Kabla ya kujadili haya ya Wazungu, mmeshamaliza yale yetu ya kupigania haki ya kutoa maoni ili tusiendelee kunyanyaswa na watu tuliowaweka madarakani then wanatugeuka? Waacheni hao ngozi nyeupe na mambo yao, wako mbali sana nasi hivyo they have the mandate to say anything they want against us! Nimeona michango yetu kule kwenye kutetea haki ya wananchi ya kikatiba ktk kutoa maoni hasa wakati huu ambao walio madarakani hawataki kukosolewa, mmeshamfikiria Melo na hatima ya JF? kabla ya kuanza kuwakosoa Wazungu juu ya ubaguzi wao kwetu? They are damn right, shame on us!