Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,982
- 4,164
Serikali inunue ndege za kutosha halafu hayo makampuni yaambiwe yatafute nchi nyingine wakafanye biashara.
Sasa huu ubovu wa ndege ni kwa safari ya Mbeya tu??
Kufika pale uwanjani,nikafanya kuchekiwa na mpaka kupewa "boarding Pass" kuelekea Mbeya.Muda ukafika tukaingia mpaka katika ndege na kukaa tayari kwa kuondoka.Baada kama ya dakika 20 tukatangaziwa kuwa ndege ni mbovu hivyo haiwezi kwenda Mbeya.
Gari za magazeti ziskie tuu, usijaribu kukutwa na bwana pepsi ni nomaHuyo bibi harusi achukue superfeo tu atafika na kuunganisha ukumbini kuliko kukosa kabisa au apande magari ya magazeti.
Alikuwa anagonga final touch mkuu si unajua anaenda kumilikiwaNa yeye kama alijua anasherehe kwanini hakuodoka mapema hata siku 4 kabla? mbona anakuwa na akili kama za CCM.
Apambane na hali yake sasa.Alikuwa anagonga final touch mkuu si unajua anaenda kumilikiwa
Sasa ashawaambia wampokee songwe airport mkuu.Huyo biarusi angeniambia mapema jioni ningempakiza kwenye gari ya IT au Costa za kidongochekundu kariakoo angefika kwao asubuhi kesho.
Wakati mwingine msing'ang'anie sana show off za ndege
Daaa unahasila ni balaawanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
Noo magari ya magazeti si salama, anaweza akaelekea kaburini sio kwe send off, please dont advice her!Huyo bibi harusi achukue superfeo tu atafika na kuunganisha ukumbini kuliko kukosa kabisa au apande magari ya magazeti.
Wazazi wako ndio wapumbavu wameshindwa kukupa maadili mema narudia tena wazazi wako ndio wapumbavuwanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
Huyo anaweza kuwa binti wa mwamango,watu wa Mbeya now days uwezo wao wa kutafakari mambo umeshuka sana.Na yeye kama alijua anasherehe kwanini hakuodoka mapema hata siku 4 kabla? mbona anakuwa na akili kama za CCM.
Kwanini mkuu?Hii ingekuwa ATCL sasa hivi tungekuwa page ya 157!
hivi hili kampuni la precious lipo ama sielew kitambo sanaMkuu Ngaliba Dume
Hii ndio wanasema vijana wa kisasa "bamba to bamba"...Watu wameisimanga sana ATCL kwenye mitandao kwa jambo la kawaida kabisa la kiufundi,ukiwauliza,utasikia wanasema "Man***g**" kasema.
Haya mambo ya "Technical" kwenye usafiri wa anga ni ya kawaida sana sana.Kwenye ATCL kuna kifaa kimeisha masaa,kinatakiwa kubadilishwa na kujaribiwa kabla ya kuruka,na hii ndio "safety standards" za usafiri wa anga,lakini watu wakasema weee,na matusi juu.
Hapa napenyezewa kuhusu Fastjet kushindwa kwenda Mbeya leo na hata hiyo kesho.
Kwa sasa Kampuni ya Fastjet wana ndege moja tu,aina ya Airbus 319(A319).Hii ndio inafanya "routes" zote za Dsm,Mbeya,K'njaro,Mwanza na Lusaka.
Ndege hiyo imepata matatizo ya kiufundi ya kifaa cha "Starter" kuharibika,ndege aina ya A319 jet engines,starter yake ni ya upepo na sio umeme,hivyo inapotaka ku-start inahitaji upepo mwingi kusukuma "turbine" ili injini ikolee.Ikiwa mbovu basi inasaidiwa na "Ground Air Starter" ambayo inakuwa mashine iliyopo chini na kuungwa kwenye mfumo wa injini.
Kwa sasa sababu "starter" ni mbovu,basi hiyo "Ground Air Starter" ndio inatumika ili kusaidia ku-busti injini iwake.Hapa Dsm hiyo Air Starter ipo,na huduma hiyo inatolewa na Swissport kwa Fastjet kama sehemu ya mkataba wa "Ground Handling".
Kwa uwanja wa Mbeya hiyo Ground Air Starter mbovu,na SwissPort hawajatuma kifaa huko Mbeya kuikarabati,hivyo rubani akawa na wazo la kuipeleka ndege na akifika Mbeya asizime injini na kupakia abairia na kurudi,lakini ikaonekana itakuwa kinyume na mambo ya safety kupakia watu wakati ndege injini moja inaunguruma.Na akizima injini maanake hawezi kuiwasha bila msaada wa Ground Air Starter.
Uamuzi ukawa ni kuiahirisha safari ya Mbeya huku kifaa kikisubiliwa kuja ndani ya siku mbili toka nje.
Kama mkuu Ngaliba Dume umesikia ndege inaenda Mwanza,ni kwa sababu huko huduma ya "Ground Air Starter" ipo,na KIA pia ipo,hivyo hata wakienda wana uhakika wa kurudi,lakini sio Mbeya.
Sasa haya mambo ni kawaida katika usafiri w anga,lakini watu hawakawii kutukana,tena ndio ingekuwa "MY DEAR ATCL",basi huko Instagram kungechafuka kwa matusi kwa bombadia zetu.
"IN AVIATION,SAFETY IS PRIORITY"
Hili sasa ni tatizo naona wamezoeaMkuu,hii ni leo mchana 12/06/2017
Binafsi nakushukuru maana sikuwa naelewaMkuu Ngaliba Dume