Nchi za kikristu zina nini kwani

Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
hizo nchi unazoona ni za kiislamu ushoga unaonekana haupo kwa sababu ni norm. magharibi wameiga huko. kama unabisha jaribu kutongoza binti wa kiarabu au kisomali uone kama atakubali umwingilie ukeni
 
Kwani Papa sio kiongozi wa Dini ya RC ambayo ni 80% ya wa ukristo, hajawahi kutoka hadharani na kupinga ushoga au kupambana na ushoga kwenye nchi zenye ukristo wengi........hapo tutachukulia dini hiyo kua serious

Serikali za nchi ndio zenye mamlaka ya kupinga ushoga. Halafu papa ni kiongozi wa dini sio nchi au serikali zote duniani. Sasa nchi nyingi zenye wakristo wengi hazifuati sheria za kidini, ni secular states.
 
Haya ni maneno tu ukweli ni kwamba wakuristo wana shabikia sana na vitendo vya ki shoga.....

Hao sio wakristo. Kama Biblia inasema wafiraji wataenda jehanamu, ni mkristo gani atakaye Habibi a kwenda jehanamu. Tatizo mnaongea kitu msichokijua. Hata huko Ulaya wananchi wachache wanasupport ushoga. Muulize yule kipa wa real Madrid kilichomtokea alipomfanyia utani wa ushoga.
 
Kwa nini apambane na ushoga??
Umewahi kumuona akitoka hadharani kupambana na sigara inayoua maelfu ya watu kwa kansa? Umewahi kumuona akitoka hadharani kupambana na junk food au gongo ? Umewahi kumuona akitoka hadharani kupambana na kuoa mke zaidi ya mmoja au michepuko??
Kwani Papa sio kiongozi wa Dini ya RC ambayo ni 80% ya wa ukristo, hajawahi kutoka hadharani na kupinga ushoga au kupambana na ushoga kwenye nchi zenye ukristo wengi........hapo tutachukulia dini hiyo kua serious
 
Ushoga ni Mbaya sana, Wakristo ni ngumu sana kutoka hadharani na kuupinga huo Ushoga.

Sisi waislamu tunaupinga hadharani. Na kama hoja hapa pwani ya Afrrika Mashariki wapo na ni waislamu, bbasi jueni tu ya kuwa tunawapinga na hao pia. Na chakuongezea hao Mashoga wa Pwani ya Afrika Mashariki si Waislamu kwakuwa wamekiuka mafundisho ya Kiislamu kuhusu Ushoga, bali wana majina ya kiislamu.

Bila kusahau hapa Afrika Mashariki kuna Mashoga Wakristo pia, sisi Waislamu tunawalaani na kuwakemea. Na nyinyi Wakristo tunaomba Muwakemee pia.

Unajichanganya, unasema hao mashoga wa kiislamu sio waislamu maana wamekiuka imani ya kiislamu, Ila mashoga wa kikristo ni mashoga. Ukristo umekataza ushoga na hata kwenye Biblia Mungu aliwaangamiza Sodoma kwasababu ya ushoga. Na Biblia Imeweka wazi kwamba wafilaji hawataurithi ufalme wa mbinguni na kwao Ni jehanamu.
 
Mbona sasa hivi mnamkana kiongozi wenu wa ukristo mna vituko......

Katholiki ni dhehebu sio dini. Ukristo una madhehebu karibia elfu moja na kila dhehebu lina kiongozi wake.
 
Lile kanisa la mashoga la kipentekoste kule Mbeya , jee ni coastal ?? Nahuyu nabii wenu Tito ni mtu wa Coastal ??

Unachukua mifano ya vichaa unataka iwe halisi. Nabii Tito ana kanisa gani?. Halafu Hilo kanisa la Mbeya ni lipi. Shida mnasikiliza vichaa unasema ukristo. Hata mtu akijita Mungu mmeshakimbilia ni mkristo. Kanisa lolote linaloshabikia ushoga Hilo sio kanisa la kimristo bali kusanyiko la wapagani waendao jehanam.
 
UKRISTU NA USHOGA NI NDUGU,KWA HIYO USIPOTAFUNA MANENO UTAGUNDUA UKRISTU NA USHOGA VINAPENDANA SANA.NA UKRISTU NI DINI YA KIZUNGU AU WAZUNGU.KWA MUKTADHA HUU NA HIZI KAMPENI ZIENDELEAZO TAMBUA KWAMBA UKRISTU NI USHOGA.

Nikusahishe Ukristo sio dini ya kizungu, imetokea middle East huko. Halafu sio wazungu wote ni wakristo, Kuna wazungu wengi ni wapagani. Wewe umeakariri wazungu wote ni wakristo.
 
Ni
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Nitajie hapa nchi zinazoongozwa kikristo na zikakubali ushoga. Unitajie nchi zinazoongozwa kwa kutumia maandiko matakatifu ya biblia.
 
Mbona waslam ndio wameanzisha huu ushoga tatizo wao hujificha katika dini wao kila kitu ni kama maigizo kwa nnje ila ukweli ni kwamba jamaa 75% wamechangia kuharibu dunia..ukristo haungi mkono ndoa za jinsia moja kinachofanyika ni kumpa kila mtu haki ya kuishi anavyotaka.Swala la sheria za mungu yeye ataamua nini atafanya kwa wakati wake ...
 
Zipo nchi za Kiislamu zinazoongozwa kwa sheria za kidini kabisa kama Iran, Saudi Arabia, Qatar na Afghanistan
Kama hakuna nchi za kikristo basi hakuna inchi za kiislamu, nahio hoja yako ni ya kitoto
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
na nchi za kiislamu ndio zinaongoza kwa ufiraji
fanya utafiti kama unabisha
 
na wanawake wengi wakienda hapo tu Zanzibar wanarudi hawana marinda
 
Nikusahishe Ukristo sio dini ya kizungu, imetokea middle East huko. Halafu sio wazungu wote ni wakristo, Kuna wazungu wengi ni wapagani. Wewe umeakariri wazungu wote ni wakristo.
Kwa sasa ni ya kizungu INATAWALIWA kizungu inaongozwa kizungu.kihistoria ni sawa usemavyo ila uhalisia unaonekana.
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Kitu kingine unachotakiwa kujua, tofauti na dini zingine lengo la Uislamu ni kushika Dola. Kupitia Dola humo hupenyeza sheria za dini yao na kulazimisha watu kuzitekeleza.

Ukristo ni habari Njema ambayo watu wanahubiriwa bila shuruti. Kufuata au kutokufuata ni hiari yao. Hata km Taifa zima litakua na WAKRISTO 100%.Ila siku ya hukumu ndo watajua.
 
Zipo nchi za Kiislamu zinazoongozwa kwa sheria za kidini kabisa kama Iran, Saudi Arabia, Qatar na Afghanistan
Qatar hii hii niliyofika mimi au ipi
Saudi nitakubali nmesoma na raia wao ukigundulika tu kwanza unadate na mtu sio wa kwao unarudishwa nchini kwao

Lakini qatar jaman hapana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom