Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa.

Hatuhitaji drama katika hili.
Nimesikia kutokwa na machozi,
hivi Serikali inatuonaje wananchi?
Yaani mhusike kumpoteza then mupeleke makomwe yenu kwa Mama yake, what for?
 
Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa.

Hatuhitaji drama katika hili.
Wasituletee UPUMBAVU wao ,wamemuua POLEPOLE halafu wanaenda kumyamazisha mama yake kwa VIPANDE THALATHA VYA PESA ili waache kumuulizia.
 
Back
Top Bottom