NDEGE ILIYOANGIKA jana

Wewe unategemea ngumi ya moto inaanikwaga kihivyo. Waambie wamalawi wako wafanye kweli halafu wasikilize muziki wa Bongo ulivyo mtamu. Kama unadhani nabisha nenda kamuulize Ndili Idd Amin Dadaa. Alikuwa na vifaa vya kisasa sana lakini hakujua namna ya kuvitumia, akaviacha Kagera na wabongo walipovicgukuwa wakavitumia hivyo hivyo kumrudi mpaka akasahau kuitikia kibwagizo. Mtu yeyote mwenye hekima haaniki silaha yake kila adui aione. Ukitaka kujua kwamba adui yako hajambo nenda kamchokoze nyumbani kwake kamgambile stupid infront of my wife wake na watoto wake. Hapo sasa. Kuna nyoka fulani kule kwetu ukienda kutafuta kuni anakaa kwenye matawi na rangi yake inafanana na tawi alilolalia. Unitaka kuuvunja ukuni huo unashangaa ni laini, yeye anakuangalia tu anakusamehe akijua ni bahati mbaya. Lakini akiona unamaanisha kwa makusudi, silaha yake ni mate kama kamasi hivi, akikurushia unaanza palepale kuumuka kama andazi lenye hamira. Usicheze na askari wa Bongo bana. Mdharau mwiba huchomeka.
 
Nikikuuliza hyo ndege yaitwaje jibu unalo? Au na ww bendera fata upepo kwa sbb kuna mtu amesema ni za mwaka 1956?

Hyo siyo mig21 au chinese shengyan.., pata lunch kwanza afu tuje tuichambue hii ndege

Ujione unajua ingali we mweupe tu hiyo ni Mikoyan-Gurevich MiG 21 kanywe kahawa kwanza
 
Uko Lilongwe kuna sherehe sizizo za kawaida baada ya kusikia na kuiona ndege yetu ya kivita ulivyochoka
 
kama ilishindwa kuruka, ilikuaje marubani watumie parachute?

Nadhani ilikua kwenye runway tayari ikijiandaa kuruka(ina maana ilikua kwenye mwendo mkali)...kilichotokea ilishindwa kunyanyuka kani mnyanyuko ilikua ndogo...hivyo wajeda wakaamua kujitoa ndegeni
 
Wajumbe msitokwe sana na mapovu kuhusu rangi ya iyo ndege. Iyo ni ndege ya mafunzo, Kwa ndege ya mafunzo zinatumia rangi ya njano or nyeupe. Reason ni raisi kutambuliwa na ndege nyingine zilizokua angani na ground forces. Pia inapotokea kupata itirafu na kuanguka ni rais zaidi kuiona, kuliko zile zenye rangi halisi za kivita.

Kwani rangi nyekundu isingefaa? Hii ni MiG 15


01_3.jpg
 
Wajumbe msitokwe sana na mapovu kuhusu rangi ya iyo ndege. Iyo ni ndege ya mafunzo, Kwa ndege ya mafunzo zinatumia rangi ya njano or nyeupe. Reason ni raisi kutambuliwa na ndege nyingine zilizokua angani na ground forces. Pia inapotokea kupata itirafu na kuanguka ni rais zaidi kuiona, kuliko zile zenye rangi halisi za kivita.

U are right comrade.., maana kuna mtu anaweka picha ya fighter analinganisha na ndege ya mazoezi..,
 
YALE MAGARI YA KUJIFUNZIA UDEREVA NANI ANAYAJUA VIZURI!!!!! Driving schools zina alama ya "L" tuacheni kubeza
 
Jamani bora tuwe wapole, kweli tutaweza vita na ndege za namna hiyo??utadhani zimetengenezwa veta??? Aibuuuuuu......Malawi wakiona hyo ndege c ndo wanapata nguvu kabisa ya kuchukuwa ziwa lote?????

Mkuu ukweli gani tena wakati Dhaifu alisha muahidi Dada yake kuwa hajapeleka majeshi mpakani, Kumbue ilikuwa kujitunzia heshima yaani ndege yenyewe bomu jee ikipigwa na bomu la wa Malawi si itaongeza maafa kwa wakazi wa Mbeya
 
Hii ni J-10...one of the latest chinese Jet fighter(super sonic speed)..tutapewa msaada baada ya miaka 50 kupita.

AIR_J-10B_Takeoff_lg.jpg
 
yeah. hii ni ndege ya kujifunzia, lakini watu kuna kitu hawajui kwamba kifaa chochote cha kivita huwa hakiwi kikukuu. hiyo ikikudondoshea bomu ndo utajua ina ubora gani. mia


inaonyesha udhaifu wa shimbo
 
Mkuu huyo nyoka amenifurahisha sana. Ngoja na mimi nijaribu kuishi maisha kama hayo nione kama nitaweza.
 
Chezea tanzania Air Force wewe,tuna latest jet Fighter.Ngoja vita na malawi ianze ndio utaona mziki wetu.
Angalia kitu hicho.

default.jpeg
 
Mbona kwenye Mwananchi wamesema ni mpya? na walikuwa ndio wanaanza kujifunzia.
Mpya kumbe ni relative term ( muhula ndugu, lolololest!)
 
Du kweli kama ni ndege ya kivita ni noma ndo maana hata TBCCM wakaamua kukaushia habari hiyo maana watakuwa waliambiwa na wenye mamlaka kuwa kisitoke kitu maana waMalawi wangetumaliza for sure
 
Back
Top Bottom