Ndege ya Fastjet yaharibika,yashindwa kuruka kwenda Mbeya,bi harusi aangua kilio kuchelewa send-off

Hapa ndio ingekuwa ATCL,basi watu wangetukana sana na huko insta kusingekalika kabisa leo
Yaani my dear ATCL anaandamwa sana...Nipo mbali na nyumbani,ngoja nitafute vyanzo vyangu,wanambie nini kimeikumba fastjet?Kwamba wanaenda Mwanza lakini si Mbeya?

Ila kama ilifika saa 1625hrs bado mpo Dsm,isingewezekana kwenda Mbeya,maana uwanja wa Mbeya hauna taa,unategemea muda wa Sunset na Sunrise.

Sasa leo jua Mbeya limezama saa 1723 bila shaka,Fastjet isingeruhusiwa kuruka kuja Dsm wakati wa machweo,hata kama kwa macho ya kinyakyusa ungekuwa unauona mwanga.

Nasubiri vyanzo vyangu,nitarudi hapa....
Hebu urudi mkuu , maana next week nataka niitumie fastjet kwenda Mbeya , nina kijisafari cha kwenda Lilongwe lakini nina kazi ya siku mbili ya Chadema pale Kyela , halafu nataka kutumia gari ndogo kuelekea Lilongwe kibiashara .

Kama vipi niangalie utaratibu mwingine .
 
Huyo bibi harusi achukue superfeo tu atafika na kuunganisha ukumbini kuliko kukosa kabisa au apande magari ya magazeti.
akodi SWIFT asafiri usiku kwa usiku anaingia mbeya alfajiri anakandwa mgongo kisha mchana anaenda kupewa rUKSA ya kulala utupu for the rest of her life.
 
Hawa watu hawajafungiwa bado last year pale Nairobi kidogo nipige MTU yaani siku mbili tumesubiri ndege mwisho ilibidi nikate ticket niondoke na Kenya airways
acha uongo wewe ulale JKIA siku mbili kisha uamue kukata KQ? 99% ya abiria wa fastjet hamuwez kumudu gharama za KQ
 
Na yeye kama alijua anasherehe kwanini hakuodoka mapema hata siku 4 kabla? mbona anakuwa na akili kama za CCM.
usifanye hasira kwenye schedules, huenda anamajikumu mengine, nilimuonya kwenye kamati ya makenikia, sasa angeondokaje?

acha U Tundu
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders

We mpumbavu. Unapomtaja JPM Kama Waziri. Taja na Waziri mkuu wake ,wote wawili. Hapo ndo utajua CCM ni Chama. Na sasa kinaitwa cha mabadiliko. Wewe baki na ndoto. Nchi hii inahitajji kiongozi mwenye uchungu. We mama mtilie endelea kuumia wakati sisi tupo safari ndefu ya mabadiliko. Hawezi kumwacha mtu salama. Kama utakuwa makini utajua JPM siasa Sio mchezo wake yani Yeye ni KANYAGA TWENDE. UKISUBIRI HOTUBA YA "UNAJUA. UNADHANI," nenda kwenye misiba.Utapata hayo maneno. Mtz mwizi kama wewe ndo unadhani shida ni chama. Na unapenyeza katika ajenda pana ujinga wako.
 
Wakuu jioni hii nilikuwa nasafiri na Fastjet ya kwenda Mbeya,nilifika mapema sana uwanjani kwa ajili ya kuwahi safari yangu

Kufika pale uwanjani,nikafanya kuchekiwa na mpaka kupewa "boarding Pass" kuelekea Mbeya.Muda ukafika tukaingia mpaka katika ndege na kukaa tayari kwa kuondoka.Baada kama ya dakika 20 tukatangaziwa kuwa ndege ni mbovu hivyo haiwezi kwenda Mbeya.

Abiria wote tukaambiwa tushuke,watu wakawa wabishi pale na kelele za hapa na pale.Tumeuliza tatizo ni nini?Wanasema tu ni "Technical Faults"...Mle ndani ikawa joto sana mpaka wakalazimika kufungua mlango wa mbele na ule wa nyuma wa kushoto na kulia.

Baada kama ya saa moja hivi,ikaamuliwa wote tushuke na tukutane pale nje ili tupewe utaratibu.Lakini ukweli ni kuwa safari ya Mbeya leo hakuna,na nasikia hata kesho pia hakuna.Ukiwauliza wanasema ndege ni mbovu.

Nilikuwa nimekaa seat moja na bibi harusi mtarajiwa,ambaye jana alishindwa pia kwenda Mbeya sababu ndege ilijaa(overbooking) na leo pia ndege ni mbovu.Huyu bibi harusi mtarajiwa ana "send off" yake kesho.Nimemuacha hapo analia kama mtoto...Hata kesho akichukua "Super Feo" lazima atafika Mbeya wakati watu washaingia ukumbini.Fastjet wanasema kwa sasa ndege ya kwenda Mbeya ipo moja tu mchana saa 1430hrs,ile ya asubuhi wameifuta.

Lakini ajabu tukiwa palepale uwanjani,tumesikia ndege ya Fastjet inaondoka kwenda Mwanza,na wanatangaza abiria wa Mwanza kwa kutumia Fastjet wapitee geti namba fulani tayari kwa safari.

Sasa huu ubovu wa ndege ni kwa safari ya Mbeya tu??Wengine tulikuwa na safari za haraka za kibiashara na kesho asubuhi tulihitajika,sasa hata kesho tena uhakika hakuna?Kumbe sio ATCL tu,hata Fastjet nao wamepaki "bombadia" yao!!Usafiri wa anga ni kiboko
Mambo ya zima moto mabaya sana. Ona sasa anachelewa maandalizi ya lile gauni jeupe akh!
 
Hii ilitokea pia kama wiki mbili zilizopita, my colleagues walikukuwa wanaenda mbeya na hiyo hiyo fastjet landing gears zikifail kurudi ndani, wakarudishwa dsm, nilijiuliza ingekuwaje kama zingeingia na kufail kutoka. Ilisemekana hydraulic oil ilivuja na hawakujua
 
Huyo bibi harusi achukue superfeo tu atafika na kuunganisha ukumbini kuliko kukosa kabisa au apande magari ya magazeti.

Shida ya waswahili ndo hii, unalia? we unatakiwa kupambana kukamilisha lengo halafu uwarudie baadae! yani ingekuwa ndege wame cancel leo, kesho siji naanza kusogea eneo la tukio hata kwa baiskeli
 
Hapa ndio ingekuwa ATCL,basi watu wangetukana sana na huko insta kusingekalika kabisa leo
Yaani my dear ATCL anaandamwa sana...Nipo mbali na nyumbani,ngoja nitafute vyanzo vyangu,wanambie nini kimeikumba fastjet?Kwamba wanaenda Mwanza lakini si Mbeya?

Ila kama ilifika saa 1625hrs bado mpo Dsm,isingewezekana kwenda Mbeya,maana uwanja wa Mbeya hauna taa,unategemea muda wa Sunset na Sunrise.

Sasa leo jua Mbeya limezama saa 1723 bila shaka,Fastjet isingeruhusiwa kuruka kuja Dsm wakati wa machweo,hata kama kwa macho ya kinyakyusa ungekuwa unauona mwanga.

Nasubiri vyanzo vyangu,nitarudi hapa....
yaaah ATCL si yetu watz lazima watukane
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders

Makinikia hayajawahi kumuacha mtu salama. fastjet, Magufuli na Chenge wapi na wapi? Muzee makinikia noma
 
Back
Top Bottom