NDEGE ILIYOANGIKA jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NDEGE ILIYOANGIKA jana

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bujibuji, Oct 24, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,064
  Trophy Points: 280
  Ndege ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) iliyopata ajali jana asubuhi katika Kambi ya Jeshi la Anga (Air wing) Ukonga jijini Dar es Salaam baada ya kushindwa kuruka. Picha kwa hisani ya JWTZ
  [​IMG]
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Mbona ina rangi mbaya hivyo? Toka lini?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  aisee ndege ya kivita lkn imechoka sana.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Kwa rangi hiyo ya YANGA si hata kwa mshale unaitungua.....easy target for me.....au ni ndege ya sarakasi?
   
 5. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Ni ndege ya kujifunzia urubani wa ndege za kivita.
   
 6. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu umeona enh? it can be easily spoted by, in military air forces !!
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Aisee imechoka
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ndege ya kizamani hivi ya nini sasa si inajaza hewa chafu tu angani
   
 9. J

  John W. Mlacha Verified User

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  hhahha jamani ndege gani ya njano?? Hahahahhaha huko jeshini wapo kina nani? Lol
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  yeah. hii ni ndege ya kujifunzia, lakini watu kuna kitu hawajui kwamba kifaa chochote cha kivita huwa hakiwi kikukuu. hiyo ikikudondoshea bomu ndo utajua ina ubora gani. mia
   
 11. charger

  charger JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ndege ya Ben10..... Ha ha ha haaaaa,I hope wa malawi hawapitagi humu jf
   
 12. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sanaaaa
   
 13. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Vita na Malawi bado mbichii ndo mambo yanaanza hivyo , mbona kama hiyo ndege inaonekana ni mkweche?
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280

  Ni kweli kabisa. Kifaa cha kujifunzia hakitakiwi kuwa kichakavu. Ila hata rubani aliyefariki wanasema alikuwa 'LEARNER' ndo sababu alishindwa kumudu chombo. Ni habari ambayo nimeisoma kwa gazeti asb hii
   
 15. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280

  kama ilishindwa kuruka, ilikuaje marubani watumie parachute?
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Wao wanaziita NDEGE ZA NKHONDO........:laser:


  [​IMG]
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,064
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni ndege mpya, ndio imenunuliwa juzi kwa ajili ya kuwavaa Malawi
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Watakuwa wameinunua kwa Manji........hizo rangi.....mmmh
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wacha maneno hayo! Kwa zaidi ya miaka 30, Baadhi ya ndege za JWTZ zimekuwa na rangi hiyo!
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  DAh kwa mtindo huo wa Nyanja aka wa malawi watatatuvuruga hadi mpakani mwa kenya, km vijindege vyenyewe ndo hivi vimechooooooooooooooka khaaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...