Nchi za kikristu zina nini kwani

Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.
U
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH

Ukristo unakataza ushoga na ni laana. Halafu tofautisha ukristo Kama dini na serikali au nchi zenye wakristo wengi.
 
Vyokovyoko siongelei udini..!! Haya umeandika udini tupu..!!
 
Upumbavu mtupu umesema unaheshimu dini ila hapa naona kejeli et laana yao sa ndo nini?

Kama ilivyoandikwa na kusema katika biblia ya kwamba yatupasa sana kujichunga katika zama za mwisho hizi kwani shetani atatafuta kila njia kuuchafua ukristo

Pili hujiulizi kwanini mambo Mengi mabaya au dhambi zimeuandama ukristo nikwasababu ya Kweli yake yeyote atakayefata dini atapotea ila kwa yule atakaye fata mienendo ya kristo na kulielewa vizuri neno basi kheri kwake

Kuwa kristo ni kuwa adui wa moja kwa moja na shetani yupo tayari kuuwa roho 1000 ili akufanye ukengeuke

Sio sawa na huko gizani mlipo ninyi ni wake na yupo kuisubiri Roho yako tu wala haangaiki na wewe

Amen. Kristo alisema mjifunze kutoka kwangu, nashangaa mtoa mada anamuongelea papa ambaye Ni bainadamu na kiongozi wa dini ya kikatoliki.
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH

Hakuna nchi za kikiristo Kama iliyvo kwa waarabu.
 
Amen. Kristo alisema mjifunze kutoka kwangu, nashangaa mtoa mada anamuongelea papa ambaye Ni bainadamu na kiongozi wa dini ya kikatoliki.
Tena kwa kumuongezea nyuma ya paxia katoliki kuna mambo mengi sana ambayo waumini wake wakatae wakubali wameshapotezwa sana na kufuata mkumboo Ukristo ni dini yenye kweli hakuna cha kubisha ila kuokoka kwa wakristo ni Wokovu hakuna kingine nje ya hapo
 
Amen. Kristo alisema mjifunze kutoka kwangu, nashangaa mtoa mada anamuongelea papa ambaye Ni bainadamu na kiongozi wa dini ya kikatoliki.
Kwani Papa sio kiongozi wa Dini ya RC ambayo ni 80% ya wa ukristo, hajawahi kutoka hadharani na kupinga ushoga au kupambana na ushoga kwenye nchi zenye ukristo wengi........hapo tutachukulia dini hiyo kua serious
 
Wewe mpaka siku unaingia kanisani na kushangaa unapigiwa makofi kumbe jamaa fulani amekuja kukuvisha pete akuoe (kwa mtindo ule wenyewe nyie wamagharibi mnaita 'surprise') ndipo utakapomuelewa mtoa mada. Kwa sasa endelea kulazimisha kuligeuza goli.

Hilo sio kanisa. Imani yeyote inayoenda kinyume na Biblia sio kanisa ni kitu kingine. Tatizo mnalazimisha imani tofauti na uislamu mnauita ukristo. Nilishangaa Mfalme Zumaridi anaitwa mkristo wakati imani yake inampinga Yesu Kristo.
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Nchi za kikristu ni zipi?
 
Sawa, lakini kumbuka nchi za kiarabu zinakemea vikali jambo hili, na endapo utagundulika, mara moja utachkuliwa hatua. Nchi za kikristu watu wanaoana kabisa.

Halafu hakuna nchi za ukristo. Usilazimishe. Ila zipo nchi zenye wakristo wengi. Na hata ukienda huko mashoga ni wachache Sana, sema tu kelele za kutaka haki ndio zimetawala. Marekani Biden ana support ushoga ila Trump hasussport ushoga.
 
Subiri siku uzae mtoto wa kiume alafu ukubwani awe shoga ndo utajua hujui kuwa haya mambo hayajaegemea upande mmoja
 
Kwa maneno au tafsiri nyingine, umetibitisha alichokisema mtoa mada; HUJAKEMEA hapa kwa hizo nchi bali umejaribu tu kuzitetea na kuhamisha goli. Kamwe hatutatoka kwa unafiki huu, tutamaliza vifungu vyote vya biblia.
Hivi kati ya ukristo na uislamu ni dini ipi inahusishwa mno na mambo mabaya?!!!! Watu wanakesha humu jf kusema ushoga upo maeneo ya pwani tu, watu wanakesha humu kusema wa8slamu ni wauaji n.k

Tatizo mkiiona ulaya mnadhani kila mtu ni mkristo. Hakuna mkristo anayesupport ushoga kaangalie Marekani, Evangelical churches zinapigwa Vita Sana kisa zinapiga Vita ushoga. Halafu zile ni sera za wanasiasa sio dini Kama dini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom