maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,831
Nimekua nikitafakari juu ya habari ya ndege ya Malaysia iliyopotea karibu mwezi sasa naona akili hainipi kabisa kuwa ni kitu kinachoweza kutokea kweli na dunia nzima ishindwe kujua.
Uwezo mkubwa wa nchi kama marekani unanipa shaka kwamba nao wameshindwa na hasa ndio inayonipa imani kwamba kuna mchezo tusioujua ambao marekani kama hawajahusika basi wanaujua...nimemaliza
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums