Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,669
- Thread starter
- #81
Mpaka leo ndege ya Mbeya hakunaMambo ya zima moto mabaya sana. Ona sasa anachelewa maandalizi ya lile gauni jeupe akh!
Mpaka leo ndege ya Mbeya hakunaMambo ya zima moto mabaya sana. Ona sasa anachelewa maandalizi ya lile gauni jeupe akh!
Sawa dingiusifanye hasira kwenye schedules, huenda anamajikumu mengine, nilimuonya kwenye kamati ya makenikia, sasa angeondokaje?
acha U Tundu
KweliVya rahisi ndo matokeo yake. Usikute hakuna kulipwa nauli yako.. usicheze na budget aurlines