Mimi sijasema ni ya kwanza kupotea,ila naongelea uwezo wa dunia ya leo ulipofikia na kwa ishu kama hii ndio nimekuja na hiyo hisia,kama unafuatiliaga Discovery channels na National Geographic channels utakubaliana na mimi kwa uwezo walionao hawa jamaa walioendelea na utashangaa hapa wameshindwa kweli au kuna kitu kimefichwa...
Mkuu uko sahihi sana. Hata mm nimekuwa na mashaka na kilichoendelea.