Naona watakuwa wamewaza mbali zaidi ya kuingia msituni, na elewa mambo ya msitu ni ya kizamani, sikuhizi mambo ni kukualshabab tu. WasipuuzweIngia msituni tuone umwamba wako,
Naona watakuwa wamewaza mbali zaidi ya kuingia msituni, na elewa mambo ya msitu ni ya kizamani, sikuhizi mambo ni kukualshabab tu. WasipuuzweIngia msituni tuone umwamba wako,
Hivi unajua kuwa hata hapa kwa hali hii wakipata uchochezi na support toka nje ni rahisi kugeuka na kuihujumu serikali iliyopo? Upendo a nchi yao umeshapotezwa kwani nchi haiwapendi wala kuwaheshimu tena.Msio ijua history na Ukweli wa mambo hua nawaonea huruma Sana.
Gaddafi hakutolewa na nguvu ya umma, bali ni mabeberu wakitumia NATO, na walibya wanajuta kwa sasa, kama hujui Jambo ni bora kunyamaza kulinda heshima yako kuliko Kuonyesha uzuzu wako hadharani
watoto wa kula kunya hawa,watajua wapi.Tatizo hampo kwenye system ndomana hamjui kitu kazi kuwatukuza wanasiasa..
1) unajua toka magufuli aingie kabadili system ndan ya jeshi? Je mtazamo wa wanajeshi unajua ukoje juu yake?
2)unajua kwann Tanzania inakubali tu kuendelea na UN missions Congo,Sudan,Lebanon na central Africa?
3) unajua kitu chochote kilichotokea ngome house mwaka huu mpaka wanajeshi kupgana risasi wao kwa wao?
Daaah wanasiasa wanapoteza Tz yetu...gas imeondoka, uranium imeondoka, madini yameondoka
Hizo zimejaaa hata Amini wa uganda alipewaa na ghadafi lakini tuliziteka kwa ulainiii kwanza hawajui kuzitumia mimi nadhani majeshi yaliyokuwa ni waataalamu wa kutumia silaha hizi za kjmbari ni Somalia.Hiyo grad launcher mlipouziwa nyie wauzaji waliacha kuuza?
Unafikirisha!Kama kijana nayeipenda nchi yangu, nayependa amani, demokrasia na maendeleo nafanyaje?
Nafanyaje Askari wanaposherehekea ushindi wa dhulma wa chama tawala kwa kuimba 'soldier nyakua'?
Nafanyaje mheshimiwa rais anapotoa ilani ya kumshughulikia Mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani kuwa mshindi kwenye uchaguzi?
Nafanyaje napoona viongozi wangu wa chama, wapenda demokrasia na amani, wakidhalilishwa na polisi kila leo,wakinyang'anywa Mali zao kwa nguvu, wakilazimika kuzunguka mahakamani kila uchao na wakidhalilishwa wao na familia zao?
Nafanyaje napoona vijana wenzangu wa Rika wakishawishiwa na kushawishika kwamba demokrasia haina nafasi Bali siasa za visasi, hujuma na matumizi ya nguvu ya dola ndio mtindo wa kileo?
Nitaendeleaje kuamini katika uchaguzi huru na wa haki wakati tume yenyewe ya uchaguzi haiamini Wala vyombo vya dola haviamini?
Kwanini wakati wa apartheid vijana wa Afrika kusini walikuja kujifunza hapa mbinu za uasi?
Kwanini hawakuitisha tu mikutano ya siasa nchini kwao na kwenda kupiga kura?
When democracy has no chance, it is the responsibility of everyone and anyone to give it a chance!
SOLDIER NYAKUA, NYAKUA!
comment ya kipumbavu kabisaWenzako walijaribu wakaishia kuasiwa, hebu na wewe jaribu bahati yako, mapori ni mengi Sana
MTOA MADA HEBU JARIBU UONE .... UTAJUA NI KWANINI BIRINGANYA HAIWEKWI KWENYE KACHUMBARI
Fikiria mara mbili usome kitu hizi lugha za matumizi ya nguvu hazikusaidii wala hazijengi taifa sana sana zinabomoa
we dare you ....
Somalia kuna kabila moja? Lies. Come again