Nchi za kikristu zina nini kwani

Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.
Nchi za kiislamu zipo. Ndio maana Kuna Islamic law na Wala hakuna Christianity law.
Kwani crussade war nini?, ikiwa nchi inapigana kwa ajili bibilia hyo nchi itakuwa upande gani?, labda huijui Vatican hata Georgia pia na ile misalaba ktk bendera za nchi nyingi
Zipo nchi za Kiislamu zinazoongozwa kwa sheria za kidini kabisa kama Iran, Saudi Arabia, Qatar na Afghanistan
Mbona mkuu munasahu sna , basi tukumbeshe kuhusu " crussade war" vita ya msalaba , hao waliokuwa na waliopigana vita hii tena ulaya (A.D) walikuwa na lengo gani ?, n wa adhimia isimame nini ?, na hii crussade war ilikuwa ni wivu na choyo kuona uislamu ukitamalaki ulaya
 
Kitu kingine unachotakiwa kujua, tofauti na dini zingine lengo la Uislamu ni kushika Dola. Kupitia Dola humo hupenyeza sheria za dini yao na kulazimisha watu kuzitekeleza. Ukristo ni habari Njema ambayo watu wanahubiriwa bila shuruti. Kufuata au kutokufuata ni hiari yao. Hata km Taifa zima litakua na WAKRISTO 100%.Ila siku ya hukumu ndo watajua.
Uongo mkuu na ile crussade war ?, nyie ndo zenu kun'gata na kupuliza
 
Kwanza rekebisha duniani hakuna nchi za kikristu
 
Kwa sasa ni ya kizungu INATAWALIWA kizungu inaongozwa kizungu.kihistoria ni sawa usemavyo ila uhalisia unaonekana.
Shida mkiona mzungu mnajua ni mkristu ! [emoji116]Hawa ni waislamu?
1668938587207.jpg
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Eti nchi za Kikristu...
 
Magharibi wanaamini katika uhuru wa kuchagua, mashariki ikiwamo ordhodox christian kama Russia,, hawataki tabia hizi za kuona ushoga ni haki za binadamu,,
 
Amen. Kristo alisema mjifunze kutoka kwangu, nashangaa mtoa mada anamuongelea papa ambaye Ni bainadamu na kiongozi wa dini ya kikatoliki.
"Naye mwanafunzi ambae alikua haishi kuegema kifuani mwa bwana,, yule aliependwa zaidi na bwana, alichukua upanga akamkata sikio mmoja wa askari wa kirumi.......
 
Hakuna nchi ya kikristo bali kuna nchi zenye wakristo wengi.

Kuwa nchi ya kikristo inamaana nchi iongozwe na kanuni, sheria na mifumo ya kikristo ktk uchumi, siasa, utawala na kijamii kitu ambacho hakiwezekani sababu hakuna kitabu cha kikristo kilichoainisha mambo hayo.

Upande wa pili, kuna nchi za kiislamu sababu Quran na Mafunzo ya Mtume Mohamed yamebainisha kila kitu kuanzia uchumi, siasa, ugawala, mitary nk. hivyo ni wazi kuwa rahisi kuwa na nchi ya kiislamu.
 
huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).
Baada ya kuona hii nikajua wewe ni ignorant. Mwongozo wa wakristo ni biblia takatifu. Papa anaongoza taasisi ya waroma na sio kiongozi wa ukristo.
 
Ukristo ulibaki tu Africa kwasbb ya ignorance yao na umasikini kama Vetican ma padri 18 wanatuhuma za ushoga kweli bado Ukristo una moral authority kua Dini ya Mungu, wenzetu walisha acha dini yao waliachia wa Africa waitetee hiyo Dini.
Ukristo upo kwenye kitabu. Kama kuna mstari wowote kwenye biblia unaruhusu ushoga nitakuwa wa kwanza kuhama. Suala la mapadri kuwa mashoga haiusiani na ukristo hiyo dhambi watabeba hao mapadri na ushoga wao.
 
Umesema nchi za kikristo embu kabla ya yote tutajie nchi hata 3 tu za kikristo
 
Ushoga ni Mbaya sana, Wakristo ni ngumu sana kutoka hadharani na kuupinga huo Ushoga.

Sisi waislamu tunaupinga hadharani. Na kama hoja hapa pwani ya Afrrika Mashariki wapo na ni waislamu, bbasi jueni tu ya kuwa tunawapinga na hao pia. Na chakuongezea hao Mashoga wa Pwani ya Afrika Mashariki si Waislamu kwakuwa wamekiuka mafundisho ya Kiislamu kuhusu Ushoga, bali wana majina ya kiislamu.

Bila kusahau hapa Afrika Mashariki kuna Mashoga Wakristo pia, sisi Waislamu tunawalaani na kuwakemea. Na nyinyi Wakristo tunaomba Muwakemee pia.
mkuu acha wapakuane tuwauzie vilaainishi aisee
 
Uislamu haupingi ushoga. Alikuwepo Mufti hapa alikuwa na wake wachache. Yule Mufti sitaki kumtaja jina. Kama itatokea Vita ya Tatu ya Dunia itakuwa kwa ajili ya hawa watu ambao wakielezwa jambo dogo tu hawaelewi.
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo (kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN. Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Kama sikosei hakuna nchi za kikristu labda Vatican peke yake. Nchi nyingi hazina dini katika serikali.
 
Swala kubwa ni uwazi, , Europe au nchi za kikristu ni wawazi na wameshaona ushoga si swala la kuwaumiza kichwa.. ushoga upo hata kwenye nchi za kiarabu , sema unafichwa na ni kama aibu ndo maana hustausikia.

Ni kama vile albino mapacha na vilema walivyo adimu kwenye jamii ya kimasai, si kwamba hawazaliwi bali huuwawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom