Makaburu sio wazungu hao ni makapikapi/takataka
si ndo hapo bhana.Uyo Hannes sjui kinye**si Mungu anamuona mfyuu zake na midevu ile mbaya hata uko kk angu black ni HB
umefanana na hao makaburu!Ndio mkome mbona dada zetu weusi wazuri tuu, hivi hao wazungu wana uzuri gani!!
Sina mpango wa kuoa mzungu (of coz nnako ishi hakuna wazungu pia)
Mkuu ebu tuwekee picha ya NataliaNimeshafanya nayo uchafu wa kila aina haya mazungu yenu (sijivuni na nilishatubu na kusamehewa) na hayana lolote la kumzidi binti wa Kibantu. There is no comparison sema tu menyewe likikupenda basi limekupenda na utalifanya cho chote unachotaka halafu yanatoa siri zote bila nyodo, majungu wala umbea. Na usipokaa sawa litakulazimisha ulioe kwa kukupa mizawadi mikubwa mikubwa hasa kama ni litoto la tajiri. Lakini ni lazima utambue kuwa wewe mweusi utabakia kuwa mweusi tu hata kama ungekuwa tajiri au msomi wa aina gani. Natalia wa Maine aliweka mitego ya kila aina eti nimwoe aaaargh wapi nikachomoa. Mnyantuzu kabisa orijino jamani eti nikaoe lizungu? Biya nagalema gete!
Mkuu ebu tuwekee picha ya Natalia
Mkuu huyo ndo Natalia,aliekua anakupikia ugali samaki marekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata roho zao pia ni mbaya ukiwa soma vizurihuwa sioni uzuri wowote wa kimaumbile wa wazungu.
watatuzidi vyote lakini sio uzuri.
black is sexy.