Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

Huyu aliyeenda kupeleka barua WB tuzuiwe kupewa mikopo nafuu,huyu mjinga huyu anatumikia tumbo lake tu.sasa aende tena basi. Hawa wapinzani walijisahau sana unaendaje kupinga mikopo mahali huku ukirudi unataka upewe tena ruzuku na posho na serikali hiyo hiyo unayoichongea,aisee sasa ni wakati wake muafaka wa kuonyesha upinzani akiwa nje.

Apiganie uzalendo vizuri sio unafki nafki tu na kwa somo dogo tu kachero mbobezi kachukua makabrasha yote ACT kayamwaga lumumba SAA HIZI KIMYAA KAMALIZA KAZI.GOLI LA DK 89 HAMKUMUELEWA tu anamaanisha nini.
Mzalendo!
-Alikubali ku bargain na makampuni ya madini alipokuwa mbunge kufuatia ukali alioonyesha,, baada ya mgawo akaficha makucha!

-Alidai kususia posho lakini akawa anapokea mshiko wa makampuni ya umma na wakurugenzi alivyoongoza kamati ya mahesabu ya umma!

-Alishangilia kukamatwa kwa ndege zetu na kaburu, na inasemakana ni miongoni mwa watz waliomshawishi kaburu akamate ndege zetu.

-Alishauri serikali inunue korosho Kama government intervention, na Rais alivyo tekeleza hilo akageuza kibao na kuimba kila siku kwamba serikali inafanya biashara ya korosho akijua kuna baadhi ya majuha atawaokota.

-Alishiriki katika machapisho ya kumchafua Rais na serikali kwa kupika uongo mwingi ili tu ambomoe.

-Alitumia muda mwingi kudanganya watanzania kwamba ndege alizonunua Rais ni used, nyingine hazifai kwa matumizi sababu zimegundulika kuwa na kasoro hatarishi, kumbe uongo mtupu.

-Alishiriki kueneza uzushi wa kupika, wa kipumbavu kwamba mheshimiwa Presidaa hatunaye!

Majungu yote hayo na uongo wa wazi, bado anajiona sawa kwa kutoomba msamaa!
 
Back
Top Bottom