mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,094
- 39,615
unakwenda wapi blaza tukae hapa kikombe chetu wote hiki.Mlipo ambiwa inchi itapigwa mnada mlidhani yule mgogo kakosea. Mkashangilia alivyonyaang'anywa kitumbua. Na bado mtajua hamjui.
Mimi nina mpango wa kuhamia Burundi kama tulivyoshauriwa