Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

Nani ajuaye? Huenda Polepole yu hai, ni suala la muda tu watamuibua na kusema mlichonga sana kauawa, haya huyu hapa muoneni! Maana kwenda tu huko wakati mwanawe hajulikani hayupo na sawa ni kuisanifu familia ya watu
 
Back
Top Bottom