikipedia, the free encyclopedia

This article is about the Bob Marley & Faliyo song. For the 1998 painting by Chris Ofili, see No Woman No Cry (painting).

"War" is a song recorded and made popular by Bob Marley. It first appeared on Bob Marley and the Wailers' 1976 Island Records album, Rastaman Vibration, Marley's only top 10 album in the USA. (In UK it reached position 15 May 15, 1976.) The lyrics are almost literally derived from a speech made by Ethiopian Emperor Haile Selassie I before the United Nations General Assembly on 4 October 1963.
 
Sawa sawa nitakuwa nakuambia tukipishana. Nakupishana ni jambo zuri sana maana linaonesha upanuzi wa fikra.
Yes skuo moja moja tuna tofutiana mawazo.
Hahahaa, yaan kama tungekuwa tunaishi pamoja, asubuhi twagombana jioni tuna tapata
 
Hatuishii hapa. Usitake kuzuga, kaa ujifunze ili siku nyingine uache ubishi wa kitoto.

War (Bob Marley song)
From Wikipedia, the free encyclopedia

This article is about the Bob Marley & Faliyo song. For the 1998 painting by Chris Ofili, see No Woman No Cry (painting).

"War" is a song recorded and made popular by Bob Marley. It first appeared on Bob Marley and the Wailers' 1976 Island Records album, Rastaman Vibration, Marley's only top 10 album in the USA. (In UK it reached position 15 May 15, 1976.) The lyrics are almost literally derived from a speech made by Ethiopian Emperor Haile Selassie I before the United Nations General Assembly on 4 October 1963.
Nyambafu sasa ungeanza hivi ungekufa?

IMG_20161216_181035_012.jpg
 
Back
Top Bottom