Nchi za kikristu zina nini kwani

Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.

Edson Carrington

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2022
Posts
216
Reaction score
637
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
 
Upumbavu mtupu umesema unaheshimu dini ila hapa naona kejeli et laana yao sa ndo nini?

Kama ilivyoandikwa na kusema katika biblia ya kwamba yatupasa sana kujichunga katika zama za mwisho hizi kwani shetani atatafuta kila njia kuuchafua ukristo

Pili hujiulizi kwanini mambo Mengi mabaya au dhambi zimeuandama ukristo nikwasababu ya Kweli yake yeyote atakayefata dini atapotea ila kwa yule atakaye fata mienendo ya kristo na kulielewa vizuri neno basi kheri kwake

Kuwa kristo ni kuwa adui wa moja kwa moja na shetani yupo tayari kuuwa roho 1000 ili akufanye ukengeuke

Sio sawa na huko gizani mlipo ninyi ni wake na yupo kuisubiri Roho yako tu wala haangaiki na wewe
 
Labda nikuulize mfano mdogo tu Tz,ushoga umeenea wapi? Kama siyo Coastal regions ambako ndiko chimbuko la uislam?
Wewe mpaka siku unaingia kanisani na kushangaa unapigiwa makofi kumbe jamaa fulani amekuja kukuvisha pete akuoe (kwa mtindo ule wenyewe nyie wamagharibi mnaita 'surprise') ndipo utakapomuelewa mtoa mada. Kwa sasa endelea kulazimisha kuligeuza goli.
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Dhambi ya ufilaji ipo kila mahali. Utofauti wa wazungu na jamii zingine ni uwazi.

Wenzetu wazungu hawapendi unafiki. Km kitu anafanya anatoka waziwazi na kusema hisia zake. Sisi wafrika, Warabu n.k tunayafanya sana haya "in closed doors."halafu tukitoka nje tunajifanya washika dini.

Unafiki mtupu!!!Tuombe sana Mungu atuondoleee hizi dhambi ya unafiki.
 
Hizi mada mmh! Hivi wakristu na waislamu tutapingana mpaka lini? Tukubali kwamba haiwezekani tukafanana hata siku moja...kila dini itaendelea na tamaduni zake na hakuna mwenye uwezo wa kubadilisha atakavyo yeye maana Mungu mwenyewe ameshindwa anatuangalia tu tunavyogombana na kutoelewana bila kupata suluhisho.

Sisemi kwamba kutetea ushoga ni sahihi lakini naongelea mambo yote kwa ujumla. Tunabishana na kuchukiana ili iweje?
 
Dhambi ya ufilaji ipo kila mahali. Utofauti wa wazungu na jamii zingine ni uwazi.Wenzetu wazungu hawapendi unafiki. Km kitu anafanya anatoka waziwazi na kusema hisia zake.Sisi wafrika,Warabu n.k tunayafanya sana haya "in closed doors."halafu tukitoka nje tunajifanya washika dini.Unafiki mtupu!!!Tuombe sana Mungu atuondoleee hizi dhambi ya unafiki.
Sawa, lakini kumbuka nchi za kiarabu zinakemea vikali jambo hili, na endapo utagundulika, mara moja utachkuliwa hatua. Nchi za kikristu watu wanaoana kabisa.
 
Hizi mada mmh! Hivi wakristu na waislamu tutapingana mpaka lini? Tukubali kwamba haiwezekani tukafanana hata siku moja...kila dini itaendelea na tamaduni zake na hakuna mwenye uwezo wa kubadilisha atakavyo yeye maana Mungu mwenyewe ameshindwa anatuangalia tu tunavyogombana na kutoelewana bila kupata suluhisho.

Sisemi kwamba kutetea ushoga ni sahihi lakini naongelea mambo yote kwa ujumla. Tunabishana na kuchukiana ili iweje?
Sijakuelewa, ina maana tuwaache wakristu waendelee na ushoga!!
 
Upumbavu mtupu umesema unaheshimu dini ila hapa naona kejeli et laana yao sa ndo nini?

Kama ilivyoandikwa na kusema katika biblia ya kwamba yatupasa sana kujichunga katika zama za mwisho hizi kwani shetani atatafuta kila njia kuuchafua ukristo

Pili hujiulizi kwanini mambo Mengi mabaya au dhambi zimeuandama ukristo nikwasababu ya Kweli yake yeyote atakayefata dini atapotea ila kwa yule atakaye fata mienendo ya kristo na kulielewa vizuri neno basi kheri kwake

Kuwa kristo ni kuwa adui wa moja kwa moja na shetani yupo tayari kuuwa roho 1000 ili akufanye ukengeuke

Sio sawa na huko gizani mlipo ninyi ni wake na yupo kuisubiri Roho yako tu wala haangaiki na wewe
Kwa maneno au tafsiri nyingine, umetibitisha alichokisema mtoa mada; HUJAKEMEA hapa kwa hizo nchi bali umejaribu tu kuzitetea na kuhamisha goli. Kamwe hatutatoka kwa unafiki huu, tutamaliza vifungu vyote vya biblia.

Hivi kati ya ukristo na uislamu ni dini ipi inahusishwa mno na mambo mabaya?!!!! Watu wanakesha humu jf kusema ushoga upo maeneo ya pwani tu, watu wanakesha humu kusema wa8slamu ni wauaji n.k
 
Sijakuelewa, ina maana tuwaache wakristu waendelee na ushoga!!
Hapana. Lakini je mnayo solution ya kudumu ili kuondoa kabisa tatizo? Kwanini upoteze muda na jambo ambalo huna uwezo wa kulibadilisha?

Ni bora kutumia muda wako kuishika imani yako kikamilifu na kuritbisha vizazi vyako.

Haitakuja kutokea mkristu na muislamu wakakubaliana tofauti zao. Never.
 
Hizi mada mmh! Hivi wakristu na waislamu tutapingana mpaka lini? Tukubali kwamba haiwezekani tukafanana hata siku moja...kila dini itaendelea na tamaduni zake na hakuna mwenye uwezo wa kubadilisha atakavyo yeye maana Mungu mwenyewe ameshindwa anatuangalia tu tunavyogombana na kutoelewana bila kupata suluhisho.

Sisemi kwamba kutetea ushoga ni sahihi lakini naongelea mambo yote kwa ujumla. Tunabishana na kuchukiana ili iweje?
Ukristo ulibaki tu Africa kwasbb ya ignorance yao na umasikini kama Vetican ma padri 18 wanatuhuma za ushoga kweli bado Ukristo una moral authority kua Dini ya Mungu, wenzetu walisha acha dini yao waliachia wa Africa waitetee hiyo Dini.
 
Kwa maneno au tafsiri nyingine, umetibitisha alichokisema mtoa mada; HUJAKEMEA hapa kwa hizo nchi bali umejaribu tu kuzitetea na kuhamisha goli. Kamwe hatutatoka kwa unafiki huu, tutamaliza vifungu vyote vya biblia.
Hivi kati ya ukristo na uislamu ni dini ipi inahusishwa mno na mambo mabaya?!!!! Watu wanakesha humu jf kusema ushoga upo maeneo ya pwani tu, watu wanakesha humu kusema wa8slamu ni wauaji n.k
Mliwekewa msingi mbaya sana wala hambadilishiki mshapigwa pin kwenye ubongo kwa kwasasa wala sina hamasa ya kubishana fanya unachoona ni sahihi ila tutaonana afterlife
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom