Nchi za kikristu zina nini kwani

Nchi za kikristu zina nini kwani

Status
Not open for further replies.
Wakristu gani wanafanya ushoga?. Mmekaririshwa marekani Ni nchi ya wakristo wengi, wakati Kuna wapagani wengi na waislamu pia. Ushoga haukubaliki kwenye imani ya ukristo. Hilo ndio la msingi.
Haya ni maneno tu ukweli ni kwamba wakuristo wana shabikia sana na vitendo vya ki shoga.....
 
Labda nikuulize mfano mdogo tu Tz,ushoga umeenea wapi? Kama siyo Coastal regions ambako ndiko chimbuko la uislam?
Kitu kimoja weng tunakosea.Ku judge mtu/watu. Binadamu ni kiumbe mwenye utashi wake. Huwez kumzuiya eti asifanye hiki na kile, hili na lile. ISLAM AS ISLAM kama mfumo umekataza hicho na umeweka strict rules.hoja ya mbona watu wa sehem fulan wanafanya sio hoja ya kusema islam imeruhusu.

Mbona pombe inanywewe na waislam na wasio waislam na wap kwenye maandiko imeruhusiwa? Hoja mfu za kusema et mbona watu wa pwan wanafanya liwati sio hoja, wao wameamua nafs zao kufanya lakin sio kwamba uislam ndio unaruhusu.

Jambo moja ujue tendo hilo la liwati lilifikia kwenye ubora wake katika zama za nabii lut(loot) walifikia mahali wanazungusha mduara.ili kila mmoja amfanye mwenziwe maana ilikua wanafanyana kwa mstar, yan wakipanga mstar huyu anamfanya wa mbele na yeye anafanywa na wanyuma, sasa wa mwisho akalalamika mbona yeye anafanya ila hafanywi?

Bas wakaweka mduara.ndipo adhabu ya kumeguliwa kipande cha nchi yao kugeuzwa juu chini mpaka leo black sea hapo.
 
Ushoga ni Mbaya sana, Wakristo ni ngumu sana kutoka hadharani na kuupinga huo Ushoga.

Sisi waislamu tunaupinga hadharani. Na kama hoja hapa pwani ya Afrrika Mashariki wapo na ni waislamu, bbasi jueni tu ya kuwa tunawapinga na hao pia. Na chakuongezea hao Mashoga wa Pwani ya Afrika Mashariki si Waislamu kwakuwa wamekiuka mafundisho ya Kiislamu kuhusu Ushoga, bali wana majina ya kiislamu.

Bila kusahau hapa Afrika Mashariki kuna Mashoga Wakristo pia, sisi Waislamu tunawalaani na kuwakemea. Na nyinyi Wakristo tunaomba Muwakemee pia.
 
UKRISTU NA USHOGA NI NDUGU,KWA HIYO USIPOTAFUNA MANENO UTAGUNDUA UKRISTU NA USHOGA VINAPENDANA SANA.NA UKRISTU NI DINI YA KIZUNGU AU WAZUNGU.KWA MUKTADHA HUU NA HIZI KAMPENI ZIENDELEAZO TAMBUA KWAMBA UKRISTU NI USHOGA.
 
DINI NI SEHEMU YA TAMADUNI ZA JAMII,JAMII ZA KIZUNGU ZINAFANYA TAMADUNI ZAO ZA KIASILI ZIAMBATANE NA MATUKIO YA KIIMANI.
 
Hapana. Lakini je mnayo solution ya kudumu ili kuondoa kabisa tatizo? Kwanini upoteze muda na jambo ambalo huna uwezo wa kulibadilisha?
Ni bora kutumia muda wako kuishika imani yako kikamilifu na kuritbisha vizazi vyako.
Haitakuja kutokea mkristu na muislamu wakakubaliana tofauti zao. Never.
Itatokea na siku wenyewe sio mbali kanisa au madhehebu ya Orthodox ndio watakaoungana na waislamu wa kweli kuwapiga mayahudi na orthodox ya kweli ni Russia na hawa ndio wakristo wa kweli nyie wengine munafuata mkumbo tu .
 
Habari wakuu,

Sipo hapa kuchochea suala la udini, wala kuegemea upande mmoja wa dini. Naheshimu kila dini kwa kuwa dini ni mfumo mzima wa maisha ya watu fulani.

Jambo linalonishangaza ni suala zima la ushoga kwa kupewa support kubwa sana na nchi za kikristu! Kiukweli inashangaza sana, kwani nchi hizi hazionekani kupinga wala kukemea vikali usheitwani huo.

Mpaka najiuliza wakristu wanamatatizo gani kwani, inaonekana ipo siku hizi nchi kwa pamoja na wakristu wote watakubali kusupport ushoga.

Papa Francis aliwahi kuhalalisha jambo hili kwa jamii fulani ya kikristu, lakini kutokana na aibu, wakristu wakajidai kukataa huku ukweli ukifahamika kwamba papa ni kiongozi mkuu wa dini yao na ni mtoa miongozo ya dini hiyo(kwa walivyokubaliana).

Sasa wakristu wameona kizuizi kikubwa cha kuendelea kwa ushoga ni uislamu. Hakika uislamu umenyooka, na kila msimamo umetolewa muongozo kwenye QUR'AN . Wameamua kujaribu kuingiza ushoga wao kwenye jamii za kiislamu. Naamini kwa uwezo wa Allah hawataweza, na uislamu utaendelea kupinga vikali laana yao hiyo. Na ipo siku ukweli utajulikana tu, kwamba wapi sahihi na wapi kulikuwa ni matatizoni. Muwe na siku njema. INSHALLAH
Huo u Kristo na U Islam ndio nini? Ushoga hata wamasai hawautaki, usiwe mfungwa wa 'Dini' hata jamii zisizo na dini hazikubaliani na utamaduni huo wa kijinga
 
Ukristo ulibaki tu Africa kwasbb ya ignorance yao na umasikini kama Vetican ma padri 18 wanatuhuma za ushoga kweli bado Ukristo una moral authority kua Dini ya Mungu, wenzetu walisha acha dini yao waliachia wa Africa waitetee hiyo Dini.

Ukristo Ni imani. Biblia ndio mwongozo wa ukristo. Asiyefata Biblia hata Kama anajiita mkristo siyo mkristo mbele za Mungu. Ndio maana Yesu akasema sio wote waniitao Bwana bwana wataingia paradiso, maana hawakutekeleza mapenzi ya Mungu.

Uwe padri na nni shoga wewe Ni mkristo jina na Mungu hakutambui.
 
Ukiiondoa Vatican ambayo inayoendeshwa Kikatoliki (sio Kikristo) hupati nchi nyingine duniani inayoendeshwa kwa sheria za Kikristo.
Ila nchi za Kiislamu ziko nyingi.
Hawa hapa chini ni nchi za wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom