Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,345
- 9,405
Huenda ndugu wanaogopaHana ndugu kwanza? Hao wakiongea kumtafuta ndugu yao uzito utakuwepo
Huenda ndugu wanaogopaHana ndugu kwanza? Hao wakiongea kumtafuta ndugu yao uzito utakuwepo
Mbona mashahidi wa uongo wanaapa mahakamani?Mimi fulani bin fulani naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa serikali ya naniliu........."sitatoa Siri za serikali " ~ ewe Mwenyezi Mungu nisaidie.
Ukishaapa hivo ikatokea umeenda kinyume na kiapo chako lazima ile kwako . Wacha tuone
We chawa wapinzani walipokuwa wanatekwa na kupotea ulikuwa unaona ni sawa. Mkawa mnatetea ule upuuzi mkidhani ni kwa wapinzani tu, leo Nchimbi kapotea unaleta habari za watu wa kusini. Endelea kufurahia maana kwenda kinyume na serekali ya majizi ni kukosa uzalendo, hivyo ujue Nchimbi kapotezwa maana sio mzalendo.Nchimbi ni mwanaCCM mwenzetu na makamu wa rais mstaafu.
Zaidi ya yote ni mtanzania.
Tunaomba serikali iseme aliko au yeye ajitokeze.
Tunajua yupo hai.
Sisi watanzania wa kusini tunajiuliza maswali mengi mfano:
1. Kwa nini asionekane kwenye uapisho wa makamu mpya wa rais ikiwa kujihudhuru kwake ni kwa kawaida?.
2. Kwa nini kama kuna kosa au makosa kafanya asishtakiwe?
3. Serikali haioni kwamba watu wanazidi kupata ushahidi kuwa watu wote waliopotea au kutekwa waliikosea serikali.
4. Familia yake nayo imeshikwa na kigugumizi kusema alipo baba wa familia?
5. Kazi na utu! Utu una maana gani?.
Naomba yeyote aliemshikilia amuachie au kama ni yeye ameamua kujifungia sehemu ajitokeze.
Tanzania hii ni yetu na kila mtu aliyemo atapita kama upepo.
Kwa niamba ya watu wa kusini mwa Tanzania.
Mungu aibariki Tanzania.
HawatosalimikaMbona mashahidi wa uongo wanaapa mahakamani?
Ooh makubwa! Kumbe hapakuwa na hand over!Ofisi gani? Wakati Ndejembi ameshaingia Ofisini na kuanza kazi.