Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya

Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka.

Nadhani kwa alivyoisaidia hii nchi kwa mawazo mengi na kujitolea kuokoa mabilion ya pesa nchi hii, shukrani pekee ya watanzania kwake ni kumpa Urais 2025.

#Vote4Zzk ,chaguamwami #2025uzalendombele
for sure the man"Zzk"played the major role.....am not thnkng kweny bunge la sas yup mtu makin...kam zzk
 
Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya

Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka.

Nadhani kwa alivyoisaidia hii nchi kwa mawazo mengi na kujitolea kuokoa mabilion ya pesa nchi hii, shukrani pekee ya watanzania kwake ni kumpa Urais 2025.

#Vote4Zzk ,chaguamwami #2025uzalendombele
Inawezekana umevuta bangi ambayo ilikuwa haijakauka sawasawa, au umetoka kwenye kilabu kianchouza pombe ambazo hazikuiva sawasawa.
 
Inasikitisha sana kuona JF wamekupa hadhi ya platinum lakini uwezo wako wakufikiri na kuchanganua mambo ni wa kifacebook Facebook aisee.

Ni aibu MTU kama wewe kushindwa kujenga hoja.
 
Watu wa Kigoma hawakutaka kuremba walikuwa na jambo lao na limetimia. Mtu anayekwenda nje ya nchi kuichongea ili inyimwe pesa kwa ajili ya kuboresha elimu ni msaliti tu kama Yuda Iskariote.

Mtu anayewadhihaki viongozi wa juu kwa sababu tu hawafanyi kazi kwa matakwa yake pengo lake linazibika vizuri tu.

Ajipange upya, kuna maisha nje ya ukumbi wa bunge.
 
Jikite kwenye maada
Unakumbuka hoja binafsi ya "Buzwagi"?
Unakumbuka kuhusu escrow, Richmond, Epa na Radar?
Unakumbuka mchango wa zzk kwenye ujenzi wa Kigoma mpya?
 
Inasikitisha sana kuona JF wamekupa hadhi ya platinum lakini uwezo wako wakufikiri na kuchanganua mambo ni wa kifacebook Facebook aisee

Ni aibu MTU kama wewe kushindwa kujenga hoja
Na wewe uliona hapo kuna mada ya kujadili kweli hata kama hujui historia ya Bunge ila unaangalia span fupi tu ya bunge la 2015 hadi 2020 tu. Mtu mwenye akili timamu hawezi kusema Zitto aliyeandika barua nje ya nchi kusema nchi isipewe misaada ni mzalendo kweli kwa vile hiyo ni kinyume kabisa na maana ya uzalendo. Kama mtu huyo ana akili timamu basi labda atakuwa anaandika hayo akiwa amelewa.

Kuna mifano mingi sana ya wabunge waliokuwa wazalendo sana katika nchi hii, wala Zitto hawezi kuwa karibu nao kamwe. Katika kipindi cha ubunge wake miaka kumi tano huwezi kumlinganisha na Dr. Slaa huko CHADEMA, lakini vile vile huwezi kumlinganisha na AL Mrema enzi zake sababu iliyofanya hadi ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu, au Njelu Kassaka. Vile vile huwezi kumlinganisha na JK Nyerere labda hujui kuwa Nyerere naye alikuwa Mbunge wa jimbo la pwani kabla ya kuwa Waziri Mkuu, na wala hana uzalendo kuliko RM Kawawa aliyekuwa mbunge wa Newala. List ni ndefu ambayo mtu mjinga tu ndiye anayeweza kukubaliana na propoganda za kumpmba Zitto.

Uzalendo unaangalia sana masalhi ya nchi kuliko masalahi binafsi ya kisiasa. Barua ya Zitto haikuwa inaangalia maslahi ya nchi bali alikuwa anatafuta kuinyima nchi misaada ili apate point za kisisasa, na huo sio uzalendo hata siku moja.
 
Kwa waraka huu umeanika uwezo wako wa kufikiri
Uliowataja hapo wanakuumbua
Mfano Dr,slaa bila back up ya zzk (1995-2005) aliwahi kuifanyia nchi kipi?
 
Zitto hapana.
Huyu si ndio alikuwa anashadadia tunyimwe fao la kujitoa hapo nyuma.
Tume ya madini si ndiyo huyu baada ya hapo akakaa kimya kabisa. Uzalendo siyo kukataa mshahara wa marupurupu. Bro.
It is a process.
 
Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya

Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka.

Nadhani kwa alivyoisaidia hii nchi kwa mawazo mengi na kujitolea kuokoa mabilion ya pesa nchi hii, shukrani pekee ya watanzania kwake ni kumpa Urais 2025.

#Vote4Zzk ,chaguamwami #2025uzalendombele
ZITTO WA KIPINDI HICHO NA ZITTO WA SASA, WAKIKUTANA WATAZICHAPANGUMI, MCHANA KWEUPE.
 
Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya

Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka.

Nadhani kwa alivyoisaidia hii nchi kwa mawazo mengi na kujitolea kuokoa mabilion ya pesa nchi hii, shukrani pekee ya watanzania kwake ni kumpa Urais 2025.

#Vote4Zzk ,chaguamwami #2025uzalendombele
Kwa tume ipi? Hii ya Mahera mtaalam wa hisabati?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Umeshahama kwa Lissu
Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya

Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka.

Nadhani kwa alivyoisaidia hii nchi kwa mawazo mengi na kujitolea kuokoa mabilion ya pesa nchi hii, shukrani pekee ya watanzania kwake ni kumpa Urais 2025.

#Vote4Zzk ,chaguamwami #2025uzalendombele
 
Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya

Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo
Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka.

Nadhani kwa alivyoisaidia hii nchi kwa mawazo mengi na kujitolea kuokoa mabilion ya pesa nchi hii, shukrani pekee ya watanzania kwake ni kumpa Urais 2025.

#Vote4Zzk ,chaguamwami #2025uzalendombele
Ikiwa ubunge wamemnyima unadhan urais watampa???
 
Watu wa Kigoma wamempima wakaona anafaa zaidi akiwa mbunge wa Twitter kuliko kuwawakilisha bungeni.

Anazikandya ndege halafu watu wanampiga picha akishuka kwenye mojawapo huko kwao!!.

Anafikia hatua ya kwenda US kuipinga serikali ya nchi yake mahali walipozaliwa wazazi wake wote wawili, hana pengo lolote atakaloacha bungeni.
 
Back
Top Bottom