Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Mkuu umeona enh? it can be easily spoted by, in military air forces !!
Mkuu umeona enh? it can be easily spoted by, in military air forces !!
Kwahiyo wanajifunzia Matrekta ili waendeshe makatapila?hizi ni ndege za mazoezi ..sio za kivita..nafikiri muwe waziii zaidi... na mkumbuke si kila kitu cha kuongea..kama mumeona hata kwenye gazeti hakuna hiyo stori.. tujifunze pia.
tuache uchadema vs uccm
Kwahiyo wanajifunzia Matrekta ili waendeshe makatapila?
Kijana,, darasa la kwanza ulifundishwa calculus? Au trigonometry?Jamaa anataka aendeshe Mercedes Benz lakini anajifunzia Toyota Corona
Mpuuuzidu hiyo rangi inatisha
MpuuuziHii ndege au chuma chakavu?