Ndege yatolewa majini Bukoba

Ndege yatolewa majini Bukoba

Hata wale waokoaji waliozamia ndani ya ndege walisema hilo.
Walisema walikuta wengine washakata moto, wana majeraha usoni na wengine mikanda ilikua imewabana so walifirukuta hapo mpka wakakata moto, hasa waliokua wamekaa mbele.
Waliopona ni waliokuwa nyuma ya impact zone....

Hapo ukweli ni FDR pekee maana yenyewe itaonesha moment ya ndege tokea imetoka Dsm hadi mwisho wa kusoma
 
Shuhuda mmoja, ambaye ni mvuvi wa eneo hilo, anasema mahali ambapo ndege ilizama ni eneo lenye mchanga tu na hakuna miamba. Sasa huko kupinda (kuvunjika) kwa hiyo ndege mbona kunaashiria kama ilikita kwenye kitu kigumu?
 
Hiyo ndege yaonekana engine zilizima ikashuka moja kwa moja
Yes nahisi maana kitaalam hapo inahitaji definition ya hiyo impact tunayoiona pichani.

Kama ni kutua, ndege haijibamizi wakati wa kutua.

Nakubaliana na assumption yako kuwa injini ilizima. Nadhani itakuwa busara endapo uchunguzi wa hii ajali utahusisha na wataalam kutoka kampuni iliyotengeza ndege
 
Wale marubani yawezekana kwa 100% walikatika miguu maana kwa hiyo impact wasingebaki wazima
Yule muokoaji Majaliwa alidai walimpa ishara avunje vioo. Sikuamini maelezo yake 100% ila uwezekano wa marubani kupona kwenye impact upo.

Kwanza ndege imeharibiwa zaidi wakati inavutwa maana mwanzo walivuta bila kuinyanyua. Na cockpit iko juu ya kichwa cha ndege, mbele hiyo canopy bado nzima ingawa pia huwa ni imara. Kwa hiyo impact ya crash yawezekana haikuwaua marubani.

My assumptions
 
Back
Top Bottom