Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Hakuna nchi ya kikristo duniani ila kuna nchi ambazo wananchi wake ni wakristo. Hawa hawawezi kubadili chochote sabb serikali zao siyo ya kikristo.Nchi gani za kikristo zimelaani ushoga?
Utasema Marekani au uingereza ni nchi ya kikristo?
Kwa nn wakristo hawaupingi ushoga? Ushoga wanaupinga sana sema hujui ukristo vizuri ngoja nikueleze
Yesu alikutana na mwanamke kahaba, watu wakabeba mawe wanataka kumuua yule mwanamke. Yesu akawaambia anayejiona hana dhambi awe wa kwanza kumpiga kwa jiwe huyu mwanamke. Hakuna aliyempiga jiwe.
Amri za Mungu katika Biblia zipo wazi. Kuna sehemu gani katika biblia imehalarisha ushoga?
Mungu wa kikristo ana nguvu na anaweza kujitetea mwenyewe ndiyo maana huwezi kumuona mkristo anaupigania ukristo kwa damu au uchafu wowote kwasababu yeye ndiyo ana hukumu. Binadamu wote tuna dhambi na katika ukristo huwezi kumpiga ngumi, au kumuhukumu kifo mwenzako kwasababu kafanya ushoga au kaiba. Kwasababu ukristo hausupport ushoga na hautetewi kwa kumwaga damu ya mwenzako kwasababu hii watu waliojaa roho chafu wanatumia biblia na serikali kuusambaza ushoga.
Ukristo siyo dini maana yake ni kufuata matendo mema na kufuata sheria za Mungu.
Ndiyo maana kuna dini nyingi sana sababu dini zilianzishwa na binadamu. Rejea Sodoma na Gomora
Wakristo wote wanaamini Mungu hana dini wala Yesu hana dini.